Njoo na Id yenye miaka 6+na likes sio chini ya 50k

Njoo na Id yenye miaka 6+na likes sio chini ya 50k

Ila wanakosa bahati.

Unaweza kuchukia sehemu yenye heri na wewe. Hahahaha.

Hapa usiniulize swali kivipi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwaníni hauaminiki boss
Wakongwe ni rahisi kupata habari zao bro. Unakuta wanapewa nguvu na wanao wajua.

Sasa mimi Zurri sijulikani nani atampa mwana fulani habari zangu.

Kaka solution ni kuacha kuwatongoza tu.
 
Kwahiyo mnakataliwa kiss idadi ya likes?
Wanasema hivyo bro. Mimi humu kuna mwana mama namfatilia kimya kimya,codes ziki run vizuri. Kwa maana moyo ukimdondokea kweli kweli.

Nazungumza na wanao mjua mtu wanipe info zake,kisha namfata kitaa,ili akanikatae huko huko.

Simfati inbox. Wengine wakiwa inbox wanajiamini sanaaaaaaaaaaaaa.
 
sasa sikia wewe nenda uzi wa kupeana likes ukaongeze idadi
Huko siendi bro sababu si lengo. Ila haya tunayoyajadili hapa ni matokeo tu kama vituo.

Unakuta lengo ni safari ila njiani kuna mambo mengi,kama hivi unakutana na warembo wanakuvutia kama vile kuchimba dawa ukiwa na gari yako private hujui utachimba dawa wapi.

Hatari....!
 
Wanasema hivyo bro. Mimi humu kuna mwana mama namfatilia kimya kimya,codes ziki run vizuri. Kwa maana moyo ukimdondokea kweli kweli.

Nazungumza na wanao mjua mtu wanipe info zake,kisha namfata kitaa,ili akanikatae huko huko.

Simfati inbox. Wengine wakiwa inbox wanajiamini sanaaaaaaaaaaaaa.
Nami nitafutie mkuu
 
Aiseee. Nimejiunga JF wakati nina miaka 17. Guess nna umri gani mwaka huu. Maana toka nipo sijui form 4 ndo nilijiunga mwaka 2011 mpaka sasa npo in service.
Wewe hawawezi kukubali bro,ulijiunga ukiwa mdogo sana,na inaonekan a kilicho kufanya ujiunge kilikuwa hakinaashiko yaani kilienda sanjari na umri wako.
 
Nami nitafutie mkuu
Nikutafutie nini ? Nikutafutie mwanamke au ?

Kama kukutafutia mwanamke,daah kama unanivunjia heshima vile,ila poa. Hilo limepita.

Sijawahi mtafutia mtu mwanamke kwa maana ya mwamke. Ila nimewahi kumuonyesha mtu nyumba ya kwenda kuoa.

Kaka komaa kivyako.
 
Kumbe bi dada. Vizuri sana. Vipi na ww huwa unaangalia ID kongwe??
Hamna siangalii hiyo najibu kutokana na mtu alivyo nitext walionipm wote nawajibu sema sasa kuna wanaojielewa na kama hivyo wenye ID kongwe wanapewa heshima yao
 
Nikutafutie nini ? Nikutafutie mwanamke au ?

Kama kukutafutia mwanamke,daah kama unanivunjia heshima vile,ila poa. Hilo limepita.

Sijawahi mtafutia mtu mwanamke kwa maana ya mwamke. Ila nimewahi kumuonyesha mtu nyumba ya kwenda kuoa.

Kaka komaa kivyako.
Ni mmoja kati ya wanaume wachache nisiejua kutongoza
 
Hamna siangalii hiyo najibu kutokana na mtu alivyo nitext walionipm wote nawajibu sema sasa kuna wanaojielewa na kama hivyo wenye ID kongwe wanapewa heshima yao
I learned something from you. Kumbe kuwa na ID kongwe ni hazina. Ngoja niwe Tongoza Tongoza nitest mitambo
 
I learned something from you. Kumbe kuwa na ID kongwe ni hazina. Ngoja niwe Tongoza Tongoza nitest mitambo
Ukiruka ruka kama ndama utakula vya mbavu

Wakongwe ni wastahimilivu hawana pupa kama nyie watoto full makelele

Oyaaa wewe vipi mbona kimya

Hizo oya oya zenu sizipendi kama nini
 
Ni mmoja kati ya wanaume wachache nisiejua kutongoza
Kujua udhaifu wako bro ni sababu ya kuwa mshindi na kuepuka fedheha ya lile unalotaka kuliendea kwa udhaifu wako.

Kwanza huwa siamini katika kutongoza huwa naamini katika kumwambia ukweli umtakaye kiume.

Bro achana na suala la kutongoza,hiyo ni silaha kwako.

Heshima kwako kaka mkubwa.
 
Back
Top Bottom