Mzee baba leo kwa unyenyekevu mkuu amepiga magoti mpaka wapambe wake wameshangaa walahi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi angekuwa ni upande wa pili, ungeandika hivi?Kwani kuna tatizo gani iwapo hajadhulika na ni matakwa ya wapigakura ili wampigie kura,amepungukiwa nini unadhani?
Mbona wanaume wanachuchuma chooni kunya kama wanawake wamekosa niji?
Ila huyu mzee siku akiwa hayupo madarakani aminini nawaambia tutamkumbuka sana!!!!! Mimi ni kijana ambaye napenda maendeleo na kwabahati nzuri nimejiajiri najua ugumu wakujitegemea ila kwa miradi ya huyu serikali inayofanya kama akichaguliwa huyu mzee akaimaliza kweli nakwambia hii ichi vilio vyote vitaisha na tutaishi kwa raha sana... Tujifunze kuwa na jicho la kuona mbali wakuu!!! Huyu mzee kupiga goti anaomba kura sio sahihi ila nimeona kajishusha kwa unyenyekevu mkubwa sana kwa hao wananchi na iyo ni baraka kwao.... Maendeleo hayana chama
Yaani hapo kwa Njombe Magufuli atapata kura nyingi Sana...uko sahihi...kwa wabena na wahehe kupiga magoti ni kielelezo Cha unyenyekevu mkubwa Sana..wafuasi wa amustadamu wanashangaa magoti njombe??? kwani nani asiyejua mila za ndugu zetu wahehe na wabena?
Yaani hapo kwa Njombe Magufuli atapata kura nyingi Sana...uko sahihi...kwa wabena na wahehe kupiga magoti ni kielelezo Cha unyenyekevu mkubwa Sana..
Sawa...Wabena hawanaga shida zaidi ya maendeleo yao
Sawa kabisa Mbena wa kizazi kipya...sawa kabisa Mbena wa mjini....jamani muwe angalau mnarudi nyumbani kwenu mlikotoka kuwasalimu mababu, Bibi na kunywa ulanzi...tehtehtehWabena hawanaga shida zaidi ya maendeleo yao
[emoji848][emoji848][emoji57]Huku napo wanasugua na kuosha masufuria View attachment 1584552
Nimekusoma mkuu😁😁😁😁Sawa kabisa Mbena wa kizazi kipya...sawa kabisa Mbena wa mjini....jamani muwe angalau mnarudi nyumbani kwenu mlikotoka kuwasalimu mababu, Bibi na kunywa ulanzi...tehtehteh
Njombe maji hayawezi kuzidi unga hata siku moja, nakuahakikishia mkoa ule sio Chadema tu chama chochote pinzani hakipati ubunge katika majimbo yake hizo ni mbwembwe za siasa tu.😂😂😂😂😂😂Pale maji yanapozidi unga! Lissu the GREATEST si wa mchezo mchezo.
Kijana, usihadaiwe na usanii. Wanyenyekevu utawatambua kwa Maneno na matendo yao.Ila huyu mzee siku akiwa hayupo madarakani aminini nawaambia tutamkumbuka sana!
HahahahaNimekusoma mkuu😁😁😁😁
Nakupa heshma kubwa kwa mbena mwenzangu