Njoo na Id yenye miaka 6+na likes sio chini ya 50k

Kuna kaukweli fulani ID kongwe zinatusua sana na kula tamu humu na kuheshimiwa pia kuliko ID mpya

kwenye idadi ya likes nisijue tu lakini ID yenye miaka mitano hata akiuliza kitu(kutongoza au kinginecho) anajibiwa kwa adabu

Lakini mkongwe mwenye likes chache ni wa kuogopa nae

La msingi lugha chezeni na lugha kuna watu hawajui kutumia lugha laini
 
Cha ajabu hili halipo kwa Id za jinsia zote mkuu...

wa kike wakizeeka kwa id zao kongwe wanafungua mpya mpya.
 
Unajua ni mara ya saba sasa na jaribu kusoma ....huu uzi sielew kitu ... Nimempa hadi swalehe ... Anitafsirie kilichoandikwa anadai et mnasema mnauza bagia hapa " nipo on dilema ...mnadiscuss nn hapa
 
Back
Top Bottom