LGE2024 Nkasi: Wanaodaiwa kutumwa na DC kulipua nyumba ya Mbunge Aida Kenani wakamatwa. Walitumia ‘pikipiki za Samia’

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Ume kwenda kuongeza nguvu kwenye timu ya ushindi mnono, au siyo?
Nina wasiwasi kama wewe utarejea huko kwenye u'diaspora'. Huenda ukapewa wizara ya pesa nzima nzima; kama siyo stoo ya mapesa yetu hapa ya madafu tunayo iita Benki Kubwa.
😂😂😂 inawezekana nina matatizo maana umaskini siupendi kwakweli, lakini mabillioni ya mahela pia sidhani kama ndio furaha kwangu.

Wengine tupo happy kuyananga tu haya majizi na kuwakumbusha upinzani wajipange kupewa nchi bado.
 
😂😂😂 inawezekana nina shida kwakweli shida sipendi, lakini mabillioni ya mahela pia sidhani kama ndio furaha kwangu.

Wengine tupo happy kuyananga tu haya majizi na kuwakumbusha upinzani wajipange kupewa nchi bado.
Swali langu hujajibu mkuu
 
Wengine tupo happy kuyananga tu haya majizi na kuwakumbusha upinzani wajipange kupewa nchi bado.
Hili ndilo unalo nishangaza kwalo. Hiyo CCM ndiyo hiyo; lakini unachagua kujidanganya mwenyewe na kudhani bado kuna CCM nyingine ambayo wewe ni 'loyal' kwa hiyo CCM uliyo nayo kichwani?
Inanishangaza sana.
 
CCM chama kaka kwa sasa hakuna mmbadala wake kwa sasa.
 
Back
Top Bottom