Njoo uajiriwe kwa wazo lako la biashara lenye tija, linalohitaji mtaji mdogo

Unapatikana wapi mkuu
 
Forex tu hapo mkuu
 
Zipo nyingi mkuu moja wapo ya kufungua kijiwe cha kokoto nyeusi na kwa sasa ni biashara ambayo inatoka sana unaweza ukashusha mzigo wa 1mil na siku hiyo hiyo ukaisha na kwa kila mzigo unaoishia unafaida ya laki 3 hapo ni baada ya matumizi yote ila inahitaji uangalizi wa hali ya juu hasa kwenye kupakia mzigo shamba
 
Kwa mkoa upi?
 
Kwa mfano hapo kwenye usambazaji wa mayai wewe unachohitaji ni nini haswa?, kama ni Mtaji na unasema Wateja unao tayari ndio kusema ulishaifanya hiyo kazi kabla?.
 
Hivi mimi Mteja natofautishaje asali ya Nyuki wakubwa na Wadogo?.
 
Kama una ujuzi wa kutengeneza video za katuni, njoo tupige kazi
Unahitaji Mtengenezaji wa michoro pekee au na Mtu wa kuandika script?.

Maana nijuavyo sio lazima Mtu mmoja akawa na taaluma hizi zote, kuna Muandaaji wa maudhui kupitia script kisha Mtengenezaji anachora Wahusika na vitendo (action) zao.
 
Wale wakutumia software kutengeneza na kuchezesha, baada ya kupewa script
 
Kwa mfano hapo kwenye usambazaji wa mayai wewe unachohitaji ni nini haswa?, kama ni Mtaji na unasema Wateja unao tayari ndio kusema ulishaifanya hiyo kazi kabla?.
Mpaka sasa naifanya bashara hii, ila imefika wakati shauku yangu niwe na uzalishaji mkubwa unaokidhi mahitaji halisi ya soko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…