Njoo ujifunze kitu kuhusu Sayari ya Jutiter (Jupita)

Kingine umesahau kuhusu Jupiter huwa kunanyesha mvua ya almasi...
Mkuu Acha kupotosha tunataka tujifunze ukweli siyo siasa na dini ndio maana hii intelligence uongo nenda kwe siasa za Mturia wa kinondoni
 
Safi sana mkubwa we inaonekana pake geografia ulikaa miaka mingi sana au hukupapenda ? Ndo ukahamia sayansi?
 
 
Reactions: bkk
Duu nimepata somo hapa, ahsante mkuu
 
yan taarifa za hivi huwaga zina utata umesema chombo kilitumia miaka saba kwenda jupita ?? unajua umbal wa kutoka dunian tu jupiter maana kama ilikuwa inaenda km laki 2.5 kwa saa maana yake kwa siku ilikuwa inaenda km milion 6 kwa mwaka ni km 2,190,000,000 ...kwa miaka saba zidisha kwa saba hapo ni
 
uache uongo mr ....distance from earth to jupiter ni km 588milion tu kama hcho chombo kilikuwa kinaenda km lak 2.5 kwa saa basi kwa mwaka ni km bilion mbil this mean that kwwnda jupita ingetumia less than 4 month
 
uache uongo mr ....distance from earth to jupiter ni km 588milion tu kama hcho chombo kilikuwa kinaenda km lak 2.5 kwa saa basi kwa mwaka ni km bilion mbil this mean that kwwnda jupita ingetumia less than 4 month
Acha ushamba ww nan kakwambia kutoka dunian hadi Jupiter ni km 500's million ....mim nimeandika kutoka jua hadi Jupiter.....pia umbali kutoka Jupiter hadi dunia sio constant una badilika....usisome kwa mihemko...
 
Bado haujaeleweka .........
 
rotten cunt
Juno iliondoka mwez August 2011 kutoka Florida USA na kuelekea Jupiter ...2016 Juno ilikuwa imekalibia mzingo wa Jupiter ... April 2017 Juno ilisha anza kuu kalbia mwez wa Callisto ...Juno ndicho chombo chenye speed kuliko chombo chochote kilicho tengenezwa na mwanadamu kikienda km laki 2.5 kwa saa
 
sina muda wa kubishana na ww umeandika from duniani to jupita afu unakana ?? jifunze kwanza unaonekana unataka kufahamu vitu vingi na umebase huko ila bado hujajua jifunze ufaham each and everything ndo uanzishe uzi .....ndo mana uzi wako wa uliposema wakuulize maswali yoyote kuhusu haya mambo haujapata hata comment moja cz no one to ask yu those qn yu are stil young nadhan MMU kwa sasa ndo panakufaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…