Njoo na Id yenye miaka 6+na likes sio chini ya 50k

Njoo na Id yenye miaka 6+na likes sio chini ya 50k

Kwanini kina dada mnawaamini hawa watu hivi...sisi tuliojiunga mwaka jana mwaka juzi tukija mnatuona kama wazinguaji.

Hamjui hata hawa wakongwe wapo hivi. kukuchezea ni tabia ya mtu tu haina uhusiano na ukongwr au idadi ya likes.

Japo nikiri kweli member wapya huwa tuna mwaga pumba na comments za ajabu humu. Tunaongoza. Nimefikiria niende kwenye ule uzi wa likes kisha nirudi.

Mjaribu kutufikiria nasi...jaribuni kutusikiliza hadi mwisho sio haujaongea tu unapigwa cha mbavu.
Chalii unasaka kinyama ujapata Tu
 
Hamna namna inabidi tu nivute subra mpaka mwaka 2020 ndo ntakuwa nmefikisha miaka sita,ndio ntaanza kuingiakwenye mtanange
hahaha uanze kuwadanganya watoto wetu ambao watakuwa wamejiunga muda huo.

Mkono wa sheria ni mrefu jichunge.
 
Ngoja niwaambie vijana!!.....

Maua ya kondeni yanapendeza kwa asili yake na sio kumfurahisha mtu....ila Mtu kwa kufurahishwa nayo huyachuma na kuyapeleka nyumbani......

Kuwa vile ulivyo na watu wanaojua au kuona umuhimu wako watakuja karibu yako!!!!.....

Usibadili kariba yako kwa utashi wa mtu bali kariba yako ndio iwavutie watu!!!...


Word is enough for the wise!!!
hakuna mahali nitakapoona ujumbe wako nikaacha kusoma na kila ninaposoma jumbe zako lazima nijifunze kitu

i appriciate bro, faza, babu, anko, pal
 
Kuna kile kipindi unajamiana na wa kike hadi unadhani huyu hanipigi cha mbavu ukiingia yanakuwa mengine Mzee baba....
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Njia panda njia panda.

mshirikishe Mungu kwenye njia panda yako.

mshirikishe mwamba kwenye njia panda yako.
Khaaaaa haya [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Mzee baba unaweza jipa makonfidence mia kuwa huyu haruki. Ukimuingia salaleeee. Kidume unarudi mdogo kama piriton. Sema kwa kuwa ni pm inabaki siri yenu.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] bora mimi mwanamme Mpole kabisa huwaga sisogei kabisa getini
 
Back
Top Bottom