secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Yaani kwa ule utamu wa zile sambusa nilisahau hadi kupiga picha.Unatulisha matango pori
Nilikuwa na lengo la kuonja tu, lakini nilizibugia kwa pupa hadi zikaisha.
Yaani kwa ule utamu wa zile sambusa nilisahau hadi kupiga picha.Unatulisha matango pori
Ndipo ulipo kosea sasa hapoYaani kwa ule utamu wa zile sambusa nilisahau hadi kupiga picha.
Nilikuwa na lengo la kuonja tu, lakini nilizibugia kwa pupa hadi zikaisha.
Kumbe nilitakiwa nipige picha labla.Ndipo ulipo kosea sasa hapo
Wew unaonekana mchoyoKumbe nilitakiwa nipige picha labla.
Wala!!Wew unaonekana mchoyo
Ntaleta hapa waja wazionee.Usisite kuj kutuonesha
Unataka nikuachie wee majukumu?hivi ushaacha kusapoti mambo ya upinde ama bado?
😂😂😂😂😂 vaa kijora mwayaaa.ila mwachiluwi!
Hivi nikiwa napika sambusa natakiwa kuvaa Kanga?
Umenibagaza, umenibananga, na kunitindinganya.
we jamaa ni shidaa! Au umeona umpe moyo mtoa mada?Yaani kwa ule utamu wa zile sambusa nilisahau hadi kupiga picha.
Nilikuwa na lengo la kuonja tu, lakini nilizibugia kwa pupa hadi zikaisha.
Unataka nikuachie wee majukumu?
Huu ni ukweli mtupuwe jamaa ni shidaa! Au umeona umpe moyo mtoa mada?
Ulishushia na mbegeNitaweka jioni nikitengeneza tena kwa sababu za Jana nilizila zote.
Nilisahau kuzipiga picha.
Hiyo ni jadi yangu mkuu 😂Ulishushia na mbege
Hapo nimeamin kwanini haukupiga pichaHiyo ni jadi yangu mkuu 😂
Kwanza nilikuwa tilalila kabisa.Hapo nimeamin kwanini haukupiga picha
Akili inasema hii sambusa ya kwanz kumbe ndio unamalizia ya Saba 😅Kwanza nilikuwa tilalila kabisa.
Na hata nilipomaliza zote nilianza kulamba vidole.Akili inasema hii sambusa ya kwanz kumbe ndio unamalizia ya Saba 😅
Vidole vilikuwa mishkaki auNa hata nilipomaliza zote nilianza kulamba vidole.
Vilikuwa na mabaki ya sambusa.Vidole vilikuwa mishkaki au