Tulia kidogo utanielewa, maana naona ume chemka sana na mada hii. Ujumbe huo upo wazi, hauna kificho chochote cha kukufanya ushindwe kuuelewa.Sijakuelewa mkuu kivipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia kidogo utanielewa, maana naona ume chemka sana na mada hii. Ujumbe huo upo wazi, hauna kificho chochote cha kukufanya ushindwe kuuelewa.Sijakuelewa mkuu kivipi?
😂😂😂 inawezekana nina matatizo maana umaskini siupendi kwakweli, lakini mabillioni ya mahela pia sidhani kama ndio furaha kwangu.Ume kwenda kuongeza nguvu kwenye timu ya ushindi mnono, au siyo?
Nina wasiwasi kama wewe utarejea huko kwenye u'diaspora'. Huenda ukapewa wizara ya pesa nzima nzima; kama siyo stoo ya mapesa yetu hapa ya madafu tunayo iita Benki Kubwa.
Umesema? Wametumwa na Mama Samia?Tulia kidogo utanielewa, maana naona ume chemka sana na mada hii. Ujumbe huo upo wazi, hauna kificho chochote cha kukufanya ushindwe kuuelewa.
Swali langu hujajibu mkuu😂😂😂 inawezekana nina shida kwakweli shida sipendi, lakini mabillioni ya mahela pia sidhani kama ndio furaha kwangu.
Wengine tupo happy kuyananga tu haya majizi na kuwakumbusha upinzani wajipange kupewa nchi bado.
Duh!Umesema? Wametumwa na Mama Samia?
Huo muda sinaSwali langu hujajibu mkuu
Sasa ndio nilivyokuelewaDuh!
Ni wapi nilipo andika hayo mkuu 'zero', mbona unakuwa hivi. Tutaelewana kweli kwa mwendo huu?
Sasa pikipiki zake zimefikaje na madumu ya petroli?Huo muda sina
Elewa tu Samia na CCM hawana muda wa kwenda kuchoma moto nyumba ya mmbunge wa CDM.
Hili ndilo unalo nishangaza kwalo. Hiyo CCM ndiyo hiyo; lakini unachagua kujidanganya mwenyewe na kudhani bado kuna CCM nyingine ambayo wewe ni 'loyal' kwa hiyo CCM uliyo nayo kichwani?Wengine tupo happy kuyananga tu haya majizi na kuwakumbusha upinzani wajipange kupewa nchi bado.
tako_la_mtemiWhere are going as a country?
umenielewa visivyo.Sasa ndio nilivyokuelewa
CCM chama kaka kwa sasa hakuna mmbadala wake kwa sasa.Hili ndilo unalo nishangaza kwalo. Hiyo CCM ndiyo hiyo; lakini unachagua kujidanganya mwenyewe na kudhani bado kuna CCM nyingine ambayo wewe ni 'loyal' kwa hiyo CCM uliyo nayo kichwani?
Inanishangaza sana.
Nieleweshe vilivyoumenielewa visivyo.
Umemuelewa Kalamu mkuu au unampalamia tu?CCM chama kaka kwa sasa hakuna mmbadala wake kwa sasa.
Unajua mkuu 'zero'; huwa nina fuzi fupi sana na watu wapumabavu. Sihangaiki tena na wewe.Nieleweshe vilivyo
Wahusika wako polisi ndio wataeleza nani kawatuma kuichafua CCM, kwani hujui ndani ya CCM kuna mapendikizi.Sasa pikipiki zake zimefikaje na madumu ya petroli?
Wapumbavu tena?Unajua mkuu 'zero'; huwa nina fuzi fupi sana na watu wapumabavu. Sihangaiki tena na wewe.
Unatafuta excuse?Wahusika wako polisi ndio wataeleza nani kawatuma kuichafua CCM, kwani hujui ndani ya CCM kuna mapendikizi.