Njoo tusimualiane Mambo ya kutisha/kuogopesha uliyowahi kushuhudia hapa Duniani

Njoo tusimualiane Mambo ya kutisha/kuogopesha uliyowahi kushuhudia hapa Duniani

[emoji23][emoji23][emoji23] daah noma sana aisee,nimekaa hapa katika kona na stuli na jiwe naona bado,sijui wamenishtukia au sijakaa fresh,kuna mother ana shape wanasema ni mkali wa hizo mambo,akija kinyume nyume sirushi jiwe na enjoy tu
Unakaaje kwenye kona, naomba unieleweshe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakaaje kwenye kona, naomba unieleweshe

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa alisema kwenye kona ya nyumba kwa nje. Hiyo stuli na jiwe(silaha) nilijiongeza sababu jamaa oale juu anasema walipigwa ganzi,nikaona kama ikianza vita basi niwe tayari.Ila angekuja huyo mama tungemalizana kidiplomasia😄😅.Jamaa hakueleza ni mida gani ya kukaa katika kona tatizo...
 
😂😂😂 daah noma sana aisee,nimekaa hapa katika kona na stuli na jiwe naona bado,sijui wamenishtukia au sijakaa fresh,kuna mother ana shape wanasema ni mkali wa hizo mambo,akija kinyume nyume sirushi jiwe na enjoy tu
🙌🙌🙌🙌
 
Naomba nimuite ndugu Mshana Jr aweke neno. Haya mambo yapo kwa kuusema usemi, "lisemwalo lipo,kama halipo, litatokea."

Binafsi sijawahi shuhudia chochote kwa macho yangu ya nyama zaidi ya haya...

Wakati flani nilikaa maeneo ya bonde la mpunga, hapo wakazi wake wengi ni waswahili na mie maisha yangu ilikuwa kwenda kazini kurudi najifungia ndani.

Usiku mmoja nimelala chumbani kwangu nikastuka naona taswira kama ya kibibi kinaingia dirishani kwangu kwa njia za kimiujiza huku anapiga kelele. Nikaanza kusema kwa jina la Yesu tokaa (nililelewa kwenye familia za kilokole) kikapotea nikarudi kulala.

Siku ingine nimelala nastuka kabisa nasikia mtu amevuta nywele zangu za utosini kwa kuzikata na kucha ya kidole chake na baada ya hapo akatoweka sikuona mtu ila hali ya nywele kutoka kwenye utosi wangu niliisikia kabisa japo sikusikia maumivu na hapakubaki kipara nilikuwa na nywele ndefu.

Mara nyingine inanitokea usingizini napambana na nguvu za giza usingizini maana ya kwamba kama mashetani au kitu kinanikaba. Kisha sauti inaniambia kemea, sali nikianza kusali napata nguvu na kile kitu kinakimbia, baadae kinarudi tena nakemea naongeza nguvu nazidi kukemea halafu najiona nguvu za maombi zinaniongezeka ghafla nastuka kutoka usingizini najikuta naendelea kusali na inaweza kuchukua hata nusu saa nzima kama si lisaa ndo maombi yanakata, nikijaribu kuacha kusali nashindwa nakuwa sina utashi wa kunyamaza hadi hali ya kusali iishe..

Huwa najiuliza kama ni ndoto nilipostuka ilitakiwa ikate, sasa nastuka bado najikuta naendeleza kusali kwa kukemea, safari moja hadi nikainuka kitandani out of my will nikiwa nasali.

Sijajua kama hayo nayo ni matukio ya kutisha au vimbwanga ama laah...

Nachojua, ulimwengu wa roho upo na unapande mbili, nuru na giza. Si mtu wa dini sana ila...lisemwalo lipo kama halipo litatokea.

Si muamini wa mambo ya kishirikina na yafananayo ila kwa dini yangu ya kikristo niliyokulia natambua ulimwengu wa giza unamazagazaga kama hayo waliyoelezea memba wengine halo juu.

