LUKAMA
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,117
- 1,343
Labda ulikuwa mzee wa michugwani tu hadi kozi inaishaNimepita hapo 2013 lkn mbona hizo mishe sikuzisikia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda ulikuwa mzee wa michugwani tu hadi kozi inaishaNimepita hapo 2013 lkn mbona hizo mishe sikuzisikia
Michungwa yakuelekea bustani/bwawani 😂😂Labda ulikuwa mzee wa michugwani tu hadi kozi inaisha
Hilo tena halina mjadala.Unashangaa mikosi inatoka wapi kumbe ulilala na pepo usijueAlafu tungi linakupelekea kwenda kulala nae😂😂
Tushalala sana na majini hatujijui tu
Hivi viumbe (majini mahaba) vipo kwaajili ya kukusanya mbegu zetu za kiume kwa matumizi yao katika ulimwengu wa giza na kutuachia mikosi maishani. Tuwe watu wa Ibada na kumuweka Mungu karibu nasi, vinakosa namna ya kutuingilia.Hilo tena halina mjadala.Unashangaa mikosi inatoka wapi kumbe ulilala na pepo usijue
Kuna Bar iko mitaa flani hivi kule chuganian,ukimuelewa mhudumu fresh unampanga then anazuga zuga pale baadae anaingia chini ya meza(ni zile meza zenye cover za plastics ndefu) unashusha zipu kiaina yeye anaendelea kunyonya mkuyenge huku wewe unakunywa zako bia kama vile hakuna kinachoendelea,ukimalizana nae anatoka chini ya meza nduki anaendelea kuhudumia wateja kawaida kabisa.Kuna zile bar unakuta zinajaza watu zina wahudumu warembo kweli wengine huwa ni majini hasa zile bar ambazo wamiliki wake wanamikataba ya kishetani kwa ajili ya mali
Inaitwaje hiyo bar mkuu? 😂Kuna Bar iko mitaa flani hivi kule chuganian,ukimuelewa mhudumu fresh unampanga then anazuga zuga pale baadae anaingia chini ya meza(ni zile meza zenye cover za plastics ndefu) unashusha zipu kiaina yeye anaendelea kunyonya mkuyenge huku wewe unakunywa zako bia kama vile hakuna kinachoendelea,ukimalizana nae anatoka chini ya meza nduki anaendelea kuhudumia wateja kawaida kabisa.
Itakua wateja wa pale wamenyonywa sana na majini kule chini ya meza.
Kuna Bar iko mitaa flani hivi kule chuganian,ukimuelewa mhudumu fresh unampanga then anazuga zuga pale baadae anaingia chini ya meza(ni zile meza zenye cover za plastics ndefu) unashusha zipu kiaina yeye anaendelea kunyonya mkuyenge huku wewe unakunywa zako bia kama vile hakuna kinachoendelea,ukimalizana nae anatoka chini ya meza nduki anaendelea kuhudumia wateja kawaida kabisa.
Itakua wateja wa pale wamenyonywa sana na majini kule chini ya meza.
Inaitwaje hiyo bar mkuu? [emoji23]
Inaitwaje hiyo bar mkuu? [emoji23]
Mkuu Kama kweli wewe sio mchoyo wa fadhila Basi tupe angalau mtaa au Basi kiroho Safi tupe jina kabisa la hio baa niende na kikosi kazi Cha maombi kwenda kuwakemea na kuwafukuzia mbali hayo mapepo.Kuna Bar iko mitaa flani hivi kule chuganian,ukimuelewa mhudumu fresh unampanga then anazuga zuga pale baadae anaingia chini ya meza(ni zile meza zenye cover za plastics ndefu) unashusha zipu kiaina yeye anaendelea kunyonya mkuyenge huku wewe unakunywa zako bia kama vile hakuna kinachoendelea,ukimalizana nae anatoka chini ya meza nduki anaendelea kuhudumia wateja kawaida kabisa.
Itakua wateja wa pale wamenyonywa sana na majini kule chini ya meza.
Hii story imenisisimua sana. Napenda sana story za re - incarnation. Hebu mkuu tafuta mambo hayo ya reincarnation hata YouTube afu fananisha na story yako.Binafsi sikuwahi kushuhudia mambo ya kutisha,hata Kama yalikuwepo madogomadogo yalikuwa ya kawaida tu..Ila baada ya kuoa na kubarikiwa na mwanangu wa kiume mambo yalianza kubadilika.
