Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
ππ½ππ½mkuu.Utaanda kusaga nyama yako kama hivi View attachment 3511676View attachment 3511675baaada ya hapo chukua nyama yako ikaange ukichanganya hoho karoti pamoja na hoho ukiweza weka na pilipili
View attachment 3511677
Baada ya hapo chukua mands zako na uzikate upate umbo la sambusa
View attachment 3511679
Baada ya hapo anza kuzinga kwenye mafuta yalio pata moto
View attachment 3511680
Mambo kama hivyo mlo wa usiku mwepesi
Ina hitaji mda nikikuonesha jiko lilivyo sasa utashangaaProcess ni ndefuu ,π€
Uje ata siku moja home unione mm mgonjwaNice
Uje ata siku moja home unione mm mgonjwa
Najifariji sasa ila naumwa sana ata kusoma shida πMgonjwa unaanzisha nyuzi za ajabu ajabu MMU.
#hakabwimtuhapaπ€£π€£π€£
Juisi iko wapi?ππUtaanda kusaga nyama yako kama hivi View attachment 3511676View attachment 3511675baaada ya hapo chukua nyama yako ikaange ukichanganya hoho karoti pamoja na hoho ukiweza weka na pilipili
View attachment 3511677
Baada ya hapo chukua mands zako na uzikate upate umbo la sambusa
View attachment 3511679
Baada ya hapo anza kuzinga kwenye mafuta yalio pata moto
View attachment 3511680
Mambo kama hivyo mlo wa usiku mwepesi
Kwa frijiJuisi iko wapi?ππ
Mkuu nimeshaanza kupika sambusa za nyama huku nikiutumia huu uzi kama rejea yangu.
Mkuu nimeshaanza kupika sambusa za nyama huku nikiutumia huu uzi kama rejea yangu.
Ngoja niwoneshe.Utuonyeshee
Na olewako ununue kwa mpembaNgoja niwoneshe.
Natengeneza kwa mikono yangu mkuu.Na olewako ununue kwa mpemba
ila we dada aliekuoa anafaidi! Au haujaolewa?Utaanda kusaga nyama yako kama hivi View attachment 3511676View attachment 3511675baaada ya hapo chukua nyama yako ikaange ukichanganya hoho karoti pamoja na hoho ukiweza weka na pilipili
View attachment 3511677
Baada ya hapo chukua mands zako na uzikate upate umbo la sambusa
View attachment 3511679
Baada ya hapo anza kuzinga kwenye mafuta yalio pata moto
View attachment 3511680
Mambo kama hivyo mlo wa usiku mwepesi
πππππila we dada aliekuoa anafaidi! Au haujaolewa?