NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

Yanayonikela Nmb, umelipwa cheki unamwagiza mfanyakazi aipereke benki wanakataa kuipokea eti Mpaka mwenye akaunt ailete mwnyewe Na wakati cheki ni ya kampuni, haya unapereka vendor form watakwambia mwenye akauti ailete mwenyewe Na wakati anaona hiyo vendor form ni ya kampun wala sio jina la MTU binafsi.

Hivi nyie Nmb kila kitu kwenu anafanya meneja makao makuu? Kinachonishangaza hata mwenye akaunt/ signatories akija hakuna cha ziada wanachomuuliza Bali wanaangalia sura yake basi, kama ni vendor form au cheki stagings mhuri Na kukupa wala hakuna swali la ziada, sasa swali usumbufu wote huo Wa ni wann wakati unajua hii akaunti ni ya kampuni Na kampun lazima iwe Na wafanyakazi,

Na mkurugenzi Wa kampuni hawez Fanya kila kitu.usumbufu nimekutana NAO Nmb bukoba
 
Mimi nmb mnanichosha sana nakaa chanika nikihtaj huduma hadi nije gongolamboto HV kwanini hamuitumii population kubwa iliyoko kule kuanzisha tawi au hata ATM
 
Kuna siku nilinunua luku kupitia NMB mobile,,,,lakini cha kushangaza sms hamkunitumia ya tocken...na hata custmcare yenu ni mbovu kabisa,,napiga naishiwa ku katwa vocha yangu..
 
Walizi Na sim: ukiwa Nmb BUKOBA mlizi hataki hata usome msg akikuona utafikiri kakamata mwizi, hivi hata kusoma msg au kuperuzi mitandao kama hii ukiwa ndani ya Nmb nikiashiria cha wizi ?

Mbona mabenki mengine kama CRDB wateja wanaongea Na cm japo ni kwa sauti ya chin Na ya kistaatabu Na wala hatujasikia wizi Wa kupindukia uliotokea kwa sababu Mteja aliongea Na cm akiwa Benki, watu wengine akaunt zetu utunza kwenye cm, mlizi akikuona tu unatafta hiyo akaunt kwenye sim utaona huyo mbio kakutoa kwenye folen au atakunyanganya cm eti kisa umewasha simu ndani ya benki.

kwa kifupi Nmb MNA manyanyaso mengi Na mnakera,utafikiri sio benki, nafikri wafanyakazi / walinzi wenu wanahitaji kujitambua Na kujua ulinwengu tunaoenda nao ukoje, unanikatazaje nisisome hata msg kwenye simu Yangu, badilikeni ulimwengu hauko hivyo kwa sasa, nwizi Wa kuwaibia haji kwa njia hiyo
 
Walizi Na sim: ukiwa Nmb BUKOBA mlizi hataki hata usome msg akikuona utafikiri kakamata mwizi, hivi hata kusoma msg au kuperuzi mitandao kama hii ukiwa ndani ya Nmb nikiashiria cha wizi ? Mbona mabenki mengine kama CRDB wateja wanaongea Na cm japo ni kwa sauti ya chin Na ya kistaatabu Na wala hatujasikia wizi Wa kupindukia uliotokea kwa sababu Mteja aliongea Na cm akiwa Benki, watu wengine akaunt zetu utunza kwenye cm, mlizi akikuona tu unatafta hiyo akaunt kwenye sim utaona huyo mbio kakutoa kwenye folen au atakunyanganya cm eti kisa umewasha simu ndani ya benki.kwa kifupi Nmb MNA manyanyaso mengi Na mnakera,utafikiri sio benki, nafikri wafanyakazi / walinzi wenu wanahitaji kujitambua Na kujua ulinwengu tunaoenda nao ukoje, unanikatazaje nisisome hata msg kwenye simu Yangu, badilikeni ulimwengu hauko hivyo kwa sasa, nwizi Wa kuwaibia haji kwa njia hiyo

Ndo maana nawaitaga watanzania misukule kwani lazma ulalamika so uhame bank zipo kila kona hameni wabaki wenyewe acheni uzombi
 
Ndo maana nawaitaga watanzania misukule kwani lazma ulalamika so uhame bank zipo kila kona hameni wabaki wenyewe acheni uzombi

Sio kwamba hatulijui hilo, helewa kwamba mtu ufungua akaunti kutokana Na wateja/ walipaji wake walipo, mfano, karibu cheki zote unazopokea ni za Nmb ili kuondoa usumbufu Wa clearance Na kuchelewa kwa malipo utalizima kuwa Na akaunt nmb , Na hata kama una akaunti benki nyingine Na ukahamua cheki yako ya Nmb kuipitishia huko hawa jamaa wa nmb watakataa kuilipa eti Mpaka ufungue akaunt kwao, ni ulazima kama huo ndio unatufanya tunyanyasike.

