Kutoka kwenye pushapu hadi kupiga magoti????.....something is wrong
Eti dhaifu. Nyie UFIPA mnataka yukoje sasa kama na JPM ni dhaifu.Ana piga goti kwani kakosea nini.kumbe ana jijua ..ii inatosha tu kumnyima kura zetu hafaiiii..kiongozi dhaifu uyu ..
SUBIRI KIDOGO
Tujuze hapo wapi hats na wengine tukavizie ubwabwa,kwa Rungwe hapana,naona mboga mboga.Huku napo wanasugua na kuosha masufuria View attachment 1584552
hawa watu wamelazimishwa kuhudhuria ila oct28 wanalao moyoniBundi katua mtini na kuleta sura za huzuni.
Mpayukaji tu na kufokea watu...ndo maana hashauriki ni dhaifuuuuu na mwogaaaaa..kachuke buku 7 yako kwanzaEti dhaifu. Nyie UFIPA mnataka yukoje sasa kama na JPM ni dhaifu.
Kama unacontribute kwanini unaiita white elephant?What did i contribute?!Mkuu una akili timamu?Mzee baba anadai kuwa miradi yote mikubwa inajengwa kwa pesa zetu za ndani ambazo ni kodi zetu then unaniuliza what did i contribute?!
Alitakiwa ale mwereka mmoja halafu adondokee macho yake yale kama MchawiWe! Hujamuona alivyotoka spidi kama ngiri afukuzwavyo na simba kuwahi kupiga naye magoti?
Kidogo apitilize mpaka chini ya jukwaa
Acha ushenzi wewe slutAcha ujuha kupiga magoti ni ishara ya unyenyekevu na uzalendo
Dkt. Magufuli ni mnyenyekevu mbele ya watanzania,anatuheshimu na anatupenda.
Hatishwi na siasa zenu zisizo na nidhamu
Huyu asiyepangiwa wala kushauriwa au mwingine?Acha ujuha kupiga magoti ni ishara ya unyenyekevu na uzalendo
Dkt. Magufuli ni mnyenyekevu mbele ya watanzania,anatuheshimu na anatupenda.
Hatishwi na siasa zenu zisizo na nidhamu
Ilani ya page 300 ukigawa kwa mikoa 30 (Zanzibar inclsv) unapata page 10 za kuelezea kila mkoa, mbona mpaka leo ni kununua ndege, meli na kujenga viwanja?Wana ilani ina zaidi ya page 300 huku hana cha kuwaambia wananchi
Bavicha life MattersNilijua yeye mwenyewe kaamua Kumbe kuna maombi yalikuwa yanapitishwa lakini ata kama angepiga kwa maamuzi yake bado hakuna shida maana aombwaye utukuzwa kwa kuwa yeye kwa wakati huo ndio mtoaji.
Kashikwa pabayaTundu Lissu shikilia hapo hapo maana mzee baba kapoteana
Waache watoto wasome. Wakijua watahudhuria chaguzi zijazo. Haki za binadamu mmezuiwa kukemea?View attachment 1584589
Walioombwa kura ni hawa wacheza chandimu
Kwanza unaelewa maana ya white elephant projects pamoja na features zake?Kwa sababu white elephant projects siyo neno la kejeli!(Kwa sababu naona unataka kuchukulia kama ni neno la kejeli)Kama unacontribute kwanini unaiita white elephant?
Inadaiwa huko Tabora nako walisombwa na uwanja kufurika, lakini vifo vilivyo tokea kwa kukanyagana ni siri. Tuwahurumie watoto, ni taifa la kesho.Hapo wamejaa watoto,wanafunzi na watu wazima wengi wamesombwa kutoka sehemu mbalimbali plus wasanii kina harmonize wapo upande wa pili lisu hana wasanii wala hana magari ya kubebelea watu
wakishinda hao hawatukumbuki tena utawasikia kama vyuma vimekaza weka gilisiDah mambo magumu jamani!
Hivi vitoto ndio amepigia magoti bila shaka View attachment 1584556
Viongozi wa Chama cha Mapinduzi ni wanyenyekevu sana... tutaendelea kuwaaminiDah mambo magumu jamani!
Hawa ccm ndo mtindo wao, ila wakishapata kura wanawafokea wananchi na kuwatendea kila tendo baya wanaloliona kwao kuwatendea.Dah mambo magumu jamani!