Hizo ni experience za astral world tu. Hakuna uchawi hapo usiogope. Unapoogopa Ndio utaona vya ajabu zaidi. Lakini ni uongo mtupu una experience


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tatizo huwa walioshuhudia hawatoi background,warumi atleast anaeleza yeye alikuwa anafanya ushirikina...
Kingine hawajaribu kuhusianisha mantiki kama alikuwa katika hali gani kiafya, au shughuli za kawaida alizofanya siku hiyo...
Ni ngumu kujua bayana lakini atleast unatafuta majibu kisayansi...
Sikumbuki mwaka ila ilikuwa Arusha nikaenda guest baada ya safari ya masaa kama 10, nikalala nikajiskia kama nakabwa, mimi sio mtu wa dini ila katika fujo za life niliwahi kuokoka nikiwa kijana mdogo wa miaka kumi na kitu later nika quit.Hivyo nikawa nakeme kwa jina la Yesu...
Baada ya muda nikarudi tena Arusha, nikawaza guest cheap zimejaa ngoja niende pale pale[emoji23],hamad!!nikapewa chumba changu kile kile na ninakumbuka kisanga kile nikalala,hali ikajirudia ya kukabwa[emoji38],this time sikumbuka Yesu nikawa nakomaa huku najaribu kuchapa ngumi...nikaamka.
Natoka nje naskia wahudumu wanamalizia stori "...wengine wanakuwa na waganga wao..." sikutilia maanani.Conclusion yangu ikawa nilichoka sana na safari,hakukuwa na oxygen ya kutosha, na kwa mara pili nilichoka na safari+hofu ya ile mara ya kwanza na oxygen haikutosha.
****Mara: nyumba ina ng'ombe mmoja wa kisasa lakini saa saba usiku nikaskia vishindo mithili ya farasi wanakimbia nje ya chumba namuuliza dogo umeskia,kasema ndio nikatoka nje hakuna kitu...hii nimebaki puzzled.
Dodoma:Najiona nashindwa kupumua tena hata mchana lakini nakuwa kama nimefungua macho na naona somehow clear wanachofanya wenzangu labda wanatumia simu,wanachat n.k lakini nikiamka na kuwauliza wanasema nilikuwa nimelala.Hapa nilikuwa na stress sana time hizo..conclusion yangu
Dar es Salaam: Hapa kidogo nishakuwa mdadisi kidogo nagonga meditation kwa kujifunza funza bado najifunza sometimes nakwama hasa kuwa vegetarian.Ikaja kitu kama naskia nakabwa mara kabla sijafikiwa nikatamka "mantra" moja ya ki meditation pale pale ikapotea[emoji2].
So Falsafa yangu ni kuwa ukijenga hofu na ku pay attention huo ulimwengu unakukaribisha.TUSIOGOPE, likitoke jini sijui mchawi SIMAMA na jipe courage...cuz hofu haipukiki,lakini kujipa ujasiri kunaweza kukuvusha

[emoji16][emoji16][emoji16]
Astral world inakusumbua. Jaribu kupata balance ya kuweza kuingia na kutoka kwa hiari.
Acha nyama upate initiation ukomae zaidi...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] [emoji112]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Naomba nimuite ndugu Mshana Jr aweke neno. Haya mambo yapo kwa kuusema usemi, "lisemwalo lipo,kama halipo, litatokea."

Binafsi sijawahi shuhudia chochote kwa macho yangu ya nyama zaidi ya haya...

Wakati flani nilikaa maeneo ya bonde la mpunga, hapo wakazi wake wengi ni waswahili na mie maisha yangu ilikuwa kwenda kazini kurudi najifungia ndani.

Usiku mmoja nimelala chumbani kwangu nikastuka naona taswira kama ya kibibi kinaingia dirishani kwangu kwa njia za kimiujiza huku anapiga kelele. Nikaanza kusema kwa jina la Yesu tokaa (nililelewa kwenye familia za kilokole) kikapotea nikarudi kulala.

Siku ingine nimelala nastuka kabisa nasikia mtu amevuta nywele zangu za utosini kwa kuzikata na kucha ya kidole chake na baada ya hapo akatoweka sikuona mtu ila hali ya nywele kutoka kwenye utosi wangu niliisikia kabisa japo sikusikia maumivu na hapakubaki kipara nilikuwa na nywele ndefu.

Mara nyingine inanitokea usingizini napambana na nguvu za giza usingizini maana ya kwamba kama mashetani au kitu kinanikaba. Kisha sauti inaniambia kemea, sali nikianza kusali napata nguvu na kile kitu kinakimbia, baadae kinarudi tena nakemea naongeza nguvu nazidi kukemea halafu najiona nguvu za maombi zinaniongezeka ghafla nastuka kutoka usingizini najikuta naendelea kusali na inaweza kuchukua hata nusu saa nzima kama si lisaa ndo maombi yanakata, nikijaribu kuacha kusali nashindwa nakuwa sina utashi wa kunyamaza hadi hali ya kusali iishe..

Huwa najiuliza kama ni ndoto nilipostuka ilitakiwa ikate, sasa nastuka bado najikuta naendeleza kusali kwa kukemea, safari moja hadi nikainuka kitandani out of my will nikiwa nasali.

