NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

Hama mtandao unaotumia kuangalizia hiyo account. Mfano voda huwa wanakata na akaunti inakatwa tena na bank LKN Tigo hata uwe na salio 0.00 kwenye simu yako bado unaweza kuona salio lako la bank
 
Hama mtandao unaotumia kuangalizia hiyo account. Mfano voda huwa wanakata na akaunti inakatwa tena na bank LKN Tigo hata uwe na salio 0.00 kwenye simu yako bado unaweza kuona salio lako la bank[/QUOTEW]
Voda wezi sana,...Huna salio,no huduma kibenk
 
Bila shaka unatumia line ya voda katika NMB mobile.

Chakufanya nenda tawi la bank lililo karibu nawe omba fomu yakusitisha NMB mobile wakiuliza sababu waambie line imepotea.
Jaza fomu ndani ya siku tatu watakuondoa kwenye hiyo hudumia hapo sasa tumia line ya tigo au Airtel kujisajili tena hiyo mitandao haina makato.
 
Yani haya mabenki yanamkamua mwananchi sana,ukitaka kutoa milioni ni lazima utoa mara tano,maana wameweka 5000 note tu na ukitoa mara tano unakatwa charges 5 times...Ni wizi Mkubwa.

Nadhani wewe hujawahi tumia ATM
Milioni unatoa Mara 3 tu
Mara ya kwanza lakini 4, Mara ya pi
I laki 4 na ya mwisho laki 2
Au vyovyote utavyoona itimie 1m
Mfano 3+3+4
Nadhani umepata mwanga maana hujawahi tumia ATM mkuu
 
Labda nirejee swali langu tena....Nataka kujua ukiwa na vocha salio,eg sh 500,ukaingia nmb-mobile akaunt,kwenye vocha wanakata sh ngapi kwa muamala mmoja wa kuchek balance bank?
Mkuu yani kile kitendo cha kupiga tu *150*66# then ukaacha hapo bila kuendelea ni sawa na umempigia mtu simu amepokea then huongei salio linaenda tu.

So ukitaka wakate pesa kidogo uwe faster sana ktk hiyo menu ukienda slow na wao wanazidi kukukata tu pesa.

Solution badili line tumia tigo au Airtel.
 
Mkuu yani kile kitendo cha kupiga tu *150*66# then ukaacha hapo bila kuendelea ni sawa na umempigia mtu simu amepokea then huongei salio linaenda tu.

So ukitaka wakate pesa kidogo uwe faster sana ktk hiyo menu ukienda slow na wao wanazidi kukukata tu pesa.

Solution badili line tumia tigo au Airtel.
Najua ukiwa slow salio linaenda zaidi,nilichek balance tu akaunt,na kutoka wakakata 300 na sikutumia zaid ya sec 50
 
Nadhani wewe hujawahi tumia ATM
Milioni unatoa Mara 3 tu
Mara ya kwanza lakini 4, Mara ya pi
I laki 4 na ya mwisho laki 2
Au vyovyote utavyoona itimie 1m
Mfano 3+3+4
Nadhani umepata mwanga maana hujawahi tumia ATM mkuu
We ndo hujamwelewa...Kasema wakiweka 5000 atm wanakufosi utoe mikupuo mi 5,kwa makusudi.Wanajua wakiweka 10000 mnatoa mikupuo michache,na jamaa hakujua kama atm imewekwa kiasi icho
 
Kwa anayejua wanakokotoaje makato hasa kwa NMB-Mobile ukiangalia salio.Maana nilikuwa na salio la Tshs 350 kwenye simu,kuangalia tu salio kwa nmb-mobile mara moja nimebakiwa na Tsh 44.65 dah...Na kule akaunti sijui wanakata ngapi?...Pili: Kwa nini,mteja akitaka kujitoa Nmb -mobile wanagoma.?
Tzs 300/-
 
Sijui tatizo ni nini.

Maana huduma ninayoipata mimi wewe huipati na kinyume chake pia.

Sikujua kama kuna notificationa kwa njia SMS pindi utoapo Pesa kwenye Account
Nenda customer service watakuunganisha mkuu ukiwaambia.
 
Back
Top Bottom