Njombe: Mfanyabiashara aliyevamiwa na kujeruhiwa afariki dunia

Njombe: Mfanyabiashara aliyevamiwa na kujeruhiwa afariki dunia

njombe nilikuwa napachukulia poa ila ni sehemu hatari

nasikia kuna tajiri mmoja huko aliitwa bomoa, alikuwa anateka wasichana mikoani anakuja kuwaweka kwenye danguro lake,

baada ya kufa polisi walichunguza nyumba yake wakakuta alikuwa na chumba cha kuchinjia watu
inataka kufanana na ya yule jamaa alokua anateka mabinti anawabaka akichoka anachukua magunzi/mabunzi na matango,,aliwanyonya chuchu hadi zinakatika mbwa yule
wakifa anafunga kwenye mfuko kutupa mtoni.
 
Hii mpya
Alikuwa kona zipi huyo
kilimani au kihesa huku aseee,,kukamatwa kujieleza alipewa mashart na mganga na alkua anashirikiana na mwenye nyumba wake
mwenye nyumba alkua mwanamke,,walvoshtukiwa mwenye nyumba akajidai nayeye mhanga,,kupelekwa hospital mda wa folen akakimbi
yule kijana alipokonywa cm zkaonekana mesej zao
 
Mfanyabiashara maarufu Mjini Njombe, Godfrey Ndambo (45) ambaye ni Mkazi wa Uzunguni Kata ya Ramadhan Wilaya na Mkoa wa Njombe amefariki wakati akipata matibabu mara baada ya kuvamiwa na Majambazi waliompiga na kitu kizito kichwani nje ya geti wakati akiingia nyumbani alipokuwa akitoka kazini kwake na kisha wakaondoka na Tsh. milioni 47 ambazo alitoka nazo dukani kwake.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe Mahamoud Banga amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo amesema Mfanyabiashara huyo alivamiwa July 20,2024 saa mbili na nusu usiku wakati akitoka kwenye shughuli zake za biashara ambapo mpaka sasa Jeshi la Polisi linaendelea na upelelezi juu ya tukio.

“Ndambo alivamiwa wakati anatoka kwenye shughuli zake za biashara wakati anaingia getini na kupigwa na kitu kizito kichwani na waliompiga ambao bado hatujajua idadi yao waliweza kutoweka na fedha ambazo zinakadiriwa kuwa ni Tsh. milioni 47 kulingana na taarifa tulizozipata kutoka katika biashara yake ya hesabu zilizofungwa lakini majeruhi alitibwa katika Hospitali yetu ya Kibena na baadaye alihamishiwa Mkoa wa Mbeya na wakati matibabu yanaendelea akafariki”

RPC Banga ametoa wito kwa Wafanyabiashara ambao wamefunga CCTV camera, muda wote ziwe zinafanya kazi ili kusaidia pia katika uchunguzi kwa kuwa kutokana na tukio hilo wamepata changamoto maana camera ndani ya nyumba ya Mfanyabishara huyo hazifanyi kazi kwa kuwa zilikuwa zimezimwa huku pia akiwaomba wanaofanya shughuli za biashara ya fedha kuweka fedha zao benki kuliko kurudi na fedha nyumbani.
#MillardAyoUPDATES
View attachment 3049165
Wakinga/ Wabena ni watu wa kufanya biashara za masharti ya kishirikina. Siku hizi kuna lipa Namba kwa mtandao lakini Wakinga awanataka cash money. Ndiyo masharti yenyewe ngoja tusikie zaidi
 
Niliondoka na kupitia bar kupata moja. Walikuwa na demu moja mkali akawa anajigonga kwangu ili aniwekee dawa za usingizi kwenye bia.
Imenikumbusha Prof mmoja naye alifanyiwa hivi, yeye alikuwa na bahasha yenye scripts za wanafunzi, akategwa akalala, wakachukua bahasha, kwenda kufungua wakakuta ni mitihani, wakatupa huko, kesho yake Prof hana script hata moja
 
kilimani au kihesa huku aseee,,kukamatwa kujieleza alipewa mashart na mganga na alkua anashirikiana na mwenye nyumba wake
mwenye nyumba alkua mwanamke,,walvoshtukiwa mwenye nyumba akajidai nayeye mhanga,,kupelekwa hospital mda wa folen akakimbi
yule kijana alipokonywa cm zkaonekana mesej zao
Mungu awalaani kabisa
 
Back
Top Bottom