Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NMB Tanzania tawi la Kibondo, Kigoma nashauri kitengo cha mikopo wabadilishwe staff sababu hawawezi kukuruhusia mkopo kama hujawapatia kuanzia 50k to 100k, na ukileta ubishi utasota mpka ile kwako, this is unacceptable kwa hii awamu
Thanks,but umeconclude vibaya. Ulitakiwa uconclude baada ya kuwa umeniuliza hayoyote na kuona jinsi ninavyokujibu sababu sio busara kuelezea yote publicly niliyokutatana nayo.Sasa kama unao ushahidi wa jbo hilo , toa taarifa za siri kwa ofisi ya usalama wa taifa iliyo karibu nawe , au ofisi ya takukuru wilaya uliyopo au fika kwa mkuu wa wilaya uliyopo , kama hayo uyasemayo yana ushahidi pia onyesha kama uliwahi kufikisha mallamiko yako kwa manager wa tawi huska kwa barua na , na pia hakikisha ulitoa mallamiko yako katika masanduku ya maoni kwa maandishi na hakikisha unazo copy za hatua hizo zote , kama bado basi unawza kuwasiliana na mtendaji mkuu wa nmb bank PLC , nadhani umenielewa , acha kulalamika wakati hujafuata hatua yoyote kufimisha malalamiko yako popote!
Ni sahihi hiyo baa iko oneway opp na.nmb bank.aibuHuwezi Amini juzi kati nimeenda Nmb Dodoma naulizia Washroom(Toilets) naambiwa choo kimeharibika niende nje kuna Baa kuna choo cha kulipia. Ajabu sana Bank kubwa makao makuu ya nchi hakuna choo cha wateja....
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu kama hawa ni wa kuwapotezea ....mjinga sana kazi ya ulinzi wa benki na yeye anajiona ni mfanyakaz wa umo ndani[emoji23][emoji23]Hapo NMB Dodoma Brach..kuna afande mmoja yupo ndani Pale Yeye uwa Ni kufukuza Wateja Tu.Kauli zake Ni Mbaya.Kuna Siku Nafika Kufanya Transaction pale Nikawa Very Disappointed na Kauli zake.
Sent using Jamii Forums mobile app