Sijajua kama hayo nayo ni matukio ya kutisha au vimbwanga ama laah...

Nachojua, ulimwengu wa roho upo na unapande mbili, nuru na giza. Si mtu wa dini sana ila...lisemwalo lipo kama halipo litatokea.

Si muamini wa mambo ya kishirikina na yafananayo ila kwa dini yangu ya kikristo niliyokulia natambua ulimwengu wa giza unamazagazaga kama hayo waliyoelezea memba wengine halo juu.
Hata mimi ila wanasayani wanasema ni ubongo ulikuwa na itilafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna binadamu wamepewa uwezo wa kung'amua vitu na kuna wengine katika ulimwengu wa kiroho ni vipofu wasioona kitu chochote. Macho yao yamefungwa. Sikumbuki vizuri ila katika biblia kuna mtume mmoja walizingirwa na maadui lakini hakuonesha wasi wasi wowote. msaidizi wake akamwambia sasa tunauwawa. Yeye akajibu ondoa wasiwasi tunaulinzi yule akashangaa ulinzi u wapi. Ndipo yule mtume akamfungua macho yule mtumishi akaona jeshi kubwa la malaika limewazunguka. Ndipo wasiwasi ukaondoka. wanaojua Biblia watasema ni nani. Nilitaka tu kukwambia haya mambo ni ktk roho. uwezi yaona mpaka uwe katika ulimwengu wa rohoni. Majini, Malaika uwezi waona kwa macho ya nyama. Kuna watu wanazaliwa wananguvu maalum za kiroho. Haya mambo yapo!
Sasa kuna maana gani ya kuyaona ilihali wanataseka na hawafanyi chochote zaidi ya kuishia kuzunguka kwa waganga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka nikiwa o level wik ya kwanza kuripoti shule boarding form 3 sku ya kwanza nilipofika nilikuta kitanda kimoja cha juu kimeharibika ila kwa kuwa nilikipenda nikasema mtu asiweke kambi hapo nitaenda kutafuta fundi then ntaweka makazi yangu hapo.Ila kuna jamaa mmoja akaja hapo wa form four akaniomba nimuachie hko cha juu mimi nikae chini so sikuona tabu bhas nkamuachia nikaweka vitu vyangu chini hapo nkalala.kesho yake asubuhi jamaa sauti imemkauka analalamika usiku alinyongwa na msichana aliyemnyonga anamfahamu hapo hapo skul tena darasa moja na hiyo night jamaa anasema na uhuni wake wote alikemea kwa jina la yesu ndo akawa anapata afadhali.hiyo ikapita hivi na ni tarehe 21/01/2014.

wkau mwingine nakumbuka nilikuwa nimetoka usiku kujisomea narudi zngu domni kulala mid ya saa tano hivi usiku najilaza zangu kitandani nimetulia navutia usingizi mara nkaskia sauti kubwa ya kama mtu anayeugulia maumivu makali huko upande wa pili wa mto ambao upo nje kidogo ya shule yetu.zile sauti ni kubwa sana kwa mtu wa kawaida kuweza kutoa hata ukiniambia ni swala la echo bado sitaamini.

kesho wkati wa lunch nikauliza wadau jana kma waliskia chochote mmoja ambaye tulikua cube moja akasema aliskia na akaelezea the same voices nlizoskia mimi..(huyu jamaa aliyewitness hizo sauti huwa haeleweki maana na yeye ni kama anakuwaga n mizuka yake akiipandisha hata darasani kila mtu anakimbia sio ticha sio mwanafunzi).cha kushangaza waliokuwa cube ya kati ya dom walikuwa wnapga stori za chinichini usku huo lakin wao hawakuskia hzo sauti.

Nyingine ya kuskia ni jamaa aliyekuwa analala deka ya pembeni juu akawa ananiambia usiku huwa anaskia sauti za watoto wadogo wakiwa wanalia ndani ya mashimo ya vyoo vya skul ilhali mimi sijawahi kuskia kabisa hzo sauti japo madom yetu yalikuwa karibu na vyoo vya boys.& mimi kma mim kukutana na hao "wazee wa night shift" sijawahi zaid ya kupewa stori za kutisha mpaka kila kabla ya kulala unahakikisha kibofu kiko empty ili usijetoka usiku ukakutana nayo mazagazaga.Mungu yupo & uchaw upo & Mungu ni mkuu zaid
 