Hivi we we unadhan walimu mabenk mengine hawayaoni
 
Maoni: Muweke basi hata maji kwenye ATM zenu wakati mwingine tunaenda ku draw pesa nyingi... Kwa hyo mtu unakuwa unapata maji wakati pesa zinajihesabu!
 
Sio kwamba hatulijui hilo, helewa kwamba mtu ufungua akaunti kutokana Na wateja/ walipaji wake walipo, mfano, karibu cheki zote unazopokea ni za Nmb ili kuondoa usumbufu Wa clearance Na kuchelewa kwa malipo utalizima kuwa Na akaunt nmb , Na hata kama una akaunti benki nyingine Na ukahamua cheki yako ya Nmb kuipitishia huko hawa jamaa wa nmb watakataa kuilipa eti Mpaka ufungue akaunt kwao, ni ulazima kama huo ndio unatufanya tunyanyasike. Hivi we we unadhan walimu mabenk mengine hawayaoni

Siku hizi clearance ni two days kuanzia June 1 kuna cheki mpya so iyo ya clearance nmb kwa nmb sijui km ina nafas
 
huduma zenu mbovu bwana kufufua akaunti inachukua mwaka wakati akaunti ikishafunguliwa?tatizo ni nini?acheni umbulula
 
Hiv malalamiko tunayotoa mnayafanyia kazi au unatizama tu Na kuacha kama ilivyo kama unayafanyia kazi mbona hatuoni mrejesho.Hii inaziilisha kuwa huduma zenu mbovu hata kujibu humu unaitaji kujiandaa
 
Samahani NMB jana mlituma ujumbe kuwa "akuanti inyoishia 02042 imetoa 1200 kama hautambui muhala huu piga......" ambayo mimi kama miliki sijaitoa na benk yenyewe iko mbali. Sasa kama kuna uwezekano rudisha hele yangu hiyo pia tafuta mtu anayecheza mchezo huu mchafu na achukuliwe hatua.60601602042
 
NMB tunashukuru sana Kwa huduma yenu nzuri lkn Baadhi ya wahudumu wenu Siyo waungwana hasa hasa mateiller unakuta mmepanga foleni mnasubiria huduma unakuta muhudumu yeye anachat Fb, whatsapp.

Na Baadhi ya mitandao cha ajabu wengine unawakuta wanaangalia hadi pornographic films wakati ,wateja wanasubiria huduma jirekebisheni kwa hilo Linakera sana na Kitu kingine jaribuni kuongeza idadi za ATM zenu maana ni chache mnoo mfano Songea mjini ukienda wakati wa mwisho wa mwezi yaani kuna foleni kubwa sana mpaka kero na Musoma mjini pia alafu mara nyingi ATM zenu zinakuwa hazina pesa jamani
 
Maximum mkopo nitakaopata kwa kukatwa ktk basic salary, ni kiasi gani? My basic salary ni Tshs. 1,200,00/=
 
NMB tunashukuru sana Kwa huduma yenu nzuri lkn Baadhi ya wahudumu wenu Siyo waungwana hasa hasa mateiller unakuta mmepanga foleni mnasubiria huduma unakuta muhudumu yeye anachat Fb, whatsapp. Na Baadhi ya mitandao cha ajabu wengine unawakuta wanaangalia hadi pornographic films wakati ,wateja wanasubiria huduma jirekebisheni kwa hilo Linakera sana na Kitu kingine jaribuni kuongeza idadi za ATM zenu maana ni chache mnoo mfano Songea mjini ukienda wakati wa mwisho wa mwezi yaani kuna foleni kubwa sana mpaka kero na Musoma mjini pia alafu mara nyingi ATM zenu zinakuwa hazina pesa jamani

Mi nadhani utawala wa NMB waweke Camera kwenye kila chumba cha Teller ili kuwa monitor.
 
Mimi nmb mnanichosha sana nakaa chanika nikihtaj huduma hadi nije gongolamboto HV kwanini hamuitumii population kubwa iliyoko kule kuanzisha tawi au hata ATM

Hata Mbezi Mwisho (Mbezi ya Kimara) wangeweka ATM aisee
 
Back
Top Bottom