Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hao majambazi wa ccm hakuna kitu hawatakagi kukizindua. Hata ujambazi na wizi tunao uona umezinduliwa na ccm. Nasema uongo jamani tusome ripoti ya CAG msema kweli ni mpenzi wa Mungu.Mradi wa Maji unaohudumia zaidi ya kaya 150, uliofadhiliwa na kusimamiwa na Chadema, na hatimaye kuzinduliwa na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, umesababisha Mtafaruku mkubwa huko Njombe.
Hii ni baada ya viongozi wa serikali kuwakalia kooni wanakijiji na kuwahoji kwanini waliwaleta Chadema kuzindua mradi huo.
Haya hapa ni Mahojiano ya viongozi hao na wanakijiji.
Kula chuma hicho:
View attachment 2631015
HakikaHao wenye Ushamba na Roho mbaya watakuwa Mabaki ya Kayafa
Utawala bora ni afya ya Taifa
Noma sana !Sisi tupo hapa tunashangilia na kubishana nani alijenga ikulu ya chamwino? Yaani nchi masikini wananchi wake wanabishana uwepo wa IKULU MBILI na wafanyakazi wasiotulia ofisini wakisafiri usiku kucha
Au nimesahau Sasa SI tupo kwenye zama za siasa za kistarabu kama mradi wa maendeleo umezinduliwa na chadema Nini shida mama karuhusu kuvumiliana sawa nyie ccmMradi wa Maji unaohudumia zaidi ya kaya 150, uliofadhiliwa na kusimamiwa na Chadema, na hatimaye kuzinduliwa na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, umesababisha Mtafaruku mkubwa huko Njombe.
Hii ni baada ya viongozi wa serikali kuwakalia kooni wanakijiji na kuwahoji kwanini waliwaleta Chadema kuzindua mradi huo.
Haya hapa ni Mahojiano ya viongozi hao na wanakijiji.
Kula chuma hicho:
View attachment 2631015
ccm walivyo na akili za ajabu huo mradi wote wataubomoa kuwaadhibu wananchiMradi wa Maji unaohudumia zaidi ya kaya 150, uliofadhiliwa na kusimamiwa na Chadema, na hatimaye kuzinduliwa na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, umesababisha Mtafaruku mkubwa huko Njombe.
Hii ni baada ya viongozi wa serikali kuwakalia kooni wanakijiji na kuwahoji kwanini waliwaleta Chadema kuzindua mradi huo.
Haya hapa ni Mahojiano ya viongozi hao na wanakijiji.
Kula chuma hicho:
View attachment 2631015
Mungu Ibariki CHADEMAMradi wa Maji unaohudumia zaidi ya kaya 150, uliofadhiliwa na kusimamiwa na Chadema, na hatimaye kuzinduliwa na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, umesababisha Mtafaruku mkubwa huko Njombe.
Hii ni baada ya viongozi wa serikali kuwakalia kooni wanakijiji na kuwahoji kwanini waliwaleta Chadema kuzindua mradi huo.
Haya hapa ni Mahojiano ya viongozi hao na wanakijiji.
Kula chuma hicho:
View attachment 2631015
Hongereni CHADEMA kwa kuleta maji Njombe, endeleeni hivyo hivyo nchi nzima.Mradi wa Maji unaohudumia zaidi ya kaya 150, uliofadhiliwa na kusimamiwa na Chadema, na hatimaye kuzinduliwa na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, umesababisha Mtafaruku mkubwa huko Njombe.
Hii ni baada ya viongozi wa serikali kuwakalia kooni wanakijiji na kuwahoji kwanini waliwaleta Chadema kuzindua mradi huo.
Haya hapa ni Mahojiano ya viongozi hao na wanakijiji.
Kula chuma hicho:
View attachment 2631015
Kazi imeanza RasmiHongereni CHADEMA kwa kuleta maji Njombe, endeleeni hivyo hivyo nchi nzima.
.Hongereni CHADEMA kwa kuleta maji Njombe, endeleeni hivyo hivyo nchi nzima.