Sera park
JF-Expert Member
- Feb 21, 2021
- 545
- 1,029
Nunua iliyosagwa kabisa weka viungo ikaange ndo tengeneza Manda zakoAsante sana mleta uzi, hivi hiyo nyama unaipika kwanza ndo unaisaga au unaisaga ikiwa mbichi
Nunua iliyosagwa kabisa weka viungo ikaange ndo tengeneza Manda zakoAsante sana mleta uzi, hivi hiyo nyama unaipika kwanza ndo unaisaga au unaisaga ikiwa mbichi
Mimi nili ipika kwanza ndio nikaisagaAsante sana mleta uzi, hivi hiyo nyama unaipika kwanza ndo unaisaga au unaisaga ikiwa mbichi
Asante sana mkuu kwa haya maarifaNunua iliyosagwa kabisa weka viungo ikaange ndo tengeneza Manda zako
Asante sana chief chefMimi nili ipika kwanza ndio nikaisaga