Njombe: Serikali yakasirishwa na Kitendo cha CHADEMA kuzindua Mradi wa Maji, figisufigisu zaanza

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mradi wa Maji unaohudumia zaidi ya kaya 150, uliofadhiliwa na kusimamiwa na Chadema, na hatimaye kuzinduliwa na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, umesababisha Mtafaruku mkubwa huko Njombe.

Hii ni baada ya viongozi wa serikali kuwakalia kooni wanakijiji na kuwahoji kwanini waliwaleta Chadema kuzindua mradi huo.

Haya hapa ni Mahojiano ya viongozi hao na wanakijiji.

Kula chuma hicho:

FB_IMG_1684742103441.jpg
 
View attachment 2631015
Hao majambazi wa ccm hakuna kitu hawatakagi kukizindua. Hata ujambazi na wizi tunao uona umezinduliwa na ccm. Nasema uongo jamani tusome ripoti ya CAG msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
 
Viongozi wa serikali na watendaji wao waache ushamba. Kinachotakiwa kwa sasa ni serikali kuboresha na kurasimisha huo mradi na kama kuna mapungufu katika design na ujenzi ni jukumu la serikali kurekebisha ili wananchi waendelee kupata huduma
 
CCM ni wendawazimu....nimekumbuka Jimbo la Ilemela Mbunge wa CHADEMA aliwahi kununua Ambulance serikali wakaikataa,...akapambana sana..Nakumbuka PM Pinda enzi hizo akaingilia kati. Ikapokelewa,...CCM hao wakafanya namna dereva wa halmashauri wakamseti gari ikapata ajali mbaya sana ikawa nyang'anyang'a....kutahamaki gari haikuwa na bima...ikatoka barabarani..Hawakuishia hapo...Mbunge aliyeinunua na kuwakabidhi halmashauri CCM wakamcharanga Mapanga hatari .Ni ngumu mno kufahamu CCM wanasimamia nini ,hasa linapofika suala la huduma kwa wananchi.
 
Mradi wa Maji unaohudumia zaidi ya kaya 150, uliofadhiliwa na kusimamiwa na Chadema, na hatimaye kuzinduliwa na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, umesababisha Mtafaruku mkubwa huko Njombe.

Hii ni baada ya viongozi wa serikali kuwakalia kooni wanakijiji na kuwahoji kwanini waliwaleta Chadema kuzindua mradi huo.

Haya hapa ni Mahojiano ya viongozi hao na wanakijiji.

Kula chuma hicho:

View attachment 2631015
Au nimesahau Sasa SI tupo kwenye zama za siasa za kistarabu kama mradi wa maendeleo umezinduliwa na chadema Nini shida mama karuhusu kuvumiliana sawa nyie ccm
 
Mradi wa Maji unaohudumia zaidi ya kaya 150, uliofadhiliwa na kusimamiwa na Chadema, na hatimaye kuzinduliwa na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, umesababisha Mtafaruku mkubwa huko Njombe.

Hii ni baada ya viongozi wa serikali kuwakalia kooni wanakijiji na kuwahoji kwanini waliwaleta Chadema kuzindua mradi huo.

Haya hapa ni Mahojiano ya viongozi hao na wanakijiji.

Kula chuma hicho:

View attachment 2631015
ccm walivyo na akili za ajabu huo mradi wote wataubomoa kuwaadhibu wananchi
 
Mradi wa Maji unaohudumia zaidi ya kaya 150, uliofadhiliwa na kusimamiwa na Chadema, na hatimaye kuzinduliwa na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, umesababisha Mtafaruku mkubwa huko Njombe.

Hii ni baada ya viongozi wa serikali kuwakalia kooni wanakijiji na kuwahoji kwanini waliwaleta Chadema kuzindua mradi huo.

Haya hapa ni Mahojiano ya viongozi hao na wanakijiji.

Kula chuma hicho:

View attachment 2631015
Mungu Ibariki CHADEMA
 
Hongereni CHADEMA kwa kuleta maji Njombe, endeleeni hivyo hivyo nchi nzima.
 
Back
Top Bottom