secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Hii ni ngori.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya makosa yanaitwa Arson degrees na yapo kwenye makundi mawili moja kuchoma nyumba ikiwa na watu ndani na ingine kuchoma nyumba ikiwa haina watu ndani.Kumbe unadhani? Sheria haina kudhani ndo maana makosa yamebainishwa kwenye penal code
Makosa ambayo hayana dhamana yamehorodheshwa Sect 148(5) cap 20 R.E 2022 nje na hapo yanayobaki yana dhamana labda wanyimwe dhamana kwa kuhofia usalama wao kuwa wakiwa nje wanaweza kuuwawaAnyway, mimi siyo mwanasheria. Kozi ilikua na viwili vitatu tu kuhusu sheria so kama wewe ni mwanasheria utakua unajua zaidi.
Ni CCM nzimaNimewahi kusema pale uvccm kuna genge la vijana wahuni wanaopokea order kutoka juu
If B=CNataka wafutiwe kesi maana wametumwa na DC aliyeteuliwa na Samia
Kuchoma nyumba iwe na watu au isiwe na watu, jengo liwe limeisha au liwe halijaisha hukumu yake ni kifungo cha maishaHaya makosa yanaitwa Arson degrees na yapo kwenye makundi mawili moja kuchoma nyumba ikiwa na watu ndani na ingine kuchoma nyumba ikiwa haina watu ndani.
huo ni uzushi na uongo wa kiwango cha changarawe gentleman, wala hakuna haja ya kubabaika nao.Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa hapo vipi ?
we are going nowhereWhere are going as a country?
huu ni mwanzo tu saa100 kawapa uvccm pikipiki za kufanyia uhalifuTaarifa kamili hii hapa
View attachment 3162606View attachment 3162607View attachment 3162608View attachment 3162609View attachment 3162610View attachment 3162611
Vijana waliovalia Sare zenye nembo ya Chama cha Mapinduzi kama wanavyoonekana kwenye Picha wamevamia Nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Nkasi kaskazini Mkoani Rukwa Mhe. Aida Kenani vijana hao walikuwa na Dumu la Mafuta ya Petrol vijana hao wamebanwa na wengine kuwekwa chini ya ulinzi na walipoulizwa wanadai kwamba wametumwa na Mkuu wa wilaya ya Nkasi.
Pia soma: LIVE - LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Police wamefika na Kuwachukua Vijana hao kwa hatua zaidi.
Viongozi wa Chadema Jimbo la Nkasi Kaskazini, Wagombea pamoja na Mawakala walikuwa na Kikao Jioni ya leo Nyumbani kwa Mbunge Mhe. Aida kenani.
Kuna mamlaka sinatengeza hii kitu taratibu bila wao kujua. Huo uadui utakapofika max level mitaani kutageuka war zoneKuna askari kapigwa mapanga juzi tu huku na watu Fulani Sasa najiuliza hii nchi yangu mbona imekuwa uadui wa kimya kimya mwingi hivi?! Tufanyeje
Kama ni Kweli huyu DC ameonyesha Tabia mbaya sana SanaHovyo sana sana
Tunaposema kuwa CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala kidhalimu tunamaanisha. Mfano hai ni huu hapa na vijana hao hawatachukuliwa hatua kwa vile wanatekeleza sera ya ugaidi ya CCM.Taarifa kamili hii hapa
View attachment 3162606View attachment 3162607View attachment 3162608View attachment 3162609View attachment 3162610View attachment 3162611
Vijana waliovalia Sare zenye nembo ya Chama cha Mapinduzi kama wanavyoonekana kwenye Picha wamevamia Nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Nkasi kaskazini Mkoani Rukwa Mhe. Aida Kenani vijana hao walikuwa na Dumu la Mafuta ya Petrol vijana hao wamebanwa na wengine kuwekwa chini ya ulinzi na walipoulizwa wanadai kwamba wametumwa na Mkuu wa wilaya ya Nkasi.
Pia soma: LIVE - LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Police wamefika na Kuwachukua Vijana hao kwa hatua zaidi.
Viongozi wa Chadema Jimbo la Nkasi Kaskazini, Wagombea pamoja na Mawakala walikuwa na Kikao Jioni ya leo Nyumbani kwa Mbunge Mhe. Aida kenani.
Anatekeleza sera ya CCM ya ugaidiKama ni Kweli huyu DC ameonyesha Tabia mbaya sana Sana
Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama unaongoza maasi? 🐼
Kitendo walichokuwa wanataka kutekeleza ni ugaidi na kosa la ugaidi siyo bailable,labda kwa vile walikuwa wanatekeleza state sponsored terrorism.Kosa walilokamatwa nalo ni Bailable offence wanaruhusiwa kupewa dhamana au hutaki wapewe dhamana?
Atumbuliwe vipi naye anatekekeza maagizo ya mamlaka ya uteuzi?Huyo DC mpaka muda huu bado yupo ofisini? Huyu atumbuliwe kabla hakujakucha na afunguliwe kesi ya uhaini
Kwani huyo DC aliyewatuma anapokea maagizo toka kwa nani? Usijitoe ufahamu.Huo muda wa kutuma watu kwenda kuumiza wanyonge mwenyekiti wa CCM anautoa wapi,