Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kuna dogo mmoja anaitwa Guga ni mstaatabu sana huyo dogo namkubali.
Ila acheni kupakazia watu hapa na wewe mleta mada hapa ni mpumbafu kabisa wewe unauhakika gani kama huyo mzee alikuwa na pesa kamili?
Unakuja kuharibu kazi za watu hapa.
Umenikera sana wewe jinga jinga.
Mtu mbaya huko ungeniambia Ngoi ningekuelewa mana huyu ndio anaharibu ile Kanda aondolewe mara moja huyu mtu ni mbaya sana namjua.
Huo mchezo upo sana tena sana na sio NMB peke yake lakin NMB ndio wamezidisha nimesha wahi kukutana na hilo sakata nakwambia lakin kwa vile nilijua mchezo huo nilikomaa na yule bwana mdogo nikamwambia aisee huo mchezo naufahamu tutaharibiana kazi jamaa yangu mimi najua kuhesabu na ikabla ya kuja hapa nimejiridhisha mara kadhaa nikiamin huwa kuna sababu kama hizo huku na kweli imetokea ,ninahakika kabisa pesa hazijapungua hizo hesabu tena aisee basi kwa nilikuwa nimesha ona nikajifanya natizama pembeni makusudi ili nimpe chance arudisheInawezekana pia yule mzee alikosea kuhesabu. Kwa nini umwamini yule mzee na siyo mfanyakazi wa benk. Kwa hela nyingi kama hiyo, mfanyakazi hana namna ya kuibeba. Kumbuka kuna kamera inamwangalia.
nimesema kwa kuwa cctv zilikuwepo je tumshauri mzee amuone nani amabaye atafanya utafiti kuanagualia kilichotokea kwa ajili ya haki kwa pande zote.Mie sijaharibia watu kazi bali kumuuibia mtu pesa nikosa sana amabya adhabu yake nikubwa.kama unatetea labda unahusika kwa kuwa sikujui..ila nakuambia juzi wakati wamkasa nilkuwepo kwenye foleni na nilona mzee badala ya kuelimiswa badala yake ailitishwa kuwa kama halidhiki aondoke na milloni ishirini zake..maana yake waliishaandda watu wamtkeke nje ya ofisi kama akakubai.. sisi ndani tuakmushauri aweke hizo million 20 ili asije akapotez azote kwani kahama kuanujambbazi.sasa toeni jibu amuone nani kwa malalamiko zaidi ya meneja ambaye inawezekana ni sehem ya tatizo
Naulizia loan kwa watumishi wa umma,mmeshaanza kutoa au bado?Maana miezi kama 2 hivi iliyopita niliambiwa wanatoa kwa wanaorenew/wanaotop up.Sasa hivi vip?Aende akamwone zonal manager anaitwa Ngoi yuko Tabora japo na yeye ni jipu,
Mytake ! Kama itagundulika mzee amedanganya atalipa fidia kwa kumdhalilisha huyo dada.
Nashukuru kwa hili NMB,kingine ambacho ni kero kubwa hapa Kahama ni foleni kuwa ndefu wakati madirisha yanayotoa huduma ni mawili tu,mawili mengine ni kwa ajili ya huduma ya fast track na bulk.Ndugu wana JamiiForums,
Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu nchini kote, NMB inafanyia uchunguzi maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki dhidi ya wafanyakazi waliotajwa na wengine wenye tabia kama hizo.
Ndugu wana jukwaa, NMB inajipambanua kwa kusimamia maadili moja wapo ikiwa ni uaminifu kwa wafanyakazi wake.
NMB pia inapenda kuwa hakikishia wateja na jamii kwa ujumla kwamba itaendelea kusimamia sera zote za benki ikiwa ni pamoja na kutovumilia wafanyakazi wasio waadilifu.
Kama kutatokea umepata huduma isiyo ridhisha au ufanyaji kazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:
1. Kupitia tovuti: http://www.nmbtz.com
2. Kupitia e-mail maalumu: whistleblower@nmbtz.com
3. Kwa posta &[HASHTAG]#8211[/HASHTAG]; Unaweza kutuma barua kwa Afisa Mtendaji kama ifuatavyo:
Afisa Mtendaji Mkuu (Bahasha iandikwe "Siri")
Makao Makuu ya NMB,
P. O. Box 9213,
Azikiwe/Jamhuri Street,
Dar es Salaam, Tanzania.
4. Au kwa kupiga simu zifuatazo:
0658 751 000 Tigo
0779 751 000 Zantel
0685 751 000 Airtel
0800 751 000 Vodacom
Mzee alionyeshwa footage?he kma wanagawana na,meneja 750 kila mtuInawezekana pia yule mzee alikosea kuhesabu. Kwa nini umwamini yule mzee na siyo mfanyakazi wa benk. Kwa hela nyingi kama hiyo, mfanyakazi hana namna ya kuibeba. Kumbuka kuna kamera inamwangalia.