Njia zipi nifuate ili kupata Zabuni ikiwa nina usajili wa BRELA?

Njia zipi nifuate ili kupata Zabuni ikiwa nina usajili wa BRELA?

Mkuu samahani.ila.nitakuuliza swali muhimu sana ili niweze kukupa ABC za namna ya kuendesha kampuni. Ukiona inafaa utanijibu.

Kwanini mmesajili kampuni?

Majibu ya hili swali yataniambia nikushauri nini Mkuu.

Karibu.
Unaweza nijibu mimi...mimi nina kampuni nilisajili ili nifanye shughuli binafs
 
Unaweza nijibu mimi...mimi nina kampuni nilisajili ili nifanye shughuli binafs
Shughuli gani Mkuu?, kwenye ibara ya 3 ya memorandum umeweka shughuli zipi/ipi?, je una leseni ya kufanya hiyo shughuli? Mfano shughuli za madini je una leseni husika ya madini?.

Sababu kusajili tu Brela na kuwa na TIN pamoja na leseni ta biashara havitoshi.

Tuanzie hapo kwanza, Mkuu.
 
Back
Top Bottom