NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

Utaratibu wa kuhuisha akaunti ubadilishwe maana mabenki yamekua mengi hakuna sioni sababu ya kuomba vielelezo vingi kwa mteja ambae alikua na akaunti NMB kuombwa vielelezo vingine wakati tayari kumbukumbu zoote za mteja mnazo
 
NMB Wekeni huduma ya ATM mji wa PERAMIHO wilaya ya Songea mkoa wa Ruvuma.

Mji huo ni mkubwa sana na karibu nusu ya wananchi wa wilaya ya Songea wanapata huduma mbalimbali za kijamii katika huo mji.

Mji una wafanyabishara wengi na matajiri wa kutosha.

Huduma karibu zote za kijamii zinapatikana Peramiho, ATM zenu zipo Songea mjini tu. Mbinga na Tunduru ni mbali sana.

Tunahitaji ATM za NMB hapa Peramiho haraka iwezekanavyo.
 
Mbona hmna huruma na mm mteja wenu? Card imeexpire tangu mwezi wa 12 mpk sasa naomba kadi mpya,form mara 2 lkn mfanikio hamna
 
Bola mimi na wafanyakazi wangu tumewahama hawa jamaa kutwaa network hakuna utafikilia nakopa kumbe pesa nizangu ukienda kwa wakala utalia makato tu yapo juu utafikiria nini yaani
 
Mbona miamala ikiingia kwenye akaunti yangu hamnijulishi ila ikitolewa ndio mnaniambia tu
 
Nimefurahi leo nimepigiwa simu kutoka makao makuu kuhusu ishu niliyokua nayo.Ingawa sikufanikiwa ila nawashukuru kwa kujali kwenu.
 
NMB hawana mda wa kujibu maswali ya humu ila ukienda ofcn kwao utakuta wafanyakazi wapo bize na Facebook
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Nmb wana bania san Atm mashine ani unaeza tafuta ad ufe
 
Mm nimefungua ila kad yang had leo sijapewa sijui shida ni nn
NMB tangu tarehe 15/11/2017 nilipokuja kwaali ya kufungua account ya mtoto mpaka leo hakuna taarifa yoyote ya hiyo account japo nilikuja tena kutaka kujua kama kuna shida mwezi wa kwanza mwaka huu mkaandika na namba za simu mkiahidi kunipigia lakinimpaka leo hakuna jipya hii nini maanayake sasa naomba mlifanyie kazi sasa kama mtafikiwa na ujumbe huu mnijibu ili nitoe maelezo ya account yenyewe
 
Kwa anayejua wanakokotoaje makato hasa kwa NMB-Mobile ukiangalia salio.Maana nilikuwa na salio la Tshs 350 kwenye simu,kuangalia tu salio kwa nmb-mobile mara moja nimebakiwa na Tsh 44.65 dah...Na kule akaunti sijui wanakata ngapi?...Pili: Kwa nini,mteja akitaka kujitoa Nmb -mobile wanagoma.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…