NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

Habari baada ya makato napata 254,900. Hapo nakopa shilingi ngapi?
 
Nadhani wewe hujawahi tumia ATM
Milioni unatoa Mara 3 tu
Mara ya kwanza lakini 4, Mara ya pi
I laki 4 na ya mwisho laki 2
Au vyovyote utavyoona itimie 1m
Mfano 3+3+4
Nadhani umepata mwanga maana hujawahi tumia ATM mkuu
Elimu Elimu Elimu,Lowassa angetoa Elimu bure mpaka chuo kikuu,Mngekuwa mnakula Milo mitatu,ona sasa unavyojiaibisha,najua una njaa ndio maana umeshindwa kuelewa nilivyoandika,ngoja nirudie..."Nimesema mabenki ni wahuni wanaweka noti za 5000 kwenye ATM ili ukienda kutoa milioni utoe mara 5"-Hii ina maanisha ukiweka noti za 5000 maximum ni noti 40 tu ambazo ni laki mbili,umeelewa? kama haujanielewa niulize tena, Ungekuwa mtumiaji mzuri wa ATM ungekuwa unalijua hilo tatizo haujawahi kutoa milioni ndio maana haujawahi kukutana na hiyo issue,uliza wanaotoa milioni kwenye ATM,wewe hela zako zimezidi kwenye account ni laki na 80 tena mshahara wa muhindi,Account yangu ya kwanza kufungua Mwaka 2000 wakati huo bado unanyonya ndio kwanza una mwaka 1.
 
NMB Magomeni huduma mbovu mno. Nilizungushwa zaidi ya wiki kufungua akaunti nikaamua kwenda NMB Ilala ikanichukua chini ya lisaa kupata akaunti. NMB Magomeni wachunguzwe na kuchukuliwa hatua kali za kinidhamu kuanzia boss hadi yule wa chini kabisa.
Kweli kakaaa wanaboaa hatarii
 
Elimu Elimu Elimu,Lowassa angetoa Elimu bure mpaka chuo kikuu,Mngekuwa mnakula Milo mitatu,ona sasa unavyojiaibisha,najua una njaa ndio maana umeshindwa kuelewa nilivyoandika,ngoja nirudie..."Nimesema mabenki ni wahuni wanaweka noti za 5000 kwenye ATM ili ukienda kutoa milioni utoe mara 5"-Hii ina maanisha ukiweka noti za 5000 maximum ni noti 40 tu ambazo ni laki mbili,umeelewa? kama haujanielewa niulize tena, Ungekuwa mtumiaji mzuri wa ATM ungekuwa unalijua hilo tatizo haujawahi kutoa milioni ndio maana haujawahi kukutana na hiyo issue,uliza wanaotoa milioni kwenye ATM,wewe hela zako zimezidi kwenye account ni laki na 80 tena mshahara wa muhindi,Account yangu ya kwanza kufungua Mwaka 2000 wakati huo bado unanyonya ndio kwanza una mwaka 1.

Haha
Umeharibu tu ulipoeleza kwa jaziba
Imedhihirisha ni jinsi gani ulivyopinguani
Kumtolea maneno ya kike MTU usiyejua kiwango chake cha elimu wala kipata na ata umri inaonekana hukwenda while vya kutosha
Pole sana mdogo wangu siyo kosa lako Bali wazazi kutokukupeleka shule
Wewe unasema umefungua akaunti yako ya kwanza mwaka 2000
Wakati mwenzio tangu mwaka 1995 nilikuwa Nina akaunti bank.
 
Tawi lenu la mbalizi road mbeya linafanya kazi kwa mazoea haiwezekani foleni bank unapanga mpaka SAA moja dilisha ziko nne lakini wahudumu wawili sikuwai INA Uzi huu nikaandika wangu humu biashara hukia badilikeni pale
 
Tuna omba kitengo cha Nmb Bank house kitengo cha folex kuingiza mapema fedha zetu zinapo tumwa. Maana mnafaidika nazo kwa kuzi exchange sasa kwanini kuchelewa kuingiza Tshs katika akaunti? Hadi nafikiria kuhama benki.
 
Fedha zikiingizwa zimfikie muhusika kwa muda muafaka, hamna sababu yoyote ya kuchelewesha kama zipo sababu mbona mnazo e-mail zetu tujuzeni kupitia e-mail hizo.
 
NMB tawi la clock tower Arusha kitengo cha mikopo ni nuksi tupu, kupata mkopo lazima useme utatoa % ngapi ili mkopo utoke vinginevyo tegemea kupigwa kalenda. Kuna dada mmoja pale simtaji jina ni shida tupu na kikwazo kwa bank, hata akijua tu huwa unasafiri nje ya nchi basi utasikia simu basi ukisafiri kaka, pumbafu.

Nashukuru kupitia yeye kuwa tatizo nilipambana kufanya biashara bila kukopa na sikopi ng'o kwa jina la Yesu.
 
