Wengine tunajiamini kuliko wakongwe,sema hatuaminiki.Wakongwe wanajiamini zaidi hawa wapya vijana magumashi mengi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwaníni hauaminiki bossWengine tunajiamini kuliko wakongwe,sema hatuaminiki.
Hahaha,kuna vitu tumenyimwa bro. Kama vile......![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwaníni hauaminiki boss
Utamuamini vipi mgeni bro ? Kwa mfano mimi ni mtafiti,na mkae mjue kabisaaaaaa...![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwaníni hauaminiki boss
Wakongwe ni rahisi kupata habari zao bro. Unakuta wanapewa nguvu na wanao wajua.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwaníni hauaminiki boss
sasa sikia wewe nenda uzi wa kupeana likes ukaongeze idadiKumbe likes nazo kigezo ? Tuonyeshane machimbo hayo.
Wanasema hivyo bro. Mimi humu kuna mwana mama namfatilia kimya kimya,codes ziki run vizuri. Kwa maana moyo ukimdondokea kweli kweli.Kwahiyo mnakataliwa kiss idadi ya likes?
Huko siendi bro sababu si lengo. Ila haya tunayoyajadili hapa ni matokeo tu kama vituo.sasa sikia wewe nenda uzi wa kupeana likes ukaongeze idadi
Nami nitafutie mkuuWanasema hivyo bro. Mimi humu kuna mwana mama namfatilia kimya kimya,codes ziki run vizuri. Kwa maana moyo ukimdondokea kweli kweli.
Nazungumza na wanao mjua mtu wanipe info zake,kisha namfata kitaa,ili akanikatae huko huko.
Simfati inbox. Wengine wakiwa inbox wanajiamini sanaaaaaaaaaaaaa.
Wewe hawawezi kukubali bro,ulijiunga ukiwa mdogo sana,na inaonekan a kilicho kufanya ujiunge kilikuwa hakinaashiko yaani kilienda sanjari na umri wako.Aiseee. Nimejiunga JF wakati nina miaka 17. Guess nna umri gani mwaka huu. Maana toka nipo sijui form 4 ndo nilijiunga mwaka 2011 mpaka sasa npo in service.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ushanidabaYeah nilitaka nikutolee mfano wa huyo mkuu hapo juu since 2011 kabla hajatoa maelezo yake,
Ungemkadiliaje?
Nikutafutie nini ? Nikutafutie mwanamke au ?Nami nitafutie mkuu
Hamna siangalii hiyo najibu kutokana na mtu alivyo nitext walionipm wote nawajibu sema sasa kuna wanaojielewa na kama hivyo wenye ID kongwe wanapewa heshima yaoKumbe bi dada. Vizuri sana. Vipi na ww huwa unaangalia ID kongwe??
MhNimekua lakini sijajua bado. Sema guts zangu zinaniambia nimekuja to the right teacher...
Ni mmoja kati ya wanaume wachache nisiejua kutongozaNikutafutie nini ? Nikutafutie mwanamke au ?
Kama kukutafutia mwanamke,daah kama unanivunjia heshima vile,ila poa. Hilo limepita.
Sijawahi mtafutia mtu mwanamke kwa maana ya mwamke. Ila nimewahi kumuonyesha mtu nyumba ya kwenda kuoa.
Kaka komaa kivyako.
I learned something from you. Kumbe kuwa na ID kongwe ni hazina. Ngoja niwe Tongoza Tongoza nitest mitamboHamna siangalii hiyo najibu kutokana na mtu alivyo nitext walionipm wote nawajibu sema sasa kuna wanaojielewa na kama hivyo wenye ID kongwe wanapewa heshima yao
Ukiruka ruka kama ndama utakula vya mbavuI learned something from you. Kumbe kuwa na ID kongwe ni hazina. Ngoja niwe Tongoza Tongoza nitest mitambo
Kujua udhaifu wako bro ni sababu ya kuwa mshindi na kuepuka fedheha ya lile unalotaka kuliendea kwa udhaifu wako.Ni mmoja kati ya wanaume wachache nisiejua kutongoza
Chonde chonde siwezagi kusema uongo kuepusha dhambi naomba nisijibu hili.Kumbe eeeh... yako mpya ipi?