Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Utaanda kusaga nyama yako kama hivi
baaada ya hapo chukua nyama yako ikaange ukichanganya hoho karoti pamoja na hoho ukiweza weka na pilipili
Baada ya hapo chukua mands zako na uzikate upate umbo la sambusa
Baada ya hapo anza kuzinga kwenye mafuta yalio pata moto
Mambo kama hivyo mlo wa usiku mwepesi
Baada ya hapo chukua mands zako na uzikate upate umbo la sambusa
Baada ya hapo anza kuzinga kwenye mafuta yalio pata moto
Mambo kama hivyo mlo wa usiku mwepesi