Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa kike wakongwe nikujihisi tu kuwa atakadiriwa umri wake labda anaona afungue ID mpyaCha ajabu hili halipo kwa Id za jinsia zote mkuu...
wa kike wakizeeka kwa id zao kongwe wanafungua mpya mpya.
Hivi kuzimu kuna muda ?[emoji15]Huko ulipo ni saa ngapi?
Hapana sitaki .... Baba kasema nikomentigi hadi akirud kutoka shuleMrudishie simu baba yako....
sawa mtoto mzuri.
Yashakukuta au ? Maana naona unakimbia swaliSio kwamba unaenda kote unagoogle maswali magumu ili unikomoe?
we unazo Ngapi?Tatizo lenu mna Id nyingi hamjui mbaki kwenye Id zipi.
Hahaha...Wa kike wakongwe nikujihisi tu kuwa atakadiriwa umri wake labda anaona afungue ID mpya
Kuna kasumba kuwa jf ilikuwa ni kwa ajili wa watu flani wasomi au watu wazima hivi ,
Ndo maana ID kongwe zinapewa kipaumbele
Kwa sasa ni tofauti hata vitoto vimo humu
Tizama mada na aina ya michango bado na maskendo yanayoendelea humu ya kingono utapeli nk
Lugha laini ndo zikoje, tufundishane jamani. wengine tulisoma sayansi, kuremba mwandiko hatuweziKuna kaukweli fulani ID kongwe zinatusua sana na kula tamu humu na kuheshimiwa pia kuliko ID mpya
kwenye idadi ya likes nisijue tu lakini ID yenye miaka mitano hata akiuliza kitu(kutongoza au kinginecho) anajibiwa kwa adabu
Lakini mkongwe mwenye likes chache ni wa kuogopa nae
La msingi lugha chezeni na lugha kuna watu hawajui kutumia lugha laini
Sawa ila mkojo haujanibana ... Sasa ntakojoa wapKakojoe basi kuna jambo tunataka kusema wakubwa... sawa!
Naona unakwepa kujibu swaliYanikute kwa nani sasa!
Sawa Libabalibaba tu limekosa cha kufanya linasumbua watu.
Mbaba anaeweza kuwa zuzu hivyo ni hasara kwa ukoo wake na jamii yakeHahaha...
Kwa hiyo ukiona vimada vya kijinga kijinga kama hiki changu unajua katoto mkuu!
nitakubali.
Ila muda mwingine unakuta ni libaba tu limekosa cha kufanya linasumbua watu.