Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Jaman kwan hujakua badooo
Duuh! Nikiwa mkubwa naandika uzi kama huu na Mimi nipate reply kama hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh! Nikiwa mkubwa naandika uzi kama huu na Mimi nipate reply kama hii.
Bado ila niko kwenye harakati za kukufollow.Sema sitobadili avatar
Na iman ume ni follow
Sawa sawa....
Nilijua haipo niwasaidie kuijaza hasa wakike lakini hawa wa kiume wanipite kushoto.
Mhg huyu mzee ujue ya kale hayaozi simuelewagi labda kaweka hazina zake hapa kunako manyonyo ngoja nijipihe nikutumie pm uone balaaa la kalumanzila
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahahaha hajakuwekea ule mtego wa kunasana? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] naogopa mie! Mambo yote hadharani [emoji6][emoji6][emoji6]
Hahaha hahaha hahaha imefika mwisho wa safar
Naamini misaada yenu haijavuka mpaka kwa mashemeji zetu. Ntawaombea dua mbayaBaba Swalehe ni rafiki yangu sanaaaaaa. Stori yangu na yeye ni somo kubwa katika ulimwengu wa urafiki.
Kanisaidia sana nami nimemsaidia mno..
Kuona hii reply nimekuwa ghafla.Jaman kwan hujakua badooo
eapy yuko kwa wifi yake Atoto analea kichanga. Tatizo hajui baba wa mtoto ni nani kati ya Kaizer au MentorHawa watu wameenda wapi siwaoni kabisa.
Sakayo
Shunie
@espy
Heaven Sent
Nalendwa
joanah
jje's
Mzigua90
Na wengine wengi
Mama Sabrina
Washaolewa wote kweli!! Ama kweli subiri subiri utakuta mwana si wako
Hata mm mzeeBado ila niko kwenye harakati za kukufollow.
Mimi nina ID kongwe kidogo(since Feb 2015) kule, sitaki nijulikane kabisa.
Pia nina ID nyingine real kwa matumizi mengine ya koneksheni japo siitumii sana kama ile fake
PUGU SEC?Pondi boi
Teh .... 😅😅😅Hata Mimi nimesoma udaktari, ila Mimi nilisoma na Dr. Ndondi, haha Haa just kidding, yule jamaa alikuwa muongo sana
Hpn bi mkubwaUnepataaa mke niwe nyumba ndogo