stormryder
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 3,776
- 5,786
Sijui nini wewe poyoyo, si nimekwambia mimi ni mwenyekiti wa mtaa. Unajua shina ni uongozi wa level gani au unaropoka tu,Wewe jibu swali usianze ngonjera zako hujui sema sijui
Sasa inaanza kueleweka.
Hoja yako ni mfu.Ni wahuni tu wasio na hisani wenye kutumia vibaya nembo ya Samia.
Wamalizane huko huko na warudishe pikipiki zilizo mali za chama, CCM sio chama cha kuumiza watu isipokua ndani yake kuna wahuni kama hawa jamaa waliojipachika.
Ni wewe ndio unaji entertain siwezi kukujibu, vinginevyo una hoja ambayo mimi siwezi kukujibu.Huna cha kujibu sema sina cha kujibu acha kujiaibisha
Mzee una matatizo ya akili nmeshakushtukiaSijui nini wewe poyoyo, si nimekwambia mimi ni mwenyekiti wa mtaa. Unajua shina ni uongozi wa level gani au unaropoka tu,
UkajibuWewe ni mjumbe wa Shina gani hapo mtaani kwenu?
Sasa unasema wewe mwenyekiti wa mtaaNyumba kumI
M-'diaspora' mambo haya na huko kwenu yapo? EEEeeeenHHeeeeeh!Sijui nini wewe poyoyo, si nimekwambia mimi ni mwenyekiti wa mtaa. Unajua shina ni uongozi wa level gani au unaropoka tu,
Ndio ujibu nilichokuuliza km huna jibu sema sina jibu kuliko kujipachika vyeo visivyokuhusu mara mjumbe mara mwenyekiti nimekwambia taja Shina sio cheo chakoNi wewe ndio unaji entertain siwezi kukujibu, vinginevyo una hoja ambayo mimi siwezi kukujibu.
Mapikipiki yamebeba petroli kwenda kuchoma nyumba moto ndio kazi yake hio?M-'diaspora' mambo haya na huko kwenu yapo? EEEeeeenHHeeeeeh!
hapa tuna mpigania mama tu! Ni nani kama mama! Unaona haya mapikipiki?
I got better things to do other than entertain a shallow mind.Ndio ujibu nilichokuuliza km huna jibu sema sina jibu kuliko kujipachika vyeo visivyokuhusu mara mjumbe mara mwenyekiti nimekwambia taja Shina sio cheo chako
Unaniuliza mimi hayo mkuu 'zero'? Mbona ni kama ume elekeza swali mahala pasipo sahihi. Waulize hao unao waona na hayo mapikipiki.Mapikipiki yamebeba petroli kwenda kuchoma nyumba moto ndio kazi yake hio?
Badirisha lugha kwanza ili tuongee vizuri umesema wewe ni mjumbe wa nyumba 1 au mwenyekiti wa mtaa?I got better things to do other than entertain a shallow mind.
In your pathetic little head you think JF has an audience to evaluate intellectual mind.
Na wewe ni miongoni mwao aargh
Kwa sasa nimerudi nyumbani nipo buguruni kwa sababu ya mama Samia,M-'diaspora' mambo haya na huko kwenu yapo? EEEeeeenHHeeeeeh!
hapa tuna mpigania mama tu! Ni nani kama mama! Unaona haya mapikipiki?
Taahira wewe hivi unakadhana na vitu ambavyo mtu yeyote anaweza ku-google katiba ya CCM na kupata majibu.Badirisha lugha kwanza ili tuongee vizuri umesema wewe ni mjumbe wa nyumba 1 au mwenyekiti wa mtaa?
Kakufanyaje?Kwa sasa nimerudi nyumbani nipo buguruni kwa sababu ya mama Samia,
Hao hapo kwenye picha, wote ni "wajasiriamali" wa mama hao. CCM imegeuzwa kuwa sehemu ya kuzalisha wajasiria mali wa kila aina chini ya mama.
Ulisema wewe ni mjumbe wa Shina gani?Taahira wewe hivi unakadhana na vitu ambavyo mtu yeyote anaweza ku-google katiba ya CCM na kupata majibu.
How stupid are you
Sijakuelewa mkuu kivipi?Hao hapo kwenye picha, wote ni "wajasiriamali" wa mama hao. CCM imegeuzwa kuwa sehemu ya kuzalisha wajasiria mali wa kila aina chini ya mama.
Ume kwenda kuongeza nguvu kwenye timu ya ushindi mnono, au siyo?Kwa sasa nimerudi nyumbani nipo buguruni kwa sababu ya mama Samia,