LGE2024 Nkasi: Wanaodaiwa kutumwa na DC kulipua nyumba ya Mbunge Aida Kenani wakamatwa. Walitumia ‘pikipiki za Samia’

LGE2024 Nkasi: Wanaodaiwa kutumwa na DC kulipua nyumba ya Mbunge Aida Kenani wakamatwa. Walitumia ‘pikipiki za Samia’

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kumbe unadhani? Sheria haina kudhani ndo maana makosa yamebainishwa kwenye penal code
Haya makosa yanaitwa Arson degrees na yapo kwenye makundi mawili moja kuchoma nyumba ikiwa na watu ndani na ingine kuchoma nyumba ikiwa haina watu ndani.
 
Anyway, mimi siyo mwanasheria. Kozi ilikua na viwili vitatu tu kuhusu sheria so kama wewe ni mwanasheria utakua unajua zaidi.
Makosa ambayo hayana dhamana yamehorodheshwa Sect 148(5) cap 20 R.E 2022 nje na hapo yanayobaki yana dhamana labda wanyimwe dhamana kwa kuhofia usalama wao kuwa wakiwa nje wanaweza kuuwawa
 
Haya makosa yanaitwa Arson degrees na yapo kwenye makundi mawili moja kuchoma nyumba ikiwa na watu ndani na ingine kuchoma nyumba ikiwa haina watu ndani.
Kuchoma nyumba iwe na watu au isiwe na watu, jengo liwe limeisha au liwe halijaisha hukumu yake ni kifungo cha maisha

Ni tofauti na hukumu ya kujaribu kuchoma
 
Aahaa! Kumbe ni nkasi kwa yule mbunge pekee wa upinzani? Basi huyo dc ni mpuuzi tu, anafanya umafia wa kijinga zama hizi kufanya siasa za namna hiyo ni ujinga
 
Yaani miafrika kichwani ni zero kabisa...
 
Taarifa kamili hii hapa

View attachment 3162606View attachment 3162607View attachment 3162608View attachment 3162609View attachment 3162610View attachment 3162611

Vijana waliovalia Sare zenye nembo ya Chama cha Mapinduzi kama wanavyoonekana kwenye Picha wamevamia Nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Nkasi kaskazini Mkoani Rukwa Mhe. Aida Kenani vijana hao walikuwa na Dumu la Mafuta ya Petrol vijana hao wamebanwa na wengine kuwekwa chini ya ulinzi na walipoulizwa wanadai kwamba wametumwa na Mkuu wa wilaya ya Nkasi.

Pia soma: LIVE - LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Police wamefika na Kuwachukua Vijana hao kwa hatua zaidi.

Viongozi wa Chadema Jimbo la Nkasi Kaskazini, Wagombea pamoja na Mawakala walikuwa na Kikao Jioni ya leo Nyumbani kwa Mbunge Mhe. Aida kenani.
huu ni mwanzo tu saa100 kawapa uvccm pikipiki za kufanyia uhalifu
 
Kuna askari kapigwa mapanga juzi tu huku na watu Fulani Sasa najiuliza hii nchi yangu mbona imekuwa uadui wa kimya kimya mwingi hivi?! Tufanyeje
Kuna mamlaka sinatengeza hii kitu taratibu bila wao kujua. Huo uadui utakapofika max level mitaani kutageuka war zone
 
Taarifa kamili hii hapa

View attachment 3162606View attachment 3162607View attachment 3162608View attachment 3162609View attachment 3162610View attachment 3162611

Vijana waliovalia Sare zenye nembo ya Chama cha Mapinduzi kama wanavyoonekana kwenye Picha wamevamia Nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Nkasi kaskazini Mkoani Rukwa Mhe. Aida Kenani vijana hao walikuwa na Dumu la Mafuta ya Petrol vijana hao wamebanwa na wengine kuwekwa chini ya ulinzi na walipoulizwa wanadai kwamba wametumwa na Mkuu wa wilaya ya Nkasi.

Pia soma: LIVE - LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Police wamefika na Kuwachukua Vijana hao kwa hatua zaidi.

Viongozi wa Chadema Jimbo la Nkasi Kaskazini, Wagombea pamoja na Mawakala walikuwa na Kikao Jioni ya leo Nyumbani kwa Mbunge Mhe. Aida kenani.
Tunaposema kuwa CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala kidhalimu tunamaanisha. Mfano hai ni huu hapa na vijana hao hawatachukuliwa hatua kwa vile wanatekeleza sera ya ugaidi ya CCM.
 
Kosa walilokamatwa nalo ni Bailable offence wanaruhusiwa kupewa dhamana au hutaki wapewe dhamana?
Kitendo walichokuwa wanataka kutekeleza ni ugaidi na kosa la ugaidi siyo bailable,labda kwa vile walikuwa wanatekeleza state sponsored terrorism.
 
Back
Top Bottom