Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Ban tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga atashinda Kwa hiyo haimhusu hiyo kituBan tu
MIMI NDO HUTOA ADHABUAdhabu ya jana hujamaliza unataka mpya
wewe ndo una gundu. KWA HII YANGA MTAKE TUNASHINDA MSITAKE TUNASHINDANyie ndio mnaoitilia team gundu
Chizi huwa haponiTeam ya taifa ya Dar Young Africans leo inaenda kushusha kipigo cha mbwa mwizi kwa hawa Medeama hapa Uwanja wa Mkapa.
Tayari kisu kimepata makali ya kutosha na ustaadhi anasema bao ni 3. Haina kuremba. Soka la kufa mtu na mabao makali ya ulaya yataonekana.
Hakuna papatu papatu. Mpira unasambazwa. Yanga ikitoa hata draw leo mimi nipigwe ban ya week. Njooni uwanjani msiwe na shaka. Game tumeishaimaliza muda huu sasa narudi kulala tu. Tulikuwa Zanzibar toka jana usiku saa 2.
nilitegemea mtakuja kama kawaida yenu. siwezi kukulaumu.... chakula ulichokula,malezi na jinsi ambavyo ulizaliwa vinaathiri sana ukuaji wako kiakili. so hapa bado hujasema. mpaka useme.Chizi huwa haponi
wakikuchungulia wapi?Acha kuwadanganya wana uto wenzio maana kila wakichungulia wanao kichapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kila siku tunawaambia heshimuni wakubwa wawape mbinu za kula kimasihara hamtaki
UTAKE TUNASHINDA USITAKE TUNASHINDAHuyu anawachawia...
"Ukinijadili umenikubali" na bado [emoji1745][emoji1]Tushakupuuza hata kuandika majina yenu yanatushosha maana ni mengi mnooo...tunajua nati za kichwa chako hazijatimia##gongowazi##
Na bado nini sasa...wee mzee makamo... 😀"Ukijijadili umenikubali" na bado [emoji1745][emoji1]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Wewe mwenyewe ndiyo umejiita Chizi au tayari umeshasahau jina lako. Kweli chizi haponinilitegemea mtakuja kama kawaida yenu. siwezi kukulaumu.... chakula ulichokula,malezi na jinsi ambavyo ulizaliwa vinaathiri sana ukuaji wako kiakili. so hapa bado hujasema. mpaka useme.
Kikwetu sagai maana yake Makalio. Mnahesabu lakini?Wewe mwenyewe ndiyo umejiita Chizi au tayari umeshasahau jina lako. Kweli chizi haponi