Njiapanda: Mtoto wa mke wangu niliyemlea tangu ana miaka 2 ameenda kutoa mahari bila kunishirikisha

Njiapanda: Mtoto wa mke wangu niliyemlea tangu ana miaka 2 ameenda kutoa mahari bila kunishirikisha

Namawazo haya haya kinaniuma sijui niondoke nisirudi tena home mana uwezo ninao nijenge tuu uku uku Arusha nifanye maisha yangu kule nisirudi tena ila nawaza watoto wangu dah kinaniuma iko acha...
Hii inaweza kuwa option njema, hizo ni taa nyekundu unawashiwa,watoto data taratibu unachukua wore,taadhari huwa ni kitu kizuri
 
Nani kasema mwanajeshi mbn unakurupuka hivyo mkuu nimesema wapi mimi no mwanajeshi???
Maelezo yako umejifunga mwenyewe.

Ulikuwa house boy.

Ukaajiliwa 2002.

Halafu ukadanganya kuwa utastahafu 2045 kitu ambacho sio kweli.

Dogo kaanza kazi akiwa na miaka 19, kwa umri huo atakuwa hajabukua kwa kiwango Cha juu.

Siku hizi polisi na Magereza hawaamishwi ovyo ovyo ila bakabaka wanahamishwa.

Si umeona hapo ulipopigwa koromeo.

Turudi kwenye mada.
Kuna Law of Karma
Second Newton's law of motion
Hivyo dogo yatamrudia ikiwa kweli hukumtendea ubaya.
 
Habari wana jamvi!

Natumaini ni wazima wa afya, ni hivi niende kwenye mada husika hapo juu mimi ni kijana mwenye umri was miaka 39, nina mke na watoto 6 ila mke wangu nilimkuta akiwa na mtoto wa kiume wakati tunaoana mwaka 2002, jumla ukijumlisha tuna watoto 7 kiukweli huyo kijana mtoto wa mke wangu my step son nimemtafutia kazi Serikalini now anafanya kazi vizuri, alipata
Pole sana kaka kwanza relax kumbuka hapa Duniani tunapita hakuna mtu atabaki na hakuna mtu atazikwa na mali. Kifupi ipo hivi wanawake wengi kama sio wote, wanatabia zinazofanana. Tabia yao kubwa ni ubinafsi, wanajithamini sana wao kuliko waume zao, wanapenda sana mali kuliko mwanaume anayeleta mali husika. Hapo bado utazidi kuona mengi sana hao watoto wengine wakikua.

Watoto wakiwa wadogo ni wa kwenu wote wewe na mkeo hasa wewe mwanaume utahaingaika sana sana kwa ajili ya watoto na mama yao lakini wakikua watabaki kuwa wa mama. Mama yao taratibu ataanza kuwatoa kutoka kwako kwa kuwa watakuwa wakubwa wanaishi maisha yao. Kwa hiyo alichokifanya mkeo sio kigeni sema yeye amefanya mapema zaidi.

Huyu mtoto saizi hawezi kukusikiliza wewe anamsikiliza sana mama yake ndiye anayemtoa mtoto kutoka kwako kwa kuwa ameshaanza kuijtegemea. Habari njema ni kwamba baada ya kuoa huyo mtoto atakutana na changamoto zitakozomfanya ajue shida za mama yake ambazo unazivumilia muda huu....So relax brother tekeleza wajibu wako kwa wadogo zake wala usiumie sana ukafa kwa stress ukaawacha wao wakila maisha.
 
Hapa ndipo unaposikiaga baba kaua mama na mwanaye wa kufikia.

Anachofanya mkeo ni ushenzi wa grade A.

Huenda kijana hana kosa ni msukumo wa mama yake tu.

Bahati nzuri wewe ni mjeshi, na huyo mwanao ni mjeshi, bado una nafasi ya kumkanya huyo step son wako iwe kama baba ama kama senior wake.

Akileta jeuri ongea na wakubwa zake wampige chini. Asilete dharau hapa, eboooh!
Asimfanye chochote amwache aendelee na kazi zake na amwombee kila lenye heri. Huyo dogo ni utoto na kujazwa maneno na mama yake kunamsumbua. Ulimwengu utamfunza.
 
Ingewezekana ukamharibia dogo ajira yake itakuwa poa sana japo najua ni ngumu, ila ukitumia umafia inawezekana, mpandikizie nadawa ya kulevya au silaha nyumbani kwake, kwa kutumia mafia afukuzwe kazi akili zitawakaa sawa.
Huu ushetani asijeakafanya amwombee heri...Fimbo iliyoua nyoka haiwekwi sebuleni. Atulie dogo ulimwengu utamfunza.
 
