Uchaguzi 2020 Njombe: Dkt. Magufuli aomba kura kwa kupiga magoti mbele ya Wananchi

Uchaguzi 2020 Njombe: Dkt. Magufuli aomba kura kwa kupiga magoti mbele ya Wananchi

Hapo ndo utajua wanasiasa ni hamnazo kabisa,hawa ndio wanasema vijana jiajirini lazima nao wanyimwe ajira warudi mtaani
 
What did i contribute?!Mkuu una akili timamu?Mzee baba anadai kuwa miradi yote mikubwa inajengwa kwa pesa zetu za ndani ambazo ni kodi zetu then unaniuliza what did i contribute?!
Mkuu achana na haya mataahira, si ndio maana yanampigia makofi hata akikohoa sababu yanadhani zile hela anatoa ni za baba 'ake.
 
Baada ya kuona nguvu ya wasanii na FIESTA haitoshi, NEC imetolewa Knockout, wameamua kupiga magoti [emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20200905_083529_606.JPG
IMG_20200905_220321_684.JPG
IMG_20200906_170737_542.JPG
Screenshot_20200919-235345.jpg
IMG_20200929_172101_779.JPG
 
Kupiga magoti ni ujinga?

Akishinda mtakuja hapa kualalama mmeibiwa wakati akiomba kura kama hivi mnaona mjinga!

Bavicha ni vichwa ngumu
Tunataka mheshimiwa rais anadi kwa wananchi ilani ya uchaguzi aliyokabidhiwa na chama chake sio kutafuta kura za Huruma.
 
Dah mambo magumu jamani!


Mambo sio magumu ila Magufuli Mwenyezi Mungu amemsaidia kujua kuwa kazungukwa na watu wasiokua wakweli.
Mzee Magufuli mtangulize Mungu,epuka dhulma,hila na uonevu,achia uchaguzi uwe huru na wa haki.
Mwenyezi Mungu akutangulie!!
 
Kuna watu wanaosha vyombo na kusema chukua camera vizuri nionekane kabisa [emoji23][emoji116]


IMG_20200929_143612.jpg
 
Kuna msemo: wakati wa kuomba kazi mikono nyuma, ila baada tu ya kupata kazi hiyo mikono mbele!
Uombaji huu wa kura ni hatari sana wanapopata uongozi.

Umeona mbali sana Mkuu wangu.
 
Magufuli anatembea kwenye tunu za taifa,

Wewe Kama sio mwajibikaji lazima uone unafokewa

Hana cha tunu za Taifa lolote msaka tonge tu anayetumia ubabe na ukatiri kuficha ufisadi wake.

Angekuwa anajiamini hasingeuzika mchakato wa katiba mazima,kuzima Uhuru wa habari na kupata habari,Uhuru wa kutoa maoni,utawala bora na uwazi.

Huyu nduli wenu akishaiba kura mwambieni huku mtaani ni shida hata kupata mlo mmoja kwa sababu amevuruga sekta binafsi,hajaongeza mishahara kwa watumishi wa ummu,ameangusha bei za mazao yote ya biashara kunzia korosho,ufuta,mbaazi,pamba,kahawa,tumbaku mpaka katani.

Hasipojirekebisha hata akiiba kura uchaguzi ajue CCM itamfia mikokoni mwake 2025,mwenzie JK alisulika 2015.
 
Kama unacontribute kwanini unaiita white elephant?

Hiyo miradi ukiacha ule wa SGR ni white Elephant, subiri atoke madarakani baada ya tarehe 28 October 2020 au baada ya 2025 utajua uchafu wa hiyo miradi na ilivyotia hasara taifa hili wakati haina faida yoyote.
 
Kupiga magoti ni ujinga?

Akishinda mtakuja hapa kualalama mmeibiwa wakati akiomba kura kama hivi mnaona mjinga!

Bavicha ni vichwa ngumu
Ndugu yangu baadhi ya machadema uelewa wao ni was kiwango Cha chini Sana...yaani Magufuli atashinda Sana katika uchaguzi huu...baadala ya kutathimini mantiki ya Rais kupiga magoti Kama wananchi wengine walivyokuwa wamefanya kwenye mkutano yenyewe machadema yanakejeli...poor them...yenyewe kazi yao kuhamasisha vurugu na kutupiwa mawe polisi na polisi wakijibu kwa mabomu ya machozi yanalalamika ...hopeless kabisa...yamemuua kijana wa Njombe na polisi wanashughulikia Sasa yameanza kuhoji polisi kwanini machadema baadhi yao yamekamatwa...yalichoma ofisi sehemu mbalimbali Kama mkakati wa kuichafua serikali...Kila wakati yanahamasisha vurugu huku yakitishia kinachoitwa the Hague yasijue kuwa kwa kuhamasisha vurugu yenyewe ndiyo yatakuwa watuhumiwa nambari want..
 
Back
Top Bottom