Young fadson
JF-Expert Member
- Nov 6, 2017
- 1,177
- 1,406
acha tufumbe kichwani, isije tukasema twakukatisha tamaaa.. ila sio rahisi hata kidogo hasa kipindi hikiNina kampuni yangu(Co ownership) ambayo officially imesajiliwa BRELA , kwakua kampuni bado changa nami pia bado ni underdog ktk mifumo ya uendeshaji wa kampuni na namna bora ya kufuata ili kupata tenda ktk taasisi binafsi hata zile za serikali,
Naomba walau npate elimu kutoka kwa wajuvi wa mambo.
TANEPS ndio wapi kwa ajili ya huo usajili ili kupata hizo Zabuni nijulishe tafadhaliNi Zabuni na sio dhabuni na ni Usajili na sio Usajiri, jambo la kufanya kusajili TANEPS kule kuna tender kibao zinazatangazwa
TANEPS ndio wapi kwa ajili ya huo usajili ili kupata hizo Zabuni nijulishe tafadhali
Niongezee swaliNina kampuni yangu(Co ownership) ambayo officially imesajiliwa BRELA , kwakua kampuni bado changa nami pia bado ni underdog ktk mifumo ya uendeshaji wa kampuni na namna bora ya kufuata ili kupata tenda ktk taasisi binafsi hata zile za serikali,
Naomba walau npate elimu kutoka kwa wajuvi wa mambo.
Anza kuomba tenda ndogo ndogo za serikali
Kiswahili ni tatizo kwangu , nmekupata vema.Ni Zabuni na sio dhabuni na ni Usajili na sio Usajiri, jambo la kufanya kusajili TANEPS kule kuna tender kibao zinazatangazwa
Kampuni changa ndugu, bado nnajitaftaMtaji unao? Unaweza kuvumilia miezi 6 au zaidi bila kulipwa?
Asante kwa ushauriAnza kuomba tenda ndogo ndogo za serikali
Utengenezaji na usambazaji wa samaniKampuni yako inahusika na nini? Tenda zingine zinaanzia humuhumu, huwezi jua.
Tuwasubili wajuzi wa mambo haya waseme nenoNiongezee swali
Je waweza pata tenda bila kua VAT / VRN registered
Watu wazito sana kwenye nyuzi za maana! Ila toa mada ya kunyanduana au za mashoga, dk moja tu wanaaja kama mende chooniTuwasubili wajuzi wa mambo haya waseme neno
🤣🤣🤣 maisha kuvumiliana nduguWatu wazito sana kwenye nyuzi za maana! Ila toa mada ya kunyanduana au za mashoga, dk moja tu wanaaja kama mende chooni
swali zuri sana hiliUnaweza kuvumilia miezi 6 au zaidi bila kulipwa?
Ahahaha.Watu wazito sana kwenye nyuzi za maana! Ila toa mada ya kunyanduana au za mashoga, dk moja tu wanaaja kama mende chooni