Njia zipi nifuate ili kupata Zabuni ikiwa nina usajili wa BRELA?

Zabuni zile zinazolipwa kwa wakati ndio zinagombaniwa; ila zile za kusubiri miezi 6, mwaka na miaka zipo nyingi sana na hazina washindani; ni wewe tu uwe na uwezo wa kuvumilia njaa kwa kipindi hicho.
 
🙏🙏 nmepata mwanga, hii itasaidia hata wadau wengine wenye mawazo chanya
 
TANEPS ni OTB kila mtu anaona na anayeshinda anajulikana hadharani
 
Hahahaha kizazi kisicho na vision, viongozi hawana historia nzuri ya kuweza kutupeleka popote, tunajipambania kwa jasho sana, safari ni ndefu sana na bahati mbaya hata urefu halisi wa safari yetu hatuujui
Uvumilivu ulisha ni shinda, kuna nyuzi nyingi nazitembeleaga za maana ila nakuta patupu!
 
Wana utaratibu wa hatari! Kwa mchujo huo inabidi uwe na mtu ndani
 
Fanya yote ila achana kabisa na tenda za serikali, Vingenevyo nawe uwe fisadi au mtu wa serikali au una namna flani unafaidika na mifumo ya serikali.
 
Serikalini?unatak afe masikini akisubiri malipo
Tenda za serikali Ni biashara kichaa kwelikweli.

mwnyw nmetoka kulipwa lastweek Deni la mwaka 2019, Tena kwa mbinde na hongo sana

Nmesuplly makorokoro kibao,nmesubir malipo imefikia mahali nmeona Bora nipate nusu hasara
 
Zabuni zile zinazolipwa kwa wakati ndio zinagombaniwa; ila zile za kusubiri miezi 6, mwaka na miaka zipo nyingi sana na hazina washindani; ni wewe tu uwe na uwezo wa kuvumilia njaa kwa kipindi hicho.
Kama mtajinwake mdg au ndo anaanza afanye TU kudunduliza na raia maskini kwa cash kuliko kujitia kitanzi na jamuhuri[emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…