Njoo tusimualiane Mambo ya kutisha/kuogopesha uliyowahi kushuhudia hapa Duniani

[emoji23][emoji23][emoji23] daah noma sana aisee,nimekaa hapa katika kona na stuli na jiwe naona bado,sijui wamenishtukia au sijakaa fresh,kuna mother ana shape wanasema ni mkali wa hizo mambo,akija kinyume nyume sirushi jiwe na enjoy tu
Unakaaje kwenye kona, naomba unieleweshe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakaaje kwenye kona, naomba unieleweshe

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa alisema kwenye kona ya nyumba kwa nje. Hiyo stuli na jiwe(silaha) nilijiongeza sababu jamaa oale juu anasema walipigwa ganzi,nikaona kama ikianza vita basi niwe tayari.Ila angekuja huyo mama tungemalizana kidiplomasia😄😅.Jamaa hakueleza ni mida gani ya kukaa katika kona tatizo...
 
😂😂😂 daah noma sana aisee,nimekaa hapa katika kona na stuli na jiwe naona bado,sijui wamenishtukia au sijakaa fresh,kuna mother ana shape wanasema ni mkali wa hizo mambo,akija kinyume nyume sirushi jiwe na enjoy tu
🙌🙌🙌🙌
 

Hizo ni experience za astral world tu. Hakuna uchawi hapo usiogope. Unapoogopa Ndio utaona vya ajabu zaidi. Lakini ni uongo mtupu una experience


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

[emoji16][emoji16][emoji16]
Astral world inakusumbua. Jaribu kupata balance ya kuweza kuingia na kutoka kwa hiari.
Acha nyama upate initiation ukomae zaidi...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] [emoji112]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hata mimi ila wanasayani wanasema ni ubongo ulikuwa na itilafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kuna maana gani ya kuyaona ilihali wanataseka na hawafanyi chochote zaidi ya kuishia kuzunguka kwa waganga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka nikiwa o level wik ya kwanza kuripoti shule boarding form 3 sku ya kwanza nilipofika nilikuta kitanda kimoja cha juu kimeharibika ila kwa kuwa nilikipenda nikasema mtu asiweke kambi hapo nitaenda kutafuta fundi then ntaweka makazi yangu hapo.Ila kuna jamaa mmoja akaja hapo wa form four akaniomba nimuachie hko cha juu mimi nikae chini so sikuona tabu bhas nkamuachia nikaweka vitu vyangu chini hapo nkalala.kesho yake asubuhi jamaa sauti imemkauka analalamika usiku alinyongwa na msichana aliyemnyonga anamfahamu hapo hapo skul tena darasa moja na hiyo night jamaa anasema na uhuni wake wote alikemea kwa jina la yesu ndo akawa anapata afadhali.hiyo ikapita hivi na ni tarehe 21/01/2014.

wkau mwingine nakumbuka nilikuwa nimetoka usiku kujisomea narudi zngu domni kulala mid ya saa tano hivi usiku najilaza zangu kitandani nimetulia navutia usingizi mara nkaskia sauti kubwa ya kama mtu anayeugulia maumivu makali huko upande wa pili wa mto ambao upo nje kidogo ya shule yetu.zile sauti ni kubwa sana kwa mtu wa kawaida kuweza kutoa hata ukiniambia ni swala la echo bado sitaamini.

kesho wkati wa lunch nikauliza wadau jana kma waliskia chochote mmoja ambaye tulikua cube moja akasema aliskia na akaelezea the same voices nlizoskia mimi..(huyu jamaa aliyewitness hizo sauti huwa haeleweki maana na yeye ni kama anakuwaga n mizuka yake akiipandisha hata darasani kila mtu anakimbia sio ticha sio mwanafunzi).cha kushangaza waliokuwa cube ya kati ya dom walikuwa wnapga stori za chinichini usku huo lakin wao hawakuskia hzo sauti.

Nyingine ya kuskia ni jamaa aliyekuwa analala deka ya pembeni juu akawa ananiambia usiku huwa anaskia sauti za watoto wadogo wakiwa wanalia ndani ya mashimo ya vyoo vya skul ilhali mimi sijawahi kuskia kabisa hzo sauti japo madom yetu yalikuwa karibu na vyoo vya boys.& mimi kma mim kukutana na hao "wazee wa night shift" sijawahi zaid ya kupewa stori za kutisha mpaka kila kabla ya kulala unahakikisha kibofu kiko empty ili usijetoka usiku ukakutana nayo mazagazaga.Mungu yupo & uchaw upo & Mungu ni mkuu zaid
 
Du


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee nishawahi kukutana na visa vya kutisha Ila huwa ni imaginations tu zinazotokana na uoga hivyo ubongo unatafsiri vingine kutokana na mawazo/stori/vitu ulivyolishwa toka umeanza kujitambua, so sijawahi kukutana na kisa cha kutisha.


Ila huu uzi uko poa sana Kama nacheck horror vile 😂😂😂🤣
 

Ahahah lol , karibu mkuu[emoji16][emoji16]...


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tuambie hao waganga ulienda kwao kwa shida gan na siku hio jini linakuja hukujjkojolea kwel ww ? Na kitu ambacho hujui sisi binadamu tuna nguvu kuliko majin sema wengi hatujui nguvu zetu zipo wap ? Sasa nakupa siri hv unajua iyo saut yko kwa jin ni kelele ambazo zinamkera kusababisha akukimbie ila kuna mambo mawili inabid ufanye ili kumkomesha vzr 1.utubu dhambi zako 2.uwe jasir 3.uctumie uchaw wa aina yyote ata mganga akikuambia cjui vaa hiki au kunywa hiki kataa afu akija uyo jin mpe mipasho yke uone atavyotoka nduki km ww ulivokimbia namsubir mshana jr aje apigile msumali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…