Ni hivi,
Mwanangu wakati akiwa na miaka Kama mitano hivi alianza kuongea kuhusu mambo yaliyotushangaza sana mimi na mke wangu..kuna wakati mmoja kulinyesha mvua ya rasharasha tu tukawa tunarudi home kutoka madukani naye..kawaida Kuna Ile harufu ya mchanga baada ya mvua ya aina hii kunyesha baada ya muda mrefu..sasa kilichonishangaza ni kuwa mwanangu alianza kusema kwamba anahisi harufu ya mungu..nikamwambia ni harufu ya mchanga tu Ila akawa mkali kidogo kwamba nakataa kukubaliana naye kuwa mungu hunukia hivo..tulipofika home lile Jambo likanifikilisha sana nikasema japo huenda ni upuuzi tu wa kitoto wacha nimwambie mke wangu..ndipo naye akaniambia kwamba kuna wakati kijana wetu alikuwa akimtayarisha kuenda shuleni kisha mtoto akamwambia kwamba anampenda sana na sio Kama mamake yule mwingine wa "nyumba iliozeeka"alisema kwamba yule mamake mwingine ni mkali na wakati mwingine hampi hata chakula kizuri..hili Jambo lilitushtua Sana na siku moja nikamwambia mwanangu anipeleke "nyumbani kwao huko kulikozeeka"
Yani nilishtuka mwanangu aliponiongoza hadi tunafika sehemu flani kuna jumba kubwa na ambalo kwa muonekano ni Kama lilijengwa miaka ya zamani na ambalo hamna anayeishi humo..japo hatukuingia nilishtuka sana.
Ilipita siku nyingi mwanetu akitupa shuhuda za mambo ya ajabu ajabu nasi tukawa tunaomba Mungu sana amuepushe na mambo ya kivile..Ila yaliendelea tu..
Siku moja nakumbuka ilikuwa jumapili fulani naelekea home mida ya saa tatu hivi usiku..nikawa nimepitia kwenye njia flani ambacho kipo katikati ya shamba kubwa na wakati ule limepandwa mhindi..niseme tu nilikuwa nimetoka kujipumzisha kidogo na marafiki kwa hiyo nilikuwa nimenyonya Guiness mbili hivi..ila nilipoinua macho kuangalia mbele nilishtuka kuna mwanamke mbele yangu na manukato yake nayahisi kabisa..alikuwa mrefu kidogo ana mwili wa kawaida tu nikimaanisha kimaumbile..alionekana kutembea Kama mtu aliyechoka sana kwa hiyo hakuwa anaharakisha..kilichonishangaza ni kwamba nilijitahidi sana kuharakisha nimkaribie yule mwanamke Ila ilishindikana..nikawa ni Kama vile nimesimama kabisa naye akawa bado anatembea..
Ni mambo mengi tu ila kwa sasa ni muda sana sijasikia mambo Kama hayo tena na namshukuru mungu sana..tukio la mwisho lilitokea 2004
Kiko wapHiki kitu kimenitisha na kuniogopesha sanaView attachment 1491429
[/QUOTE]Nimeandika hapo na usingizi mwenyewe umekata maana hata chumba nilichopo nakiogopa ila mambo haya ni nguvu ya kishirikina na ninadhani ule ulikuwa ndio mwisho wangu ila Mungu mwenyewe alinipigania ila uchawi upo na unafanya kazi vizuri sana ile kitu ilikuwa planned na walioplan mmoja akiwa ni jirani yetu japo kwa umri sasa hivi ni mzee sana na wenzake walishatangulia mbele ya haki ila kiukweli mambo ni mengi mie ilikuwa ikifika usiku ujue raha sina maana najua kumekucha hakuna kulala moja ya tukio kuna siku pale home baada ya tukio hilo ilikuwa jmos asubuhi nikaambiwa nikateke maji mtoni nikazingua nikaendekeza kucheza kuja kustuka bi mkubwa ananiita huwezi nikakimbilia porini kwa kuogopa kuchapwa toka saa nne aasubuhi ajabu ni kuwa nilikuwa sijui polini nimeenda kutafuta nini na kumbuka tabora kunaoongoza kuwa na nyoka koboko basi mie ndio nikaenda huko zungunga sana jua