Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo mpaka miezi 12 ipiteNinaomba kuuliza, ukikopa mkopo jee, naruhusiwa kukopa tena ndanni ya mwska huohuo yaan top up?
Sent from my HUAWEI Y300-0151 using JamiiForums mobile app
Kuna kazi mlitangaza mwaka jana mwezi wa kumi ya Bank teller southern zone je mmeshaita watu kwenye usaili?Ndugu wana JamiiForums,
Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu nchini kote, NMB inafanyia uchunguzi maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki dhidi ya wafanyakazi waliotajwa na wengine wenye tabia kama hizo.
Ndugu wana jukwaa, NMB inajipambanua kwa kusimamia maadili moja wapo ikiwa ni uaminifu kwa wafanyakazi wake.
NMB pia inapenda kuwa hakikishia wateja na jamii kwa ujumla kwamba itaendelea kusimamia sera zote za benki ikiwa ni pamoja na kutovumilia wafanyakazi wasio waadilifu.
Kama kutatokea umepata huduma isiyo ridhisha au ufanyaji kazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:
1. Kupitia tovuti: http://www.nmbtz.com
2. Kupitia e-mail maalumu: whistleblower@nmbtz.com
3. Kwa posta &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; Unaweza kutuma barua kwa Afisa Mtendaji kama ifuatavyo:
Afisa Mtendaji Mkuu (Bahasha iandikwe "Siri")
Makao Makuu ya NMB,
P. O. Box 9213,
Azikiwe/Jamhuri Street,
Dar es Salaam, Tanzania.
4. Au kwa kupiga simu zifuatazo:
0658 751 000 Tigo
0779 751 000 Zantel
0685 751 000 Airtel
0800 751 000 Vodacom
LlllWapendwa hii bank ni majanga tu, niliwahi kukopa tawi la newala, Afisa mikopo SWAI alikuwa anachexea Akaunti yangu atakavyo. Kwenda kwa manager anamtetea, kwenda makao makuu wakanijibu nashukughulikia ombi lako mpaka Leo. Hiyo ni Michezo ya maafisa mikopo ni miungu watu hiyo. Nafikiria kuhamia crdb.....
Nmb mm sijawaelewa hasa hasa kwenye mikopo yenu pale mtu anapo top up..mfano mwaka jana nimetop up kwa makato ya elfi tisini kwa miaka mitano na deni langu lilikiwa ni sh 2020000....mkakata then nikapewa milioni moja tuu...kwel nliumia sana eti wakaniambia calculation za benk ni tofauti na hizi tunazocalculate...90000×60=5400000-2020000=3380000....ufafanuzi plz maana asilimia 18 ya hiyo hela ni kidogo sanaaa...Ndugu wana JamiiForums,
Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu nchini kote, NMB inafanyia uchunguzi maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki dhidi ya wafanyakazi waliotajwa na wengine wenye tabia kama hizo.
Ndugu wana jukwaa, NMB inajipambanua kwa kusimamia maadili moja wapo ikiwa ni uaminifu kwa wafanyakazi wake.
NMB pia inapenda kuwa hakikishia wateja na jamii kwa ujumla kwamba itaendelea kusimamia sera zote za benki ikiwa ni pamoja na kutovumilia wafanyakazi wasio waadilifu.
Kama kutatokea umepata huduma isiyo ridhisha au ufanyaji kazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:
1. Kupitia tovuti: http://www.nmbtz.com
2. Kupitia e-mail maalumu: whistleblower@nmbtz.com
3. Kwa posta &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; Unaweza kutuma barua kwa Afisa Mtendaji kama ifuatavyo:
Afisa Mtendaji Mkuu (Bahasha iandikwe "Siri")
Makao Makuu ya NMB,
P. O. Box 9213,
Azikiwe/Jamhuri Street,
Dar es Salaam, Tanzania.
4. Au kwa kupiga simu zifuatazo:
0658 751 000 Tigo
0779 751 000 Zantel
0685 751 000 Airtel
0800 751 000 Vodacom
Hapo huwezi kuhitimisha kuwa mzee alikuwa na hela sahihi kama alivyokuwa anadai, usiamini mtu kwa kumuangalia tu juu juu. Bank Teller ni vigumu sana (sisemi hawezi) kukuibia. So, ukweli anaujua babu na bank teller. Kwa kuwa alikubali kujaza fomu hapo hakuna msaada wowote.
Nilichokuwa namaanisha mie, ni vigumu ku'jump into conclusion kwa hilo tukio la babu, sitetei. Anyways, kama umefanya utafiti sawa. Lakini utafiti lazima uje na mapendekezo ya solution.Ndugu zangu landa nyie niwafanyakazi wa benki hivyo mnatetea.Nimeseama utafit wangu mtaani unaonyesha kunamchezo mchafu hapo nmb kahama karibu na stand ya mabasi,. Kunamama Fulani alifanyiwa hivyo akaibiwa laki sta na ni mwalimu.. bahati nzuri akafahamu yule dada anapokaa basi dada akasema apewe mda aitafute fedha nakweli alimlipa nakumuomba radhi, hivyo tusipishe tu. hawa wazee wakuuza umbaku vijijini hawana uelewa wa mabenki ila wanafanya trust sasa mabinti na mamenger uchwara wanataka hera ya sikuuu basi wanawaibia wateja hasa waliozubaa
Nilichokuwa namaanisha mie, ni vigumu ku'jump into conclusion kwa hilo tukio la babu, sitetei. Anyways, kama umefanya utafiti sawa. Lakini utafiti lazima uje na mapendekezo ya solution.
Mara nyingi unakuwa ni mchezo unaohusisha zaidi ya huyo teller. Kama ni kuangalia kamera hao hao waangaliaji huenda wako kwenye game!anyway, kwa kuwa CCTV zilikuwepo,, je huyu mzee anaweza kuaidiawaje kusudi auone uongozi waweze kutrack cctv kwa mda husiaka ili waone yule dada kama alichukua burungutu akaliweka pembeni na hakuliweka kwenye machine ya kuhesabia. Sisi vijana wa sasa lazima tukatae ufedhuri kwa wazee wetu na kwa benki..toeni ushauri wa nini kifanyike kuhakikisha haki inapatikana
Baadhi ya benki ni wezi kabisa na nadhani unachoandika na ulicho-observe kina ukweli. Hasa wakiona mtu amekaa kijiji-kijiji!Ndugu zangu landa nyie niwafanyakazi wa benki hivyo mnatetea.Nimeseama utafit wangu mtaani unaonyesha kunamchezo mchafu hapo nmb kahama karibu na stand ya mabasi,. Kunamama Fulani alifanyiwa hivyo akaibiwa laki sta na ni mwalimu.. bahati nzuri akafahamu yule dada anapokaa basi dada akasema apewe mda aitafute fedha nakweli alimlipa nakumuomba radhi, hivyo tusipishe tu. hawa wazee wakuuza umbaku vijijini hawana uelewa wa mabenki ila wanafanya trust sasa mabinti na mamenger uchwara wanataka hera ya sikuuu basi wanawaibia wateja hasa waliozubaa