Njoo mfahamu Mwifwa, kama humfahamu.

Sema sitobadili avatar

Na iman ume ni follow
Bado ila niko kwenye harakati za kukufollow.

Mimi nina ID kongwe kidogo(since Feb 2015) kule, sitaki nijulikane kabisa.

Pia nina ID nyingine real kwa matumizi mengine ya koneksheni japo siitumii sana kama ile fake
 
Nataka sitaki siyo? 😂😂😂😂😂ugwadu ukimzidia anakutafuta hata Dodoma atatia mguu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Mhg huyu mzee ujue ya kale hayaozi simuelewagi labda kaweka hazina zake hapa kunako manyonyo ngoja nijipihe nikutumie pm uone balaaa la kalumanzila
 
Hahahahahahaha hajakuwekea ule mtego wa kunasana? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] naogopa mie! Mambo yote hadharani [emoji6][emoji6][emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Reactions: BAK
Bado ila niko kwenye harakati za kukufollow.

Mimi nina ID kongwe kidogo(since Feb 2015) kule, sitaki nijulikane kabisa.

Pia nina ID nyingine real kwa matumizi mengine ya koneksheni japo siitumii sana kama ile fake
Hata mm mzee

Ile kuna kitu nakitafuta pale twita

Subiri si utaona siku ntakayochomoa betri

Ila nyingine hyo ni real na kila kitu kuanzia picha mpaka sehemu nilipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…