NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

Labda mzee alikosea kuhesabu, 1.5m ni nyingi.. hawawezi kuiba yote labda 20,000
 
Ila kuna dogo mmoja anaitwa Guga ni mstaatabu sana huyo dogo namkubali.

Ila acheni kupakazia watu hapa na wewe mleta mada hapa ni mpumbafu kabisa wewe unauhakika gani kama huyo mzee alikuwa na pesa kamili?

Unakuja kuharibu kazi za watu hapa.
Umenikera sana wewe jinga jinga.

Mtu mbaya huko ungeniambia Ngoi ningekuelewa mana huyu ndio anaharibu ile Kanda aondolewe mara moja huyu mtu ni mbaya sana namjua.
 
Nimeifanyia maombi hiyo benk,msiwe na wasiwasi hamuibiwi tena,na nyie matela wa nmb kahama atakaeiba tena,atakiona mwenyewe
 
nimesema kwa kuwa cctv zilikuwepo je tumshauri mzee amuone nani amabaye atafanya utafiti kuanagualia kilichotokea kwa ajili ya haki kwa pande zote.

Mie sijaharibia watu kazi bali kumuuibia mtu pesa nikosa sana amabya adhabu yake nikubwa.kama unatetea labda unahusika kwa kuwa sikujui..ila nakuambia juzi wakati wamkasa nilkuwepo kwenye foleni na nilona mzee badala ya kuelimiswa badala yake ailitishwa kuwa kama halidhiki aondoke na milloni ishirini zake..maana yake waliishaandda watu wamtkeke nje ya ofisi kama akakubai.. sisi ndani tuakmushauri aweke hizo million 20 ili asije akapotez azote kwani kahama kuanujambbazi.sasa toeni jibu amuone nani kwa malalamiko zaidi ya meneja ambaye inawezekana ni sehem ya tatizo

 
Aandike maoni makao makuu au apige simu kwa hali hii NMB wanajishushia heshima mm naona matawi ya mkoa wa shinyanga mengi ni shida meatu nako shida tu
 
Inawezekana pia yule mzee alikosea kuhesabu. Kwa nini umwamini yule mzee na siyo mfanyakazi wa benk. Kwa hela nyingi kama hiyo, mfanyakazi hana namna ya kuibeba. Kumbuka kuna kamera inamwangalia.
Huo mchezo upo sana tena sana na sio NMB peke yake lakin NMB ndio wamezidisha nimesha wahi kukutana na hilo sakata nakwambia lakin kwa vile nilijua mchezo huo nilikomaa na yule bwana mdogo nikamwambia aisee huo mchezo naufahamu tutaharibiana kazi jamaa yangu mimi najua kuhesabu na ikabla ya kuja hapa nimejiridhisha mara kadhaa nikiamin huwa kuna sababu kama hizo huku na kweli imetokea ,ninahakika kabisa pesa hazijapungua hizo hesabu tena aisee basi kwa nilikuwa nimesha ona nikajifanya natizama pembeni makusudi ili nimpe chance arudishe

Nilipo rudisha kichwa akajifanya ngoja basi tuhesabu tena maana sijazichanganya bado basi kuzihesabu ikatimia ile pungufu ya laki 4 na 30 ikarudi akajifanya oohh! Ndio maana kuna wakati huwa tunaona bora tuhesabu kwa mikono yetu hizi mashine bwana zina matatizo wakati fulan na mie nkajifanya kumpa pole kuwa huwa zinachoka nazo , wakati kumbe alizikwapua , benk si sehwmu salama kabisa kwa sasa tena kama NMB wafanye reform huko wamejaa vibaka.
 

Aende akamwone zonal manager anaitwa Ngoi yuko Tabora japo na yeye ni jipu,
Mytake ! Kama itagundulika mzee amedanganya atalipa fidia kwa kumdhalilisha huyo dada.
 
Aende akamwone zonal manager anaitwa Ngoi yuko Tabora japo na yeye ni jipu,
Mytake ! Kama itagundulika mzee amedanganya atalipa fidia kwa kumdhalilisha huyo dada.
Naulizia loan kwa watumishi wa umma,mmeshaanza kutoa au bado?Maana miezi kama 2 hivi iliyopita niliambiwa wanatoa kwa wanaorenew/wanaotop up.Sasa hivi vip?
 
Nmb wanatuibia kila mwezi. mimi sijajua kwanini kila mwezi elfu kumi na kitu zinapokwenda.na ukichukua bank statement it is no where to be mentioned.
 
Nashukuru kwa hili NMB,kingine ambacho ni kero kubwa hapa Kahama ni foleni kuwa ndefu wakati madirisha yanayotoa huduma ni mawili tu,mawili mengine ni kwa ajili ya huduma ya fast track na bulk.

Na kuna madirisha matatu yapoyapo tu hayatoi huduma yoyote.Kwa nini na hayo nayo hayatoi huduma au ni kwa ajili ya mapambo ya bank?
 
Kadi yangu ya ATM imeharibika na bahati mbaya pia line niliyokuwa nikitumia kwa mobile banking nili renew .. Nimesha report Kuhusu card nikaambiwa itakuwa tayari after two weeks - shida ikaja kwenye Nmb mobile , naambiwa siwezi kujiunga mpaka nitumie Card kwenye ATM ndo nitaweza kujisajili , nimelazimika kungoja wiki mbili
Nawaomba muwe na Alternative ya kujisajili Nmb Mobile

Asante
 
Naomba kuelimishwa kuhusu riba/interest za kwenye hizi benki zetu Tanzania hasa NMB yaan leo nimejaribu kwenda kurequest mkopo wa 7,500,00 naambiwa ntalipa milioni 13,600,00 wakati huo huo tunaambiwa riba ni 22% ni calculation za uchumi, wizi, unyonyaji au ni kitu gani?
 
Nyie not, sina hamu na nyie hata kidogo, mtoto wangu yangu Ana mwaka mmoja 2012nimemfungulia akanunue, mpaka leo2017 at m card bado.
 
Mnakera mno huduma zenu yani leo mmenichefua nafatilia kadi yangu zaidi ya miezi mitatu, kila siku kadi bado kadi bado utadhani mnaifata uarabuni
 
Toka mmeniibiaga na mobile bank yenu nikapigwa laki 8 yangu ya ada baba akaniona mwizi mpaka leo . nawafata pale mwanza mnaniambia habari za kufungua kesi wakati pesa iko kwenu naa apa mimi na kizazi changu kuto kutumia bank yenu na wala kuomba kazi kwenu yaanii I hate this bank sijui
Ila kazi njema but this technology mnapoleta muwe mnakuwa kin sana kwa kuitest before haijamfikia mlaji but kiukweli mlinihalibia sana nikaishi maisha ya chuo mahumu mzee haelewi anajua. Nimehongaa

Pantaloo genius
 
Inawezekana pia yule mzee alikosea kuhesabu. Kwa nini umwamini yule mzee na siyo mfanyakazi wa benk. Kwa hela nyingi kama hiyo, mfanyakazi hana namna ya kuibeba. Kumbuka kuna kamera inamwangalia.
Mzee alionyeshwa footage?he kma wanagawana na,meneja 750 kila mtu
 
Pokeeni simu za Wateja wenu , kuna mhamala nimefanya haujakamilika.Napiga customer care for almost 2 hrs, hakuna majibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…