Habari wana jamvi!

Natumaini ni wazima wa afya, ni hivi niende kwenye mada husika hapo juu mimi ni kijana mwenye umri was miaka 39, nina mke na watoto 6 ila mke wangu nilimkuta akiwa na mtoto wa kiume wakati tunaoana mwaka 2002, jumla ukijumlisha tuna w
Pole sana mkuu, hapa nakumbuka maneno ya mdogo wangu kwamba mwanamke hapewi pesa ili atunze bali huachiwa matumizi ya siku(kodi ya meza).
 
Kuoa single mothers inahitaji uwe na roho ya paka!
Kuna mengi Sana ya kuvumilia, BILA Hivyo utajifia Kwa presha
 
Namawazo haya haya kinaniuma sijui niondoke nisirudi tena home mana uwezo ninao nijenge tuu uku uku Arusha nifanye maisha yangu kule nisirudi tena ila nawaza watoto wangu dah kinaniuma iko acha...
Usimkimbie shetani pambana wambie ukweli .ili wajue uchafu kukaa kimya siyo suluhu .wambie ukweli wife na mtoto wasikuchukulie poa
 
Habari wana jamvi!

Natumaini ni wazima wa afya, ni hivi niende kwenye mada husika hapo juu mimi ni kijana mwenye umri was miaka 39, nina mke na watoto 6 ila mke wangu nilimkuta akiwa na mtoto wa kiume wakati tunaoana mwaka 2002, jumla ukijumlisha tuna watoto 7 kiukweli huyo kijana mtoto wa mke wangu my step son nimemtafutia kazi Serikalini now anafanya kazi vizuri, alipata .
Kwenye maisha wewe mwenyewe jiweke kwanza na mengine yote yachukulie rahisi tu. Cha muhimu ni nafsi yako wewe binafsi. Furaha yako na amani ya moyo wako ndio kitu namba moja

Ukijiuliza kwa nini wanakutendea hivyo utapata msongo bure.

Nililigundua hili kwa sasa naishi kwa raha sana. Niliwekeza sana kwa wengine haswa familia ila nilijisahau mimi mwenyewe. Nimejikumbuka miaka ya karibuni tu

Mtoa mada jiishi wewe usiishi kwa ajili ya wengine
 
Hiki kitu kufanya in unyama sana aisee huu sio ushauri mzuri..
Ni kibaya kweli mimi binafsi siwezi kufanya lakini kama unampenda wife wako kwa kiwango huwezi kumuacha, then huo ndio ushauri sahihi. Vinginevyo utakufa mapema wao wakiwa ndio sababu. Nyoka anauawa kwa kupiga kichwani.
 
Maelezo yako umejifunga mwenyewe.

Ulikuwa house boy.

Ukaajiliwa 2002.

Halafu ukadanganya kuwa utastahafu 2045 kitu ambacho sio kweli.

Dogo kaanza kazi akiwa na miaka 19, kwa umri huo atakuwa hajabukua kwa kiwango Cha juu.

Siku hizi polisi na Magereza hawaamishwi ovyo ovyo ila bakabaka wanahamishwa.

Si umeona hapo ulipopigwa koromeo.

Turudi kwenye mada.
Kuna Law of Karma
Second Newton's law of motion
Hivyo dogo yatamrudia ikiwa kweli hukumtendea ubaya.
Sawa
 
Wanawake ni wachoyo na wabinafsi Sana na huwa hawana shukrani. Wachache wanaweza kukumbuka mema lakini walio wengi wanachokumbuka ni sasa. Ameshaona Kuna mafaniki ameanza kumbagua mzazi mwenzie!

Mara nyingi hata uonyeshe upendo kiasi gani kwa mtoto wa kambo, mawazo na hisia nyingi za mama zinawekezwa kwa huyo,hasa akiwa mmoja. Kuna jirani hapa analea mtoto wa kiume wa kambo toka mtoto mpaka sasa anakaribia kumaliza sekondari na naona Mama yake ameanza kumfanyia choyo. Kibaya zaidi anamueleza anaenda likizo kwa mzazi wake/baba yake. Nahisi jamaa kitamtokea kilichopatikana wewe.

