mongierick01
New Member
- Jun 12, 2015
- 1
- 0
NMB mnaboa sana haiwezekani kwenye tawi la bank ITM hazina hela mpaka kelo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walizi Na sim: ukiwa Nmb BUKOBA mlizi hataki hata usome msg akikuona utafikiri kakamata mwizi, hivi hata kusoma msg au kuperuzi mitandao kama hii ukiwa ndani ya Nmb nikiashiria cha wizi ? Mbona mabenki mengine kama CRDB wateja wanaongea Na cm japo ni kwa sauti ya chin Na ya kistaatabu Na wala hatujasikia wizi Wa kupindukia uliotokea kwa sababu Mteja aliongea Na cm akiwa Benki, watu wengine akaunt zetu utunza kwenye cm, mlizi akikuona tu unatafta hiyo akaunt kwenye sim utaona huyo mbio kakutoa kwenye folen au atakunyanganya cm eti kisa umewasha simu ndani ya benki.kwa kifupi Nmb MNA manyanyaso mengi Na mnakera,utafikiri sio benki, nafikri wafanyakazi / walinzi wenu wanahitaji kujitambua Na kujua ulinwengu tunaoenda nao ukoje, unanikatazaje nisisome hata msg kwenye simu Yangu, badilikeni ulimwengu hauko hivyo kwa sasa, nwizi Wa kuwaibia haji kwa njia hiyo
Ndo maana nawaitaga watanzania misukule kwani lazma ulalamika so uhame bank zipo kila kona hameni wabaki wenyewe acheni uzombi
Sio kwamba hatulijui hilo, helewa kwamba mtu ufungua akaunti kutokana Na wateja/ walipaji wake walipo, mfano, karibu cheki zote unazopokea ni za Nmb ili kuondoa usumbufu Wa clearance Na kuchelewa kwa malipo utalizima kuwa Na akaunt nmb , Na hata kama una akaunti benki nyingine Na ukahamua cheki yako ya Nmb kuipitishia huko hawa jamaa wa nmb watakataa kuilipa eti Mpaka ufungue akaunt kwao, ni ulazima kama huo ndio unatufanya tunyanyasike. Hivi we we unadhan walimu mabenk mengine hawayaoni
Hiv malalamiko tunayotoa mnayafanyia kazi au unatizama tu Na kuacha kama ilivyo kama unayafanyia kazi mbona hatuoni mrejesho.Hii inaziilisha kuwa huduma zenu mbovu hata kujibu humu unaitaji kujiandaa
NMB tunashukuru sana Kwa huduma yenu nzuri lkn Baadhi ya wahudumu wenu Siyo waungwana hasa hasa mateiller unakuta mmepanga foleni mnasubiria huduma unakuta muhudumu yeye anachat Fb, whatsapp. Na Baadhi ya mitandao cha ajabu wengine unawakuta wanaangalia hadi pornographic films wakati ,wateja wanasubiria huduma jirekebisheni kwa hilo Linakera sana na Kitu kingine jaribuni kuongeza idadi za ATM zenu maana ni chache mnoo mfano Songea mjini ukienda wakati wa mwisho wa mwezi yaani kuna foleni kubwa sana mpaka kero na Musoma mjini pia alafu mara nyingi ATM zenu zinakuwa hazina pesa jamani
Mimi nmb mnanichosha sana nakaa chanika nikihtaj huduma hadi nije gongolamboto HV kwanini hamuitumii population kubwa iliyoko kule kuanzisha tawi au hata ATM