Shughuli gani Mkuu?, kwenye ibara ya 3 ya memorandum umeweka shughuli zipi/ipi?, je una leseni ya kufanya hiyo shughuli? Mfano shughuli za madini je una leseni husika ya madini?.
Sababu kusajili tu Brela na kuwa na TIN pamoja na leseni ta biashara havitoshi.