Jiju swali unaloulizwa. Sizungumzii mikopo. Mimi ninazo hela NMB, sasa nilitaka kujua kama naweza kwenda kwa wakala kuwithdraw bila kadi. Nijibu swali hili achana na mambo ya salary advance me sitaki hayo mambo.Hello Marashi,
Hii ni huduma ya kuchukua kiasi cha mshara wako kabla ya siku ya mshahara kuweza kujikimu na shughuli mbalimbali
Wanatoa "ndani ya masaa 48", huo ndio utaratibu wao. Na muda wa siku nzima (masaa 24) bado upo ndani ya masaa 48.Tunaomba kujulishwa hii huduma yenu ya salary advance ipo au mmeisitisha, haiwezi siku nzima unaomba salary advance bila mafanikio.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kutoa hela kwa wakala bila kadi kwani huwa kuna mashine lazima kadi ifanyiwe swap na uingize passwordJiju swali unaloulizwa. Sizungumzii mikopo. Mimi ninazo hela NMB, sasa nilitaka kujua kama naweza kwenda kwa wakala kuwithdraw bila kadi. Nijibu swali hili achana na mambo ya salary advance me sitaki hayo mambo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo NMB Dodoma Brach..kuna afande mmoja yupo ndani Pale Yeye uwa Ni kufukuza Wateja Tu.Kauli zake Ni Mbaya.Kuna Siku Nafika Kufanya Transaction pale Nikawa Very Disappointed na Kauli zake.Huwezi Amini juzi kati nimeenda Nmb Dodoma naulizia Washroom(Toilets) naambiwa choo kimeharibika niende nje kuna Baa kuna choo cha kulipia. Ajabu sana Bank kubwa makao makuu ya nchi hakuna choo cha wateja....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu wana JamiiForums,
Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu nchini kote, NMB inafanyia uchunguzi maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki dhidi ya wafanyakazi waliotajwa na wengine wenye tabia kama hizo.
Ndugu wana jukwaa, NMB inajipambanua kwa kusimamia maadili moja wapo ikiwa ni uaminifu kwa wafanyakazi wake.
NMB pia inapenda kuwa hakikishia wateja na jamii kwa ujumla kwamba itaendelea kusimamia sera zote za benki ikiwa ni pamoja na kutovumilia wafanyakazi wasio waadilifu.
Kama kutatokea umepata huduma isiyo ridhisha au ufanyaji kazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:
1. Kupitia tovuti: http://www.nmbtz.com
2. Kupitia e-mail maalumu: whistleblower@nmbtz.com
3. Kwa posta – Unaweza kutuma barua kwa Afisa Mtendaji kama ifuatavyo:
Afisa Mtendaji Mkuu (Bahasha iandikwe "Siri")
Makao Makuu ya NMB,
P. O. Box 9213,
Azikiwe/Jamhuri Street,
Dar es Salaam, Tanzania.
4. Au kwa kupiga simu zifuatazo:
0658 751 000 Tigo
0779 751 000 Zantel
0685 751 000 Airtel
0800 751 000 Vodacom