la saa nane nipo huko nakula matunda pori tu nikawa nimesikia joto katika kuzunguka zunguka nilitokea sehemu kuna maji mengi kama ziwa na lile joto nililokuwa nalo nikasema ngoja nivue nguo nioge nikavua ila roho ikasita kuoga nikavaa nikaondoka nikajikuta sijui njia ya kunirudisha nyumbani na kigiza kinaingia Mungu saidia kuna mzee mmoja wa kijiji cha pili alikuwa anachunga ng'ombe akaniaona na anawajua pale home ndio kunirudisha nyumbani ajab mama hakunichapa na alikuwa ameshanitafuta kwa washikaji wangu wote hakunipata hivyo baada ya kuniona kwanza nimepauka nilipewa tu maji ya moto kuoga na kula nikashida nikaenda kulala sasa cha ajabu asubuhi ambayo ilikuwa j2 nikawasimulia sehemu nilipoona lile ziwa la maji ile sehemu hakuna historia ya kuwa ziwa la maji hata bwawa kuna miti ya Milumba na mitundu kwa wingi kama unaijua, wazee nao ikabidi waanze kuhangaika ndio mambo kutulia ila hii dunia ina mambo sana ukijiona mzima unalala vizuri unaamka salama hakuna wenge lolote mshukuru sana Mungu mie wazazi walikuwa watu wa dini sana walikuwa hawaamini uchawi ila waliamini
Kuna SGT mmoja alitemeshwa mwenge nikiwa pale ndio mgeni. Huyu mtata akikuwa anageuka fisi na kusomba mifugo ya wenzake, kuku, bata, mbuzi, kondoo abapita nao. Ila huyu alitemeshwa mwenge ingawa ni kwa ishu nyingine ya kipuuzi sana.
Kuna mwengine naye ni SGT huyu alikuwa anawaingili watu kimiujuza na wengine mpaka kuwa na uwehu hususani waliokinzana naye saba. Huyu ni noma ila naye ameshavua buti mwaka juzi hapo kwa taarifa niliyopewa. Hii hali nimepata kusimuliwa na kuikuta camp mbili tofauti.
WO's wengi niliokutana nao walikuwa na vimbwanga ila vya kawaida, wengi kwa ajili ya ulinzi wao. Ila hawa ma SGT's acha kabisa.
Mkuu umenikumbusha hili neno Dafrao . Hivi maana yake Ni Nini hasa ?Nikiwa na miaka 9 au 10 hivi nilikuwa naishi mkoa mmoja pembezoni mwa Tanzania. Siku moja nikiwa nacheza mpira barabarani na wenzangu mpira ulimgusa (sio kumpiga) bibi mmoja aliyekuwa anapita hapo barabarani.
Bibi aliinama na kuuokota ule mpira. Akaushika mkononi. Nikiwa sina hili wala lile nilimfuata yule bibi na kumtaka anipe ule mpira niendelee kuucheza na wenzangu. Bibi alikataa. Akauliza kwa ukali kwanini ule mpira umempiga. Nikajibu ni bahati mbaya lakin pia ni kwamba umemgusa tu hivyo haujamuumiza. Nilisema hayo maneno huku nikinyoosha mkono ili niuchukue mpira kutoka mkononi mwake.
Lakini bibi alikuwa kadhamiria kutonipa ule mpira. Akawa anataka labda nibembeleze lakin mim sikuona kosa tulilofanya hivyo sauti yangu na matendo yangu yakawa sio ya kubembeleza wala kuomba msamaha. Nikazidi kunyoosha mkono kuelekea ulipo mpira mkononi mwake na yeye akazidi kurudisha mpira nyuma ya mwili wake.
Alivyoona sielekei kutulia wala kubembeleza akautupia mpira kwenye majani yenye miiba miiba kando ya barabara. Nilikereka sana. Sijui hata kwanini. Nikamropokea maneno mabovu. Ilikuwa sio kawaida yangu lakin kwakweli nilisema maneno ambayo si mazuri kwa mbibi kama yule.
Nafikiri ni ujinga wa kitoto au vile nlikuwa na kiherehere cha kutaka kuendelea kucheza haraka na nilijua fika kuutoa ule mpira kwenye miiba ile kutanichukua muda mrefu maana inabidi niwe makini na niingie polepole sana ili nisichomwe.