Yo
Ni kweli penyewe
 
Mkuu huyo wife wako anafanya juu chini ili hata ukistaafu usije ukagusa hela za huyo mtoto wake, anataka ahudumiwe pekeake,
au laa tayari mtoto ameshamjua baba yake na wanawasiliana

Hata mm nimewaza hivii huyoo mtoto 90% anawasiliana na baba yakee tena mahusiano yao yapo vizuri tuu na mama nae inawezekana piaa anawasiliana na baba mtoto wake[emoji23][emoji23] haiwezekan aanze kukuficha mambo watu mmekaa mda mrefu kwenye ndoa namna hiyo jaribu kufwatilia unaweza jua ukweli na tena fanya kama hujali "ukitaka kula na kipofu usimshike mkono"
 
Bila shaka wewe ni askari wa bakabaka, Anyway inauma lakini hakuna namna we mchane tu mkeo maana dogo lazima anapata kiburi toka kwa wife wako mueleze ukweli kabisa kua haupendezwi na tabia zake za hovyo na za kichawi, maake uchawi si lazima mpaka aloge.

Ukimaliza kumchana wife, mpigie na dogo umchane
Sahihi akimwambia ukweli mambo yake ataogopa tu
 
Sisi wanawake tunashida moja watoto wakikua wakapata kazi tunaanza kuwalisha sumu kua baba zao (hata kama ni baba mzazi) wanatutesa/walitutesa.

Maneno kama haya apewe kijana wako ambae anajua wew sio biological father ndio anakuchukia mara mbili . Pole sana . Hapo deal na mkeo akueleze ana tatizo gani na wewe.

Wanawake tuna moto wetu spesho wallah sisi ni wabinafsi sanaa huwa naiona kwa mama yangu hii kitu[emoji23][emoji119] anaweza akasema jambo hapaa afu ukimuliza mzee jambo hilo hilo analikanusha na ushahidi juu afu ukimuiliza mazaa anakuwa mkali[emoji38][emoji38][emoji38] daaah kazi ipo[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Aisee inaumiza sana..ushauri achana nao acha kuhifadhi moyoni usije kufa mapema broo.na wewe anza kufanya vitu kivyako.
 
Natumaini ni wazima wa afya, ni hivi niende kwenye mada husika hapo juu mimi ni kijana mwenye umri was miaka 39, nina mke na watoto 6 ila mke wangu nilimkuta akiwa na mtoto wa kiume wakati tunaoana mwaka 2002, jumla ukijumlisha tuna watoto 7 kiukweli huyo kijana mtoto wa mke wangu my step son nimemtafutia kazi Serikalini now anafanya kazi vizuri, alipata kazi mwaka juzi akiwa na miaka 19 tu huyu kijana nimemlea mimi tokea akiwa mdogo maana nilianza kuishi na
Mkuu hizi nyuzi zinazotumwa humu msidhani ni hadithi tu za kutunga. Juzi kuna mtu kaandika nyuzi humu kuhusu watoto wa kambo.

Kama una msaidia we msaidie tu utalipwa na Mungu lakini usidhani a akupenda. Mpaka anaenda kutoa mahali wewe hujui je na mama yake naye hajui?

Kama mama yake anajua je utajuaje kama Mama hana mawasilianao mazuri tu na Baba wa Mtoto wake na pengine huenda miaka yote hiyo hata Jigijigi walikuwa wanakuzunguka wanapiga.

Nilisema hili na leo narudia kulisema.

Kwamba watu wawili mwanaume na mwanamke wanapozaa watoto baadae wakatengana usidhani kuwa wameachana, big no they are just separate but they never abandone each other; ukweli ni kuwa wakitengana kwa muda mrefu yale maudhi na chuki zilizosababisha watengani huwa zinaisha automatically.

Kwani wewe huna X wako wa zamani? Ma X hata kama waliachana kwa ngumi na mapanga wakikutana after long time huwa hawatongozani ni kuingia Gest tu na kukojoleana fasta fasta kitu wanachoita kukumbushia. Na hiki ndio chanzo cha HIV kutapakaa kila leo.
 
Sisi wanawake tunashida moja watoto wakikua wakapata kazi tunaanza kuwalisha sumu kua baba zao (hata kama ni baba mzazi) wanatutesa/walitutesa.

Maneno kama haya apewe kijana wako ambae anajua wew sio biological father ndio anakuchukia mara mbili . Pole sana . Hapo deal na mkeo akueleze ana tatizo gani na wewe.
Mengine ni yakweli lakini mpaka mtu anakua mtu mzima ni wa kudanganya? Sema Mama wa kambo ukimuonya mtoto wake hata ka bakola kakumpoza tu anaona kama mwanaye anaonewa.
 
Aisee inaumiza sana..ushauri achana nao acha kuhifadhi moyoni usije kufa mapema broo.na wewe anza kufanya vitu kivyako.
Muda umekwenda sana imagine jama kaoa ana miaka 20 plus miaka 19ya dogo maana yake yuko na 30+.

Usipokuwa makini na maswala ya mwenza unajikuta muda wa uhai wako woote wewe umesindikiza wengine duniani.
 
Back
Top Bottom