RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Unazidi kunitisha...ina maana hio ni ya kazi maalumYanatokea mengi humu..
Id 2011 post tatu ni hatari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unazidi kunitisha...ina maana hio ni ya kazi maalumYanatokea mengi humu..
Id 2011 post tatu ni hatari.
Umezi hide mzee... fungua nikusomee.
Hapana mkuu...nimesikia sifa za wasiojulikana sitaki kuwajaribu
Ukitaka kuingia mtoni pima kimo cha maji kwa mti, kamwe usitumie mguuUshauri wako nini dada...
sijalia tafadhali.
Angalia na idadi ya post, kuna kipindi ilikua nikilogin jf inaniambia nitume japo post moja ili acc iwe activeUtakuwa unaongeaga pumba mkuu.
Au huna point au unaona tatizo ni nini wewe?
Unaongelea uzoefu au hadithi tu?ndiyo yale unakuta uko in love na Id tatu na zote za mtu mmoja.
Uharibu nini tena?nisiharibu.
Huyu ni wazi anaongelea uzoefu....vipi unaweza kutupa mrejesho kama ushatokewa/ushatokea fake ID?Unaongelea uzoefu au hadithi tu?
Wanatufanya tuwe wanaharakati bila kupendainabidi tuanzishe movement yetu
Labda Ndio udhaifu wanguHadithi ila naweza kuzi back up...
kwanini una maswali magumu?
Cha ajabu hili halipo kwa Id za jinsia zote mkuu...Kuna kaukweli fulani ID kongwe zinatusua sana na kula tamu humu na kuheshimiwa pia kuliko ID mpya
kwenye idadi ya likes nisijue tu lakini ID yenye miaka mitano hata akiuliza kitu(kutongoza au kinginecho) anajibiwa kwa adabu
Lakini mkongwe mwenye likes chache ni wa kuogopa nae
La msingi lugha chezeni na lugha kuna watu hawajui kutumia lugha laini