Ukikopa miloini 10 na kurejesha mkopo kwa miaka 3. Kama ni mfayakazi utakatwa shilingi ngapi kila mwezi. Assuming my net salary ni 1200000/(Milioni moja na mia mbili) kwa mwezi(take home hiyo).
 
NMB ATM ya mkoani kibaha kwa mkuu wa mkoa mbona inacheua kila ukiweka card?

Nimeenda jana na leo kila nikiingiza master card yangu inaniambia nichague lugha, nikibonyeza kitufe tu unashangaa card inacheuliwa. Ebu fanyenyi matengenezo kesho napita tena hapo
 
Hao jamaa binafsi sina imani nao kabisa.

Kwenye account yangu nilikuwa na almost 30k, ila nilihitaji kudeposit amount nyingine then nifanye transfer kwenda another bank.

Kwavile transfer kati ya bank na bank kuna makato huwa wanakata, so nikaenda kuconfirm salio kwa mhudumu wao (nmb) before sijadeposit. Nikamuandikia namba fresh. Yule teller akaniandikia salio langu kwenye kikaratasi alafu akanipa huku ananiangalia jicho flan hivi la kuibia. Kuangalia, salio linasoma 13k.

Nikatoka pale mezani kwake, ikabidi nimuulize mdau mwingine kama teller anaweza hamisha salio.

Binafsi mpaka leo naamini kuna uhuni walinifanyia.

Hello Analyse,
Pole kwa yaliyojitokeza na tafadhali tunaomba taarifa zako sahihi PM tufuatilie, kutatua na kukupa mrejesho kuhusu sintofahamu ya akaunti yako.
Asante
 
NMB ATM ya mkoani kibaha kwa mkuu wa mkoa mbona inacheua kila ukiweka card?

Nimeenda jana na leo kila nikiingiza master card yangu inaniambia nichague lugha, nikibonyeza kitufe tu unashangaa card inacheuliwa. Ebu fanyenyi matengenezo kesho napita tena hapo

Asante kwa taarifa Francisco.

Tumefikisha suala hili kwa wataalamu wetu na watashughulikia, endelea kutumia huduma mbadala kama NMBWakala na NMBMobile kupata huduma za kifedha.

Karibu sana.
 
Hivi naweza kupata mkopo wa pesa kwa kuwekeza Mali zangu, nyumba ? Kuna ishu ya hivyo?
 
Hello nijibuni basi, vyuma vimekaza sina asset yoyote wala biashara, nilikua mtumishi wa umma sasa Nina business plan yangu nahitaji million 8 kuanzisha biashara
 
Wafanyakazi NMB MANDELA ROAD dsm wana nyodo kuanzia branch manager mpaka benki tellers,customer care mbovu kupita maelezo, bank teller anaweza kuondoka dirishani for more than hr bila maelezo yeyote ukimuuliza customer care manager + branch manager wote wanakujibu nyodo binafsi nimeamua ku move on siitaki tena NMB, the same situation nilishuhudia NMB Branch ya mtwara
 
Haha
Umeharibu tu ulipoeleza kwa jaziba
Imedhihirisha ni jinsi gani ulivyopinguani
Kumtolea maneno ya kike MTU usiyejua kiwango chake cha elimu wala kipata na ata umri inaonekana hukwenda while vya kutosha
Pole sana mdogo wangu siyo kosa lako Bali wazazi kutokukupeleka shule
Wewe unasema umefungua akaunti yako ya kwanza mwaka 2000
Wakati mwenzio tangu mwaka 1995 nilikuwa Nina akaunti bank.
Ungekuwa umefungua tangu mwaka 1995 ungekuwa ushakutana na issue za kutoa 1 milioni KWA 5 times(@ 200k) na wala haujui kwamba ATM hizi zetu inatoa Noti 40 tu at a time,nilisema kabisa bank wanaweka 5000 kusudi ili max utoe laki 2,umeelewesha na waelewa hapo juu lakini ni ubishi tu kwasababu ya kukurupuka na kujifanya kujua,ACHA USHAMBA.

UMEFUNGUA ACOUNT 1995 LAKINI HAUJUI UKIWEKA NOTI TUPU ZA 5000 KWENYE ATM MAXIMUM INAKUWA LAKI 2 HAAAAAAA USHAMBA MZIGO,MWISHO WA MWEZI HUU KACHUKUE LAKI NA 80 ALIYEKUINGIZIA MSHAHARA MUHINDI.
 
NMB ni bank ninayoipenda sana ningependa kufahamu makato stahiki mnayokata wakati wa kutoa fedha dirishani na ndani hasa kwa wateja wenu tunaotumia chapchap account ? Maana niliambiwa chini ya laki tano ni 900 Lakini nimekuja kutoa naona ni zaidi ya hiyo na makato ya mwezi ya kuendeshea huduma niliambiwa hakuna pia Lakini kila mwezi naona account yangu inapungua bila sababu,
 
Back
Top Bottom