Njooni Wanayanga tufurahie Ushindi hii Leo. Tunampiga mtu kipigo kibaya. Tukikosa points tatu Nipigwe Ban

Njooni Wanayanga tufurahie Ushindi hii Leo. Tunampiga mtu kipigo kibaya. Tukikosa points tatu Nipigwe Ban

Acha kuwadanganya wana uto wenzio maana kila wakichungulia wanao kichapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kila siku tunawaambia heshimuni wakubwa wawape mbinu za kula kimasihara hamtaki
 
Harafu jana niliandaa wese baada ya ahadi yako hukutokea sasa leo weka tena watu tuje tujilie vyetu
 
Team ya taifa ya Dar Young Africans leo inaenda kushusha kipigo cha mbwa mwizi kwa hawa Medeama hapa Uwanja wa Mkapa.

Tayari kisu kimepata makali ya kutosha na ustaadhi anasema bao ni 3. Haina kuremba. Soka la kufa mtu na mabao makali ya ulaya yataonekana.

Hakuna papatu papatu. Mpira unasambazwa. Yanga ikitoa hata draw leo mimi nipigwe ban ya week. Njooni uwanjani msiwe na shaka. Game tumeishaimaliza muda huu sasa narudi kulala tu. Tulikuwa Zanzibar toka jana usiku saa 2.
Chizi huwa haponi
 
Chizi huwa haponi
nilitegemea mtakuja kama kawaida yenu. siwezi kukulaumu.... chakula ulichokula,malezi na jinsi ambavyo ulizaliwa vinaathiri sana ukuaji wako kiakili. so hapa bado hujasema. mpaka useme.
 
nilitegemea mtakuja kama kawaida yenu. siwezi kukulaumu.... chakula ulichokula,malezi na jinsi ambavyo ulizaliwa vinaathiri sana ukuaji wako kiakili. so hapa bado hujasema. mpaka useme.
Wewe mwenyewe ndiyo umejiita Chizi au tayari umeshasahau jina lako. Kweli chizi haponi
 
Kama sio goli la kibabage kukataliwa Leo point 7 zingekuwa mfukoni
 
Back
Top Bottom