Nakumbuka nikiwa o level wik ya kwanza kuripoti shule boarding form 3 sku ya kwanza nilipofika nilikuta kitanda kimoja cha juu kimeharibika ila kwa kuwa nilikipenda nikasema mtu asiweke kambi hapo nitaenda kutafuta fundi then ntaweka makazi yangu hapo.Ila kuna jamaa mmoja akaja hapo wa form four akaniomba nimuachie hko cha juu mimi nikae chini so sikuona tabu bhas nkamuachia nikaweka vitu vyangu chini hapo nkalala.kesho yake asubuhi jamaa sauti imemkauka analalamika usiku alinyongwa na msichana aliyemnyonga anamfahamu hapo hapo skul tena darasa moja na hiyo night jamaa anasema na uhuni wake wote alikemea kwa jina la yesu ndo akawa anapata afadhali.hiyo ikapita hivi na ni tarehe 21/01/2014.wkau mwingine nakumbuka nilikuwa nimetoka usiku kujisomea narudi zngu domni kulala mid ya saa tano hivi usiku najilaza zangu kitandani nimetulia navutia usingizi mara nkaskia sauti kubwa ya kama mtu anayeugulia maumivu makali huko upande wa pili wa mto ambao upo nje kidogo ya shule yetu.zile sauti ni kubwa sana kwa mtu wa kawaida kuweza kutoa hata ukiniambia ni swala la echo bado sitaamini.kesho wkati wa lunch nikauliza wadau jana kma waliskia chochote mmoja ambaye tulikua cube moja akasema aliskia na akaelezea the same voices nlizoskia mimi..(huyu jamaa aliyewitness hizo sauti huwa haeleweki maana na yeye ni kama anakuwaga n mizuka yake akiipandisha hata darasani kila mtu anakimbia sio ticha sio mwanafunzi).cha kushangaza waliokuwa cube ya kati ya dom walikuwa wnapga stori za chinichini usku huo lakin wao hawakuskia hzo sauti..Nyingine ya kuskia ni jamaa aliyekuwa analala deka ya pembeni juu akawa ananiambia usiku huwa anaskia sauti za watoto wadogo wakiwa wanalia ndani ya mashimo ya vyoo vya skul ilhali mimi sijawahi kuskia kabisa hzo sauti japo madom yetu yalikuwa karibu na vyoo vya boys.& mimi kma mim kukutana na hao "wazee wa night shift" sijawahi zaid ya kupewa stori za kutisha mpaka kila kabla ya kulala unahakikisha kibofu kiko empty ili usijetoka usiku ukakutana nayo mazagazaga.Mungu yupo & uchaw upo & Mungu ni mkuu zaid
Du


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee nishawahi kukutana na visa vya kutisha Ila huwa ni imaginations tu zinazotokana na uoga hivyo ubongo unatafsiri vingine kutokana na mawazo/stori/vitu ulivyolishwa toka umeanza kujitambua, so sijawahi kukutana na kisa cha kutisha.


Ila huu uzi uko poa sana Kama nacheck horror vile 😂😂😂🤣
 
Aisee nishawahi kukutana na visa vya kutisha Ila huwa ni imaginations tu zinazotokana na uoga hivyo ubongo unatafsiri vingine kutokana na mawazo/stori/vitu ulivyolishwa toka umeanza kujitambua, so sijawahi kukutana na kisa cha kutisha.


Ila huu uzi uko poa sana Kama nacheck horror vile [emoji23][emoji23][emoji23]🤣

Ahahah lol , karibu mkuu[emoji16][emoji16]...


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mungu aliumba vitu vinavyoonekana na visivyoonekana. Na kwa Bahati nzuri akaweka kizuizi kwa kupitia uwezo wake wa kiungu hili tusiweze kushuhudia viumbe hivyo ambavyo havionekani kwa macho yetu ya kibinadamu isipokua kwa utaalamu flani wa mambo ya kiroho.

Viumbe hivyo vikiwemo , Malaika, Majini , Wachawi pamoja na viumbe vingine vya kutisha sana, ikiwemo wanyama wa ajabu wenye ukubwa wenye kutetemesha na kuogofya kwa wanadamu wa kawaida.

Danieli 7:4 “Wa kwanza alikuwa kama simba, naye alikuwa na mabawa ya tai; nikatazama, hata mabawa yake yakafutuka manyoya, akainuliwa katika nchi, akasimamishwa juu kwa miguu miwili kama mwanadamu; naye akapewa moyo wa kibinadamu.”

Danieli 8:3 “Ndipo nikainua macho yangu nikaona, na tazama, mbele ya mto alisimama kondoo mume, mwenye pembe mbili; na pembe zile mbili zilikuwa ndefu; lakini moja ilikuwa ndefu kuliko ya pili, na ile iliyokuwa ndefu zaidi ilizuka mwisho.”

Danieli 8:5 “Nami nilipokuwa nikifikiri, tazama, beberu akatoka upande wa magharibi, juu ya uso wa dunia nzima, bila kuigusa nchi; na beberu yule alikuwa na pembe mashuhuri kati ya macho yake.”

Danieli 7:6 “Kisha nikatazama, na kumbe! Mnyama mwingine, kama chui, naye juu ya mgongo wake alikuwa na mabawa manne kama ya ndege; mnyama huyo alikuwa na vichwa vinne; akapewa mamlaka.”

Wengi tukisoma Habari kama hizi za kuona simba mwenye vichwa vinne na miguu kama ya binadamu, beberu mwenye pembe kumi, nyoka mwenye vichwa saba na wanyama wengine wa kutisha, tunajipa moyo na kusema hiyo ni lugha tu ya biblia/ lugha ya picha hakuna viumbe kama hivyo. Ila ukweli ni kuwa viumbe hivyo vipo na vinaishi kwenye ulimwengu mwingine tofauti na huu wetu unaonekana. Na kuna binadamu wenzetu wameshashuhudia kabisa kwa macho yao.

Tuachane na hayo na turudi kwenye maada yetu ya leo . Tuzungumzie kuhusu mikasa ya kutisha ambayo tumewahi kukutana nayo kwenye ulimwengu huu ambayo kwa namna moja au nyingine vimekuacha midomo wazi na kukufanya uwe traumatized.

Ngoja nianze na mikasa / mambo ya kutisha niliyowahi kukutana nayo hapa duniani ambayo mpaka sasa hivi bado najiuliza kama ni viini macho au ni kweli , lakini ukweli unabaki kuwa ni kweli .

1. Jini kuchomoza baharini na kuelea hewani.

Nakumbuka ilikua ni usiku wa manane, nikiwa kwenye harakati za ushikirikina Uko sehem( sipendi kutaja jina). Nikiwa na mganga akiendelea kufanya mambo ya kishirikina baharini, Ambapo alisema anaita kiumbe( jini) hili anitimizie haja zangu . Kwa akili yangu nilijua tu ni danganya toto, hakuna lolote. Baada ya kama dakika 45 za yule mganga kufanya ushirikina wake. Ghafla akatokea mwanamke mrefu tofauti na urefu wetu wa kawaida wa binadamu alikua baharini anaelea tu, miguu haionekani kwa kweli nilikimbia, Bahati nzuri wale wasaidizi wa mganga wakanikamata kunizuia nisikimbie. Uzuri hakua anatisha wala nini, alikua tu ni mwanamke wa kawaida ingawa alikua na urefu usio na kawaida, na alikua kakasirika sana, alikua analalamika tunamuita sana tuna shida gani.....

2. Niliwahi kushuhudia kwa macho yangu , binadamu akiwa nusu mtu , nusu simba, Ana sura ya kutisha sana , mbaya mfano hakuna, ilibaki kidogo tu nizimie.

3. Binadamu mfupi kama stuli, Ana ndevu nyingi mpaka chini na alikua na mguu mmoja tu , na macho yake yanawaka moto.

4. Mzimu wa mtu maarufu ambaye alikufa miaka mingi iliyopita.

Hii ndo mikasa ya kutisha niliyowahi kukutana nayo hapa duniani, ambayo kiukweli mpaka leo inanipa shida sana, na ilichukua miaka kadhaa mpaka kuweza kukubali hii hali mpaka kufikia kuzoea kidogo. Ila hapa duniani kuna viumbe vya ajabu mno, na kama ukitaka kuviona unaweza.

View attachment 1430585



Sent from my iPhone using JamiiForums
Tuambie hao waganga ulienda kwao kwa shida gan na siku hio jini linakuja hukujjkojolea kwel ww ? Na kitu ambacho hujui sisi binadamu tuna nguvu kuliko majin sema wengi hatujui nguvu zetu zipo wap ? Sasa nakupa siri hv unajua iyo saut yko kwa jin ni kelele ambazo zinamkera kusababisha akukimbie ila kuna mambo mawili inabid ufanye ili kumkomesha vzr 1.utubu dhambi zako 2.uwe jasir 3.uctumie uchaw wa aina yyote ata mganga akikuambia cjui vaa hiki au kunywa hiki kataa afu akija uyo jin mpe mipasho yke uone atavyotoka nduki km ww ulivokimbia namsubir mshana jr aje apigile msumali
 
Back
Top Bottom