Njia zipi unaweza kuzitumia kuondoa sonona?

Pole sana mkuu.
Ngoja nijaribu kukufariji japo kwa kiasi kidogo.
Ipo hivi kama yalivyo majira ya mwaka yaani ukame, masika, kiangazi na kipupwe napo kwenye maisha sisi binadam tunapitia mapito kama haya kuna wakati wa masononeko, majuto, shida na raha.
Ni muhimu kufahamu madhila uliyonayo ni mapito tu kamwe hayato dumu katika maisha yako hivyo badala ya kuyachukulia kama adhabu yafanye ni darasa la kujifunza kupambana na changamoto na kukuwa kifikra.
Pia kama upo bukheri wa afya na huna ulemavu wowote hebu take time yako kati ya kesho au kesho kutwa nenda katembelee pale Ocean Road na pale MOI Hospitals ujionee how lucky your.
Asante πŸ™
 
Jaribu kuondoka ulipo nenda mkoa wa mbali kidogo
 
Asante dear
 
Ah sio kweli jaman. Upweke ndo unamaliza
Upweke mbaya sana ila usikubali ukakukandamiza
Learn to let things go
Usikae na kinyongo
Usikubali mtu fulani awe sababu ya furaha yako
Be your onw happiness
Furahi, jichanganye na watu,tafuta furaha yako binafsi.
Niliwahi pita huku na it was epic ila Mungu aliniinulia marafiki wakanisikiliza na kunielewa
Nikajitafuta wapi nilipo nikajipata sahv nafurahi ninavyoishi hadi nmeglow
Mungu akusaidie utoke huko❀
 
Sonona ndiyo nini?
 
We sikuamin ujue
πŸ™„πŸ™„ alafu mie ndio unatakiwa kuniamini kuliko wote unao waamini humu ndani... chukua hili neno.. kama unataka mtu wa kumuamini na ni muaminifu ni mie hutojutia... Kama upo serious tuonane , mambo mengine yanahitaji kuonana ili kuyatatua
 
πŸ™„πŸ™„ alafu mie ndio unatakiwa kuniamini kuliko wote unao waamini humu ndani... chukua hili neno.. kama unataka mtu wa kumuamini na ni muaminifu ni mie hutojutia... Kama upo serious tuonane , mambo mengine yanahitaji kuonana ili kuyatatua
Sawa kama ni kweli
 
Depression is Real. Usiache kusali.... Just take one day at a time.

Endelea kumshukuru Mungu kwa yote hata kwa siku ambazo alikutetea kwa siku za nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…