Njombe: Mfanyabiashara aliyevamiwa na kujeruhiwa afariki dunia

Njombe: Mfanyabiashara aliyevamiwa na kujeruhiwa afariki dunia

Wewe itakuwa ni mmoja wa majambazi maana unajua ni mauzo ya siku ngapi na ndipo ukamvizia 🤣🤣🤣
Nimesoma hiyo habari sijaona waliposema mauzonya mil 45 kwa siku. Alafu biashara ya miamala hayo mauzo ya mil 45 ndio nn? Tumia akili
Pia wenye hizo biashara za miamala pesa huondoka nazo, hawezi kuacha hapo kibandani/fremu. Wengi huondoka nazo wanapofunga
 
Kumbe ni biashara za miamala!!
Nilikuwa najua ni mfanyabiashara wa bidhaa mchanganyiko
 
With CCM governance and mwiguluconomic policies am not sure we have anywhere to go.

The government hates digital economy because they don't have a hold on it when it comes to their personal interest.
That argument is moot. The reverse is true, infact the government will have more oversight with a cashless economy (which is bad thing BTW).
 
rudi tu ndugu,, nyumbani ni nyumbani,sie tunakomaa kibabe
Nitarudi tu mwa upete mie niende Wapi wakati kwetu ni nchi ya asali na maziwa!.? Nimetoka hapo mwezi uliopita...ila sio Kwa kipupwe kile 🤔
 
Back
Top Bottom