wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Hivi hizi mambo hadi za kuwekwa kwenye viti wakati kampeni huwa ni jambo la muda mfupi linashangaza sana.Bundi katua mtini na kuleta sura za huzuni.
Mimi binafsi siwaelewi hawa jamaa wanaoratiba hizi mambo. Jukwaa utadhani ni shughuli ya wiki.
Tunachezea sana hela sisi.