Njombe: Ajinyonga hadi kufa kwa kunyimwa unyumba na mkewe ambaye alidai mume hajaokoka

Ndo maana hawa viongozi wa dini kama kina Mwamposa, Geor Davie, Kitima, Mwamakula, Suguye, Bagonza na Zumaridi huwa ninawachukia sana. Wanaharibu mno jamii.
 
Amekufa kishujaa sana huyu Mwamba
 
kamanda wa polisi ni mahamudi! tangia lini kamba ya kiatu ikatumika kujinyongea? be careful brethren, tunaishi in dangerous times, the devil never sleeps.

never trust a muslim …
Una shida kwenye kichwa chako. naona upo mbioni kujinyonga pia. Ni vile kitakacho sababisha wewe kujinyonga Bado hakijapatikana. Utakumbuka haya maneno kipindi roho inakutoka mkuu
 
Matatizo ya kuamini kuwa ngono inaweza tatua matatizo yako...

Watumishi wa MUNGU, uwe hai....

ndugu zangu tujitahd sana kusoma maandiko wenyewe kabla hatujapata tafsiri ya wachungaji wasio kuwa na sifa ya kuwa wachungaji...

lakini tukio hilo lisiwe kikwazo cha kutufanya tusiwaamini watumishi waliokirimiwa na Roho wa MUNGU.
 
Kasababu kamenyooka ole wako Unyomwi Unyumba Usijinyoge


Tutasenma Huelewi na kukutangaza dunia nzima kuwa unataka kupindua nchi
​
 
Kasababu kamenyooka ole wako Unyomwi Unyumba Usijinyoge


Tutasenma Huelewi na kukutangaza dunia nzima kuwa unataka kupindua nchi yetu ya Tanzania
​
 
Kasababu kamenyooka ole wako Unyomwi Unyumba Usijinyoge


Tutasenma Huelewi na kukutangaza dunia nzima kuwa unataka kupindua nchi ya Tanzania Bar
​
 
Kasababu kamenyooka ole wako Unyomwi Unyumba Usijinyoge


Tutasenma Huelewi na kukutangaza dunia nzima kuwa unataka kupindua nchi ya Tanzania Bara na Visiwani
​
 
Kasababu kamenyooka ole wako Unyomwi Unyumba Usijinyoge


Tutasenma Huelewi na kukutangaza dunia nzima kuwa unataka kupindua nchi ya Tanzania Visiwani
​
 
😄😄😄😄MWEZI OCTOBER UNAIHESHIMISHA SEKTA YA KIMASIHARA.

UTELEZI UNAZIDI KULETA TAHARUKI.MPAKA OCTOBER 31.VISA NA VIROJA VITAKUWA VIMETUBURUDISHA SANA.

MGAYA KAKUBALI KUFA KIFALA KISA JAGINA TENA UKUTE HATA MWANAMKE MWENYEWE HANA MAUFUNDI YOYOTE.GADEMIT SHUBAMIT!!!!

MAREHEMU KABLA YA KUZIKWA,ACHAPWE BAKORA 100.PUMBAVU ZAKE!!!


#MAPENZI YAFUTWE!!!!

#KATAA NDOA,LINA UHAI WAKO!!!
 
Kasababu kamenyooka ole wako Unyomwi Unyumba Usijinyoge


Tutasenma Huelewi na kukutangaza dunia nzima kuwa unataka kupindua nchi ya Tanzania visiwani zanzibar
​
 
Huko mtaani mbona wadada wazuri sana wapo, ukishindwa kutongoza basi nunua maana upwiru unaweza kuleta ugonjwa.

Kujiua ni ubinafsi uliopitiliza.
 
Sema neno
Hadi naishiwa cha kusema Mkuu.

Kuna muda najisemea hii taasisi inayoitwa ndoa kwa wenye imani inahitajika kila wakati kumshirikisha aliye juu katika kumuomba ulinzi na hata namna ya matatuzi na maamuzi kwenye yote yanayotokea kwani imekuwa taasisi ngumu sana na kwa dunia ilipofikia peke yetu hatuwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…