Sasa baada ya kumtamkia neno mbofu yule bibi aliondoka bila kusema neno. Yaani aliurusha mpira majanini, mim nikamtamkia neno la ovyo wakat anaondoka na alisikia.
Nilichukua dakika chache kuutoa halaf nakumbuka hata dakika 2 hazikupita tangia nianze tena kucheza nikaanza kujisikia kuumwa. Dalili zote za kuumwa nilikuwa nazo. Nguvu sina. Kichwa kinauma, joto limepanda.
Nikawaambia wenzangu naondoka naumwa. Wakashangaa. Nikaenda kujilaza nyumban. Dingi akaenda kuitwa shamban. Akakuta nimelala mkekani, naumwa. Si kawaida mim kuumwa, zaman mpaka leo. Niko hivyo. Na nikiumwa sio wa kulala. Sasa kunikuta naumwa mpaka nimelala wakat lisaa limoja kabla nilikuwa njema kabisa alishangaa sana.
Akauliza naumwa nin nkajibu najskia tu kuumwa. Dingi aliuliza vitu vingi nilivyokula au kunywa lakn sikuwa nimekula wala kunywa chochote tofaut na vya pale maskani.
Katika kudadisi zaidi ndo ikaibuka stori ya bibi tuliyempiga na mpira. Dah, duh, loh. Dingi akafura. Haraka akatuma watu wawili wamfuate fasta sana bila kuchelewa.
Bibi akafika home. Dingi macho yakiwa yamemuiva akaanza kumkoromea bibi. Akatishia kumkata kata na mapanga. Akaanza kuongea mengi yanayosemwa juu ya bibi na kwamba yeye atammaliza na hata muda huo anataman aingie ndani achukue panga amkatekate. Dingi yangu alikuwa mkali sana lakin sikuwahi muona akiongea kwa ukali na kudhamiria kama siku ile. Dingi akasema nipone muda huo huo lasivyo atamfuata kwa mumewe akamuulie hapo. Bibi akafukuzwa aondoke haraka kabla hajafuata panga ndani.
Bibi aliongea kwa unyonge kuwa ni bahati mbaya nimeumwa ila nitapona tu. Akanyanyuka aondoke. Dingi macho mekunduuu, midomo inatetemeka kwa hasira
Ajabu sana. Ile bibi anapotea tu machoni petu yaani kafika mita 30 hivi kapitia kwenye mahindi na mihogo ya pale maskani hivyo hatumuoni mim nikaanza kuzungusha macho kutafuta mpira uko wapi. Nikauona. Nikanyanyuka. Nikauchukua huyooo mbio barabarani tena kucheza, nishapona hivyooo
Niko fiti kabisa na kwa muda huo bibi atakuwa hata 1 ya 10 ya safari ya kufika kwake hajaimaliza. Ndugu na jamaa wanakuja kuniangalia mgonjwa mim niko bize kwenye mpira nishapona. Nimepona ponaje? Niliumwa umwaje?
Mkwara wa dingi ulisaidia japo najua dingi yangu akili zake alikuwa anazijua mwenyew kumkata kata bibi alikuwa hatanii. Baadae ndo nilikuja kujua kuwa bibi alikuwa anaugua mpaka anakufa halaf anafufuka. Pia nilikuja kujua kuwa bibi alikuwa anaoza nusu ya mwili wake mpaka funza wanatoka lakin hafi. Kumbe Bibi alikuwa master wa uchawi pale kijijini
Hiki ndo kinanifanya nibabaike sana ninaposikia uchawi haupo na kwamba kama upo eti unawakumba wanaoamini tu. Sasa mimi mbona nilipigwa dafrao na bibi wakat nilikuwa sijui kama bibi ni master?
Kama haupo ilikuwaje mimi kuumwa baada ya kumkera yule bibi? Ikumbukwe sikuwa na background information yoyote juu ya uchawi wa yule bibi na nilikuwa simwogopi. Na yule bibi alikuwa na mjukuu wake wa kike nilikuwa nasoma nae darasa moja na siku ya tukio alikuwa ameongozana nae na alikuwa best yangu
Ijapokuwa kipindi kile sikutishika (sababu ya utoto?) lakin lile tukio ndo linanifanya mpaka leo niamin uchawi upo na ukijaa kwenye anga za wachawi wanaweza kukufanya kitu mbaya