NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri



Hahaha
Mdogo wangu nakushangaa kumkadiria kipato MTU usiyemjua
Hapo ndipo unapodhihirisha upunguani wako
Kwa kifupi nami nimeajiri Nina watu kama wewe nawalipa mishahara kama wewe ulipwavyo na huyo muhindi unayemsema
Hapo sasa sijajua mshamba kati yetu ni nani ?
Anayetumwa au anayejituma? Halafu bado sijaona umuhimu wa wewe kuendeleza iigi hapa,nadhani ukosefu wa elimu kichwani unakusumbua,maana huwezi kung'ang'ania ligi kwa MTU ambaye hujui umri wala kipato chake,kama ilionekana hatukuelewana Maelezo basi ilitosha ulivyokuja ukafafanua ulimaanishaje lakini unapoendelea kuleta maneno ya hovyo nadhani unazidi kutuonesha hapa jf ukapuku wako tu

Unanikumbusha mbali sana kuna lecturer wangu mmoja aliwahi sema ukitaka mtu akuheshimu basi usiwe unaongea ongea sana maana ukiongea sana mwishowe utaongea pumba utadharaulika,ila ukiwa si muongeaji sana siku unapotaka kuongea watu watakusikiliza kwa umakini maana wanajua huyu jamaa siyo muongeaji ikitokea amesimama kuongea lazima atoe point.

Sasa ninaloliona kwako ulikuja na Maelezo ya ulivyomaanisha sasa cha ajabu,unapitiliza mpaka unajidhalilisha sasa na kujionesha kwa jf hapa kuwa wewe ni MTU wa aina gani
Wkendi njema
 
ULIVYOCOMMENT KWENYE POST YANGU ILIONYESHA WEWE NI MTU WA KIPATO GANI,UWE UNAFANYA BIASHARA AU UMEAJIRIWA NA MUHINDI,KIPATO CHAKO HAKIZIDI LAKI NA 80,KINGEKUWA KIKUBWA USINGEKURUPUKA KUNIJIBU VILE,WATU WAMUKUELEWESHA LAKINI STILL UNABISHA,TAULO LIMEKUVUKA CHUTAMA MKUU,NAENDELEA KUKUELIMSHA TU ,BANK WAKIWEKA NOTI ZA ELFU 5 ILI UTOE MILIONI INAKULAZIMU UTOE LAKI 2 MARA 5 ,sasa sijui unabisha nini kwenye hiyo statement yangu? Mjadala ndio huo.
 

Mimi sijaona mjadala
Tangu nine comment ile post yako ya kwanza sikuongezea chochote maana kuna mdau alisema tena kwa ustaarabu kwamba itakuwa ukumuelewa labda alimaanisha hivi na hivi na kwenye ile comment ya jamaa siikusema chochote
Badala yake wewe ndiye unajileta zaidi ya Mara moja maana kwangu hakuna nilipoleta mjadala ule tena
Bila shaka una walakini kichwani
Sijui ubishi gani unaousema nauendelea hapo au kwa Maelezo yangu umeona wapi naurudia huo mjadala wa kutoa pesa atm hapo?
Unaweza nitagi mahali niliporudia hilo swala
Nadhani una tatzo au unaliwa na unatafuta wa kukutafuna umu ndicho Ninachokiona kwako
Maana unatanga tanga tu Mara unalipwa mshahara laki na 80,Mara umeajiriwa na muhindi
Hahaha au wahindi ndo wanakula Tigo yako nini?
Ngoja niishie hapa mkuu binafsi sitokujibu tena maana nishajua we punga
 
MTU MZIMA TAULO LIMEVUKA CHUTAMA,WEWE KIHEREHERE CHAKO NDIO KILICHOKUPONZA,KABLA HAUJACOMMENT KWENYE POST,MSOME KWA UMAKINI ALIYETOA KOMENTI,KUKURUPUKA NI KWENYE MAJUKWAA YA JOKES,MMU,CHIT CHAT ETC LAKINI MAJUKWAA YA HOJA TULIZA MSHONO WEKA STRESS ZA LAKI NA 80 PEMBENI.

TATIZO SIO KURUDIA,TATIZO LAKO HAUJUI VITU KISHA KUJIFANYA MJUAJI WAKATI NI ZERO BRAIN.
 
Vipi hii NMB SALARY ADVANCE?

mmetangaza inaanza Tarehe 13 March 2018,

Mbona mimi najaribu kuitumia naambiwa """Error, Try again later"""

Imekaaje hiyo?
 
Nina Atm card ya chapchap naweza ibadirisha kua master card?
inawezekana mkuu, wewe pita branch hapo ukiwa na picha 2 na barua ya utambulisho toka kwa mtendaji/serikali ya mtaa watai-upgrade account yako na utapata Master card
 
Dah King kong bado tu mnaendelea na mjadala,nikajua nilimaliza tofauti zenu!....Enewei leo jpili,Mungu awabariki
 
Hivi Hawa watu kiburi Huwa wanapata wapi ?
 
Huduma zenu zinaboa sana..... Speed ndogo, halafu mashine zinapoteza sana mtandao.... Yaani tunageuka watumwa wenu
 
NMB naona saizi mnaongoza kwa kukimbiwa na wateja hasa wafanyakazi Wa serikalini.

Tena nimesikia wengi wanakimbilia CRDB na wengine MCB. Ningewashauri mboreshe mikopo katika bank yenu kwa kupunguza riba, boresheni huduma zenu hasa katika kitengo cha masoko namaanisha taarifa zifike kwa wateja kwa njia ya matamasha na bonus mbalimbali ili muweze kupata Pesa.

Tukumbuke kuwa no gain without pain.
 
True br
 
Hii ni moja ya benki za hivyo nchini. Hivi sasa hivi mikopo hamtoi au!? Manake huku Kwimba hii Benki ina urasimu usio na tija ktk suala la utoaji mikopo mf, rafiki yangu aliomba mkopo miezi mitatu ilopita na alikamilisha taratibu zote alizopaswa kukamilisha lakini wanamzungusha hajui